Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
Pumbavu Kocha na timu yake mpuuzi huyu asiye na kazi.
Asante kwa kushirikiNgoma ya kitoto haikeshi
Game hii itaisha 2-2
Na matusi yamo eeee?
Hahahahahahha aise ata kuona uoni kina chosen del was as hahahaaNgoma ya kitoto haikeshi
Game hii itaisha 2-2
Mou nilionelea angefanya kutengeneza midfield duo-chemistry ya Ricardo-Fred halafu kwenye wide forwards angetengeneza Duo-Chemistries mbili ya kwanza Lukaku-sanchez na ya pili Rashford-Martial, halafu sasa huku kwa atacking Mid angesimama Pogba huku akiwekewa backup ya Herrera na Huku kwa Right wide forward angesimama Mata ambako huku nako akiwa na Backup ya Lingard at the sametime CB Duo ilitakiwa kuwa Rojo-Bailly full stop.