Shabiki wa kitaa ni shabiki gani??..tuheshimiane aisee..mtu humjui usianze kumtengenezea image zako za kipumbavuHuyo jamaa ni wale mashabiki wa kitaa wanachojua kwenye mpira ni Mourinho kocha mbovu! Full stop huwezi waambia kitu wakaelewa na hao ni wakuachwa waendelee kuumia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
ED ndiyo anafundisha mpira??Mkuu hata mm nakubaliana na wewe kwamba timu inacheza vibaya lakini kuna sababu za kuwa hivyo sio kocha tu hilo suala linakwenda had kwa ed
Sasa wanaotaka kubeba bango la kufukuzwa kwa ed hawajajua nani kocha?ED ndiyo anafundisha mpira??
hivi ubora Manchester hii utaifananisha na ya LVG?? kama sio mbona ile ilicheza mpira mzuri na wachezaji walikuwa wa kawaida
Hahahahahahaha pole sana mi sikutengenezei image ila ww mwenyewe unajitengenezea kwa majibu yako unachotaka ni kuhalalisha chuki yako dhidi ya kocha.Shabiki wa kitaa ni shabiki gani??..tuheshimiane aisee..mtu humjui usianze kumtengenezea image zako za kipumbavu
Sent using Jamii Forums mobile app
LVG alitimuliwa sababu hakudeliver kile timu inataka je JM amedeliver??Sasa wanaotaka kubeba bango la kufukuzwa kwa ed hawajajua nani kocha?
Van gal alicheza mpira mzur kwa nini alifukuzwa?
Mkuu, kinachopelekea timu kupoteza mechi ni combination of factors. Vilevile Liver hakutufunga game yeyote last season lakini kamtandika City aliyetuchapa game moja.Unajua wewe hunielewi..liverpool alimfunga city gemu zote za uefa pamoja na ligi moja..so liverpool walikuwa bora kushinda city kwa asilimia 75 msimu uliopita kwenye gemu walizokutana..sisi tumekutana la mtu aliyetoka kujeruhiwa two times tena uefa,,unadhani hata kiakili walikuwa sawa..ile gemu tulicheza nini zaidi ya kubahatisha bahatisha!!??..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ndo mana yupo mkuu sasa hilo swali? Akifukuzwa hilo swali lako litakuwa mantikiLVG alitimuliwa sababu hakudeliver kile timu inataka je JM amedeliver??
Hizo nge can't be justifiedNikuulize hivi ile gemu ya uefa salah asingeumia ile gemu ingeisha kama ilivyoisha siku ile??
Sent using Jamii Forums mobile app
kucheza UEFA sio?? haya acha tugombanie top 4 kila mwakaNdio ndo mana yupo mkuu sasa hilo swali? Akifukuzwa hilo swali lako litakuwa mantiki
Unaniuliza mimi kama ndo mwajiri hilo suala ni la bodi mkuu mi nnachofanya ni kusapot timu tu mana hata nifanyaje kocha yupo pale wao ndo wakumtimua cha kushangaza mwez wa kwanza walimpa mkataba wakat huu ndo ulikuwa mwaka wake wa mwisho sasa kwa nini wamefanya vile mimi na wewe hatujuikucheza UEFA sio?? haya acha tugombanie top 4 kila mwaka
nilichogundua kwenye hii comment hata wewe humtaki tena JM ila huna namnaUnaniuliza mimi kama ndo majiri hilo suala ni la bodi mkuu mi nnachofanya ni kusapot timu tu mana hata nifanyaje kocha yupo pale wao ndo wakumtimua cha kushangaza mwez wa kwanza walimpa mkataba wakat huu ndo ulikuwa mwaka wake wa mwisho sasa kwa nini wamefanya vile mimi na wewe hatujui
Mi nipo kati atoke sawa abaki sawa mana hata kocha ajae hamna mwenye uhakika kama atafanya poanilichogundua kwenye hii comment hata wewe humtaki tena JM ila huna namna
GGMU
Neno lako moja kwa mourinho tafadhali!!Wakubwa nawasalimia humu ndani, poleni kwa mwenendo mbovu wa timu yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aondoke mkuu, sina ham hata ya kufuatilia ligi siku hizi, yote ni kwa 7bu ya mwenendo mbovu wa manchester untd
Siongezi neno mkubwa..Aondoke mkuu, sina ham hata ya kufuatilia ligi siku hizi, yote ni kwa 7bu ya mwenendo mbovu wa manchester untd
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huku ndan kuna watu wanauelewa mdogo sana kuhusu FootballChelsea
Liverpool
Spurs tulipowafunga walikuwa na uchovu wa mechi gani?
Sasa hapa napata picha mashabik wa hii timu ni watu wa namna gani.