Sasa si ndo tuungane kimawazo kwamba kocha Wa sasa afukuzwe tu kwa sababu mfumo wake ni mbovu sana?Mkuu hilo suala ndo linalosumbua ni mfumo wa mourinho tu hapo ni bodi ndo ilipochemka kuua falsafa ya timu
Mbona ameshindwa kwa point kibao last seasons na bado mpira alocheza ni mbovu sana pamoja na kwamba kipindi hicho bodi ilimsapoti sana?Sasa ndo ilikuwa karata yake ya mwisho ili afukuzwe wakishindwa kwa sasa kapata visingizio ndo mana mashabik wanamlaumu ed kwa hilo sijui kama tunaelewa mkuu
ninapaswa nikushukuru kwa michango yako unayoendelea kuandika kwenye hii thread na nathubutu kusema ya kwamba wewe ni miongoni mwa wapenzi wanayoifanya hii thread kuwa update kila siku, na pia ni mara chache sana kukuona ukitumia lugha ya dhihaka dhidi ya wale unaotofautiana nao kimtazamo.Kuna mambo mengine yanahitaji muda mkuu kama pochetino kaijenga timu yake muda mrefu sana huo mwaka ambao katuacha mbali msimu wa kwanza wa mourinho hapo unamuonea msimu pili kashika nafasi ya pili pia kauli zingine ni za mikwara tu kutumia pesa nyingi tunafeli hamna timu isiyopitia hayo mkuu cha msingi mengi yanaibuka kwa kuwa mwenendo wetu na mbaya
Akifukuzwa poa akibaki poa.
MadridTip tap
BarcelonaTiki Taka
Atletico.Organization
Man city.Positional play
Liverpoolgen gen pressing
ChelseaSarriBall
Arsenal.Average players
Man utd.Error 404 file does not exist please check the recycle binor park the bus
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Damushin unaandika kiuchambuzi vizuri sana. Una uwezo wa kuandika makala vizuri tu.ninapaswa nikushukuru kwa michango yako unayoendelea kuandika kwenye hii thread na nathubutu kusema ya kwamba wewe ni miongoni mwa wapenzi wanayoifanya hii thread kuwa update kila siku, na pia ni mara chache sana kukuona ukitumia lugha ya dhihaka dhidi ya wale unaotofautiana nao kimtazamo.
Mungu azidi kukubariki na wengineo kwa ujumla.
kiukweli hata mimi nilikuwa ni miongoni mwa waliovutiwa sana na uwepo wa jose mourinho ndani ya manchester united na sababu kubwa ni kwamba kwenye ulimwengu huu wa sasa hivi ni ngumu sana kumpata mwalimu mwenye wasifu uliotukuka kwenye kazi unaolingana na wasifu wa jose mourinho,ni josep guardiola pekee ndiye anaweza kusimama na mourinho kwenye mafanikio.
lakini ukiangalia kwa upande wa pili wa shilingi utagundua ya kwamba nguvu ile ile aliyoitumia jose mourinho kwa ajili ya kujenga CV yake amekuwa akiitumia kinyume chake kwa dhumuni la kuiharibu CV yake.
- bado nakumbuka alichokifanya jose mourinho miaka 14 iliopita akiwa na fc porto msimu wake wa mwisho.
- bado nakumbuka alichokifanya jose mourinho akiwa na chelsea misimu miwili ya mwanzo
- bado nakumbuka alichokifanya jose mourinho akiwa na inter milan misimu yake miwili ya kazi
- bado nakumbuka alichokifanya mourinho akiwa na real madrid miaka yake mitatu, ndiye mwanadaamu aliyeondoa upumbavu wa real madrid kufungwa ovyo na olympique lyon na juventus kwenye UEFA kupitia hatua ya mtoano
- pia bado nakumbuka alichokifanya mourinho akiwa na chelsea kwa mara ya pili
- na pia bado nakumbuka alichokifanya mourinho akiwa na manchester united msimu wake wa kwanza na hata wa pili.
mourinho ameshindwa kufahamu ya kwamba arsene wenger ndiye alikuwa mwanadamu wa mwisho kwenye ulimwengu huu kuwa na nguvu dhidi ya mwajiri wake baada ya ferguson. mpira wa sasa hivi umeingiliwa na mabepari na wajamaa ambao lengo lao kuu ni kuwa juu ya nembo ya timu.
ukimuangalia jose mourinho naye anataka kuwa na nguvu kama hii kwenye klabu zote alizozifundisha jambo ambalo linamwia vigumu kuweza kulitekeleza.
- wenger ndiye mwanadamu wa mwisho aliyekuwa na uwezo wa kuwaaminisha wamiliki wa klabu ya kwamba usajili wa elneny ni bora zaidi ya usajili wa modric kwenda real madrid.
- wenger ndiye mwanadamu pekee aliyekuwa na jeuri ya kuwaaminisha viongozi na mashabiki wa arsenal ya kwamba kufungwa goli 8 na manchester ni faida kubwa kwa upande wao kwa sababu watapata kuingia sokoni kutafuta wachezaji kwa mafungu.
inaonekana dhahiri jose mourinho amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kukosa uvumilivu, busara na hekima kwenye kazi yake ya ufundishaji ndio maana hujikuta akiwa kwenye nyakati ngumu sana kwenye kazi zake.
- msimu wake wa tatu akiwa na chelsea alitofautiana na bepari abramovich na hatimaye akafukuzwa chelsea.
- msimu wake wa tatu akiwa na real madrid alitofautiana na florentino perez na watoto wake ramos na casillas na hatimaye akafukuzwa
- msimu wake wa tatu kwa mara nyengine tena alitofautiana na viongozi, wachezaji, madaktari wa timu akafukuzwa tena chelsea
- kwa mara nyengine tena msimu wake wa tatu ameanzisha vita na mwanadamu asiye na dhambi kwa familia ya bepari malcom glazer ambaye ni ed woodward na hatujui kitakachotokezea.
Anashindwa kufahamu ya kwamba hata makocha wenzake nao pia wanakutana na changamoto kama za kwake yeye lakini ni nadra sana kuwakuta wakizungumza maneno ya ovyo dhidi ya klabu husika,wachezaji na hata viongozi.
mfano mdogo ni jurgen klopp alipendekeza usajili wa nabil fekir lakini mwisho wa siku viongozi wa klabu walifelisha dili la nabil fekir lakini jurgen klopp amenyamaza na kuendelea kufanya kazi lakini upande wa pili bado mourinho amekuwa akilalamika kutokusajiliwa kwa ivan perisic.
jaribu kuangalia kikosi cha liverpool wachezaji walionao utashangaa sana kuona wachezaji wao wengi ni wa kawaida sana lakini ni nadra kumsikia jurgen klopp akijitokeza hadharani kumponda dejan lovren kwa makosa anayofanya.
leo hii klopp amewafanya wachezaji kama robertson, alexander arnold, widjnaldum, milner, joel gomez, karius na wengineo kujisikia fahari kuwa wanafamilia wa anfield. na pia kuwafanya waonekane ni tishio dhidi ya wapinzani wake lakini kwetu sisi jose mourinho licha ya kuwa na kikosi chenye wachezaji wenye majina na uwezo wa hali ya juu ametufanya tuonekane ni kituko mbele ya wapinzani wetu na kupewa majina ya ovyo na wapinzani wetu
kwenye ishu ya CV ya mafanikio jurgen klopp hathubutu kukanyaga sehemu aliyopita jose mourinho lakini unakuta klopp anamzidi mourinho kwenye ishu ya kukaa na wachezaji kwa busara na uvumilivu.
na kwa ushahidi mwengine jaribu kuangalia muunganiko wa timu aliyoujenga pale dortmund jinsi alivyotengeneza muunganiko wa wachezaji wenye kuvutia kuwatazama kama vile gundogan, subotic,weidenfeller, lewandowski, sahin,hummels, bender, kagawa,grosskreutz na mpaka kesho jose mourinho hawezi kusahau kilichomkuta kwenye uwanja wa signal iduna park akiwa na real madrid.
hata kama jose mourinho atapewa tena miaka 5 ya kuifundisha manchester united hataweza kuishi na wachezaji wake kama ni watoto wake.
lakini cha ajabu jose mourinho ametufanya mashabiki wa machester united tugawanyike makundi mawili nayo ni team mourinho na team ed woodward.
- Hiki kikosi tulichonacho tulipaswa sisi ndio tuwe tunazungumzwa zaidi kuwa ni tishio msimu huu na siyo liverpool
- hiki kikosi tulichonacho liverpool ndio walipaswa wakikutana na sisi ndio wakae nyuma kwa ajili ya kutafuta drawa
mourinho aliyekuwa na uwezo wa kukaa na wachezaji pamoja na viongozi kwa hekima alifariki akiwa FC PORTO na kufufuka kidoogo akiwa na INTER MILAN.
dah hii mechi tim howard alinipotezea usingizi wangu na kunifanya nichelewe jukumu lakuosha vyoo vya skuli.
ilikuwa ni tarehe March 10, 2004 uwanja wa Old Trafford ndipo mwanamme huyu alipozidi kupigilia msumari wa moto CV yake ya ukweli.
hivi jamani mourinho hana kioo ofisini kwake akapata kujiangalia?
Nimekuelewa mkuu umeongea point sana.ninapaswa nikushukuru kwa michango yako unayoendelea kuandika kwenye hii thread na nathubutu kusema ya kwamba wewe ni miongoni mwa wapenzi wanayoifanya hii thread kuwa update kila siku, na pia ni mara chache sana kukuona ukitumia lugha ya dhihaka dhidi ya wale unaotofautiana nao kimtazamo.

Mkuu tofauti ya united na atletico ni ipi? Hapo kuna timu makombe yao ni gen gen pressing.MadridTip tap
BarcelonaTiki Taka
Atletico.Organization
Man city.Positional play
Liverpoolgen gen pressing
ChelseaSarriBall
Arsenal.Average players
Man utd.Error 404 file does not exist please check the recycle binor park the bus
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa bado beki na viungo wa shoka kama wakina ngolo kante
Mkuu nimekuelewa Sana."kwetu sisi matokeo ya ndani uwanja hayana athari kubwa sana kwenye soko letu la biashara." (ed woodward)
mashabiki wa manchester united waliodhamiria kukodi ndege kwa ajili ya kumdhihaki ed woodward wakae wakijua hawatabadilisha upepo na hizo gharama za kukodi ndege ni bora wangelitoa sadaka kwa wanaohitaji msaada.
ni rahisi sana kwa familia ya glazer kuiuza manchester united kuliko kumruhusu ed woodward aondoke manchester united kwa kutumia hoja dhaifu za jose mourinho na walimu wengine waliotangulia.
- ed woodward amelipa pound million 30 kwa ajili ya luke shaw wakati wa van gaal halafu anatokezea mshabiki anamlazimisha ed woodward alipe tena pound millioni 60 kwa ajili ya alex sandro, inamaana kama alex sandro naye hakuendana na falsafa ya mwalimu mourinho ed woodward atoe tena pound millioni 80 kwa ajili ya usajili wa marcelo?
- ed woodward amelipa pound millioni 80 kwa ajili ya victor lindeloaf, bailly na marcos rojo na halafu anatokezea mshabiki anamtaka ed woodward alipe tena pound millioni 60 kwa ajili ya maguire au toby alderweired, kama hawajendana na falsafa ya mwalimu atoe tena pound millioni 80 kwa ajili ya sergio ramos?
- ed woodward alilipa pound million 60 kwa ajili ya di maria na mwisho wa siku van gaal alishindwa kumtumia ipasavyo dimaria ndipo akamuuza, ed woodward akatoa tena pound millioni 45 kwa ajili ya antonio martial, mourinho ameshindwa kumtumia ipasavyo , bado ed woodward akatoa tena pesa kumsajili alex sanchez, ina maana tunataka ed woodward alipe pound millioni 100 kwa ajili ya bale na kama haendani na style ya mourinho muheshimiwa ed woodward alipe pound millioni 300 kwa ajili ya mbappe?
- ed woodward ametumia zaidi ya pound millioni 250 kwa ajili ya matic, schneiderlin, fred, fellaini, depay memphis, pogba na bado munataka ed woodward alipe pound millioni 50 kwa ajili ya luka modric, inamaana kama naye haendani na falsafa ya mourinho ed woodward alipe tena pound millioni 70 kwa ajili ya toni kroos?
- ed woodward amelipa pound millioni 75 kwa ajili ya romelu lukaku na huku upande wa pili wa majirani zetu wamelipa nusu ya pesa hiyo kwa ajili ya mfungaji bora wa msimu uliopita lakini bado kuna watu wanamtaka ed woodward atoe tena pesa kwa ajili ya usajili wa striker eti kwa sababu lukaku siyo top striker, hivi aliyetoa wazo la kusajiliwa lukaku ni ed woodward?
- hivi aliyetoa wazo la kuuzwa kagawa, van persie, chicharito, luis nani pia ni ed woodward?
kikosi cha tottenham hotspurshugo loris, kieran trippier, sergi aurier, vertonghen, alderweireld, wanyama, dembele, dier, eriksen, dele ali, sissoko, kane, rose.
hivi jamani tottenham hotspurs wanafanya vizuri ndani ya uwanja ni kwa sababu wana mwalimu bora au wana mwenyekiti bora?
tusisahau ya kwamba msimu huu totenham hotspurs hawajafanya usajili.
unapiga shoot target mbili kwenye mechi dhaifu dhidi ya brighton halafu unamlaumu ed woodward eti hajampa mourinho pesa ya usajili hii ni sawa?
msimu uliopita brighton alifungwa goli tano uwanjani kwake na liverpool na mlinzi wa kati alikuwa widjnaldum na lovren
unacheza na leicester city uwanjani kwako unapiga shoot on target nne halafu unamlaumu ed woodward je hii ni sawa?
unadhalilishwa na sevilla halafu unamlaumu ed woodward hajatoa pesa kwa ajili ya usajili wa messi hii ni sawa?
mourinho anapaswa ashukuru sana kufanya kazi na huyu jamaa asiyejali sana maokeo ya ndani ya uwanja kwa ajili ya kutimiza majukumu yake ya kazi.
abramovich akupe pound millioni 300 kwa misimu miwili halafu umletee ujinga na bado akupe mkataba mpya?
Dada yangu NJOO huku ule raha
Usimvunjie heshima the legendary Drobga bana!
Kumbe kucheza final bila ndoo nao ni ubingwa? Mafanikio makubwa sana kwa liverpool haya na salah sioUsimvunjie heshima the legendary Drobga bana!
Drogba 1 Champion League,1 Yuropa League,4 EPL
Lukaku sawa na Richarlison wa Everton
Asipo ondoka Man U hadi anastaafu soka hata final ya CL hawezi cheza
Halafu mwezi wa tano unapigania top 4Dada yangu NJOO huku ule raha
Team yako tia maji tia maji sana
Nampiga BHA 4-0 lkn ww na Kanegoal mhh!
Yajayo Liverpool yanafurahisha!Kumbe kucheza final bila ndoo nao ni ubingwa? Mafanikio makubwa sana kwa liverpool haya na salah sio
Mi liverpool huwa inanipa raha wanaanza ligi vizur ukifika mwez wa nne mnaanza kupigania nafasi ya nneYajayo Liverpool yanafurahisha!
MMU yajayo ni kumfukuza kazi Mourihno
Historia ndiyo zinawakondesha MMUHalafu mwezi wa tano unapigania top 4
Kwa hiyo liverpool wanaishi bila historia?Historia ndiyo zinawakondesha MMU
Wkt wa Babu Fegi hautajirudia tena
Huwezi mfunga Tottenham na hapo ndipo MO mtamfukuza
Use u r common sense kaka!Kwa hiyo liverpool wanaishi bila historia?
Sasa umeongea nini hapo mbona pumba ulitaka ucheze na wakina ronaldo wale ndo wachezaj uliokuwa naoUse u r common sense kaka!
Kama nacheza final ya Yuropa CM Kolo Toure na Striker Origi
Kama nacheza final ya CL bila kipa
Kama nakuwa wa nne na kipa handless Karius
Nitashindwa vipi kuchukua EPL na ukuta wa kipa Octopus ?
Liverpool ni Jogoo shoga bado usipatenae tabuKumbe kucheza final bila ndoo nao ni ubingwa? Mafanikio makubwa sana kwa liverpool haya na salah sio