Ule ubingwa akiwa madrid pep hakuwepo?Fact: ligi ambayo Pep Guardiola yupo Maurinho hana chake. Mpaka Pep akiondoka EPL ndio Mou atakuwa na chance yoyote, something which isn’t gonna happen in the foreseeable future.
Ule ubingwa akiwa madrid pep hakuwepo?
Acha chuki pep kamuacha mourinho kama huna fact bora kukaa kimyaBaadae alipoona kazidiwa akamkimbia
Acha chuki pep kamuacha mourinho kama huna fact bora kukaa kimya
Tatizo lako nini hasa? Usaidiwe nini ikiwa hata klopp hana uhakika wa kubeba kitu sawa na kipofu kumuongoza njia mwenzieMtasubiri sana kwa Mou wa sasa hivi
Mbona pep msimu wa pili tu amekuwa mkali na timu yake inafanya vizuri??Fact mkuu watu ni kuponda tu hata huyo sir alex alihangaika sana kuisimamisha timu nusu ya kufukuzwa timu zilizofanikiwa ni uwekezaj wa muda mrefu mi ndo maana nimechagua kumpa kampani kocha yoyote atakaekuja
Madrid wamehangaika sana had kuja wakina christiano ronaldo
Uje buyern miaka ya 2002 walipotea wamekuja 2009 kuibuk
Uje barcelona la masia imewekezwa toka 1992 imejibu 2008 saiv nayo inapotea wananunuanunua hovyo tu
Uvumilivu ni jambo la msingi sana
Njoo manchester city walianza 2008 kuweka pesa uwekezaj wao sio muda mfupi leo tumesajili pogba tunarajia matokeo ya fasta
Kocha akitimuliwa poa akibaki poa kujenga timu na kutafuta chemistry sio jambo dogo
Hata aje kocha gani ntamuunga mkono hadi manchester united itakapo simama na kupata watu makini.
Tatizo lako nini hasa? Usaidiwe nini ikiwa hata klopp hana uhakika wa kubeba kitu sawa na kipofu kumuongoza njia mwenzie
Bailly,lindelof ni watu wa nani??Kila siku nashindwa kumhukumu jose toka dirisha la msimu ule kitendo cha kushindwa kupewa watu wake
Angepewa ningemhukumu sana wanaoona mambo wanajua nani anafanya kocha aonekane kashindwa
Ukiangalia city pep hakupata shida ya mfumo makocha wote waliotoka walikuwa na mfumo wa kushambulia sisi tunabadili falsafa hapo bodi ndipo ilipochemkaMbona pep msimu wa pili tu amekuwa mkali na timu yake inafanya vizuri??
Mpira wa kisasa wa saivi sio kama wa zamani,tengeneza timu itakayokuwa na chemistry kila eneo..mourinho kafeli hilo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaniambiaje ntasubir sana ikiwa huna hata harufu ya epl since 1992 what a joke???Aliyesema Klopp atabeba ni nani? The crown is for Pep to lose
Ukiangalia city pep hakupata shida ya mfumo makocha wote waliotoka walokuwa na mfumo wa kushambulia sisi tunabadilo falsafa happ bodi ndipo ilipochemka
Amepewa wakina drogba wake aliokuwa akiwataka Ili tumseme? Kila kocha huwa na falsaf yake waliompa kazi wanamjua fika ndo mana mashabik wameamua kupambana nao sio kocha wao ndo wamfute kazi.The body knows exactly what they are doing. Tatizo ni the game is evolving so fast na kocha wako huyo bado Ana style za toka anafundisha akina Drogba
Amepewa wakina drogba wake aliokuwa akiwataka Ili tumseme? Kila kocha huwa na falsaf yake waliompa kazi wanamjua fika ndo mana mashabik wameamua kupambana nao sio kocha wao ndo wamfute kazi.
Umemaliza mkuu...tunagape la wachezaji ila hata hawa tulionao tu wanaweza kucheza vizuri..upo OT then shoot on target nne tu mechi nzima..huu si ujinga"kwetu sisi matokeo ya ndani uwanja hayana athari kubwa sana kwenye soko letu la biashara." (ed woodward)
mashabiki wa manchester united waliodhamiria kukodi ndege kwa ajili ya kumdhihaki ed woodward wakae wakijua hawatabadilisha upepo na hizo gharama za kukodi ndege ni bora wangelitoa sadaka kwa wanaohitaji msaada.
ni rahisi sana kwa familia ya glazer kuiuza manchester united kuliko kumruhusu ed woodward aondoke manchester united kwa kutumia hoja dhaifu za jose mourinho na walimu wengine waliotangulia.
- ed woodward amelipa pound million 30 kwa ajili ya luke shaw wakati wa van gaal halafu anatokezea mshabiki anamlazimisha ed woodward alipe tena pound millioni 60 kwa ajili ya alex sandro, inamaana kama alex sandro naye hakuendana na falsafa ya mwalimu mourinho ed woodward atoe tena pound millioni 80 kwa ajili ya usajili wa marcelo?
- ed woodward amelipa pound millioni 80 kwa ajili ya victor lindeloaf, bailly na marcos rojo na halafu anatokezea mshabiki anamtaka ed woodward alipe tena pound millioni 60 kwa ajili ya maguire au toby alderweired, kama hawajendana na falsafa ya mwalimu atoe tena pound millioni 80 kwa ajili ya sergio ramos?
- ed woodward alilipa pound million 60 kwa ajili ya di maria na mwisho wa siku van gaal alishindwa kumtumia ipasavyo dimaria ndipo akamuuza, ed woodward akatoa tena pound millioni 45 kwa ajili ya antonio martial, mourinho ameshindwa kumtumia ipasavyo , bado ed woodward akatoa tena pesa kumsajili alex sanchez, ina maana tunataka ed woodward alipe pound millioni 100 kwa ajili ya bale na kama haendani na style ya mourinho muheshimiwa ed woodward alipe pound millioni 300 kwa ajili ya mbappe?
- ed woodward ametumia zaidi ya pound millioni 250 kwa ajili ya matic, schneiderlin, fred, fellaini, depay memphis, pogba na bado munataka ed woodward alipe pound millioni 50 kwa ajili ya luka modric, inamaana kama naye haendani na falsafa ya mourinho ed woodward alipe tena pound millioni 70 kwa ajili ya toni kroos?
- ed woodward amelipa pound millioni 75 kwa ajili ya romelu lukaku na huku upande wa pili wa majirani zetu wamelipa nusu ya pesa hiyo kwa ajili ya mfungaji bora wa msimu uliopita lakini bado kuna watu wanamtaka ed woodward atoe tena pesa kwa ajili ya usajili wa striker eti kwa sababu lukaku siyo top striker, hivi aliyetoa wazo la kusajiliwa lukaku ni ed woodward?
- hivi aliyetoa wazo la kuuzwa kagawa, van persie, chicharito, luis nani pia ni ed woodward?
kikosi cha tottenham hotspurshugo loris, kieran trippier, sergi aurier, vertonghen, alderweireld, wanyama, dembele, dier, eriksen, dele ali, sissoko, kane, rose.
hivi jamani tottenham hotspurs wanafanya vizuri ndani ya uwanja ni kwa sababu wana mwalimu bora au wana mwenyekiti bora?
tusisahau ya kwamba msimu huu totenham hotspurs hawajafanya usajili.
unapiga shoot target mbili kwenye mechi dhaifu dhidi ya brighton halafu unamlaumu ed woodward eti hajampa mourinho pesa ya usajili hii ni sawa?
msimu uliopita brighton alifungwa goli tano uwanjani kwake na liverpool na mlinzi wa kati alikuwa widjnaldum na lovren
unacheza na leicester city uwanjani kwako unapiga shoot on target nne halafu unamlaumu ed woodward je hii ni sawa?
unadhalilishwa na sevilla halafu unamlaumu ed woodward hajatoa pesa kwa ajili ya usajili wa messi hii ni sawa?
mourinho anapaswa ashukuru sana kufanya kazi na huyu jamaa asiyejali sana maokeo ya ndani ya uwanja kwa ajili ya kutimiza majukumu yake ya kazi.
abramovich akupe pound millioni 300 kwa misimu miwili halafu umletee ujinga na bado akupe mkataba mpya?
Kwani kufukuza kocha ni kuikimbia hali ya liverpool?Msipoangalia miaka itasogea kidogo kidogo na mtajikuta mara paap 27 years patupu!
Liverpool walianza utani huo huo wa kuleta makocha wa ajabu ajabu hadi leo wanauota ubingwa wa EPL.
Walikuwa in denial hivyo hivyo.
Tatizo lako haunaga point za Akili za kuitetea Manchester United pasipo kuitaja Liverpool na Arsenal hahahaha Itetee timu yako kwa hoja za msingiTatizo lako nini hasa? Usaidiwe nini ikiwa hata klopp hana uhakika wa kubeba kitu sawa na kipofu kumuongoza njia mwenzie
Kumbuka timu imebadilishwa ni kama mpya..Ukiangalia city pep hakupata shida ya mfumo makocha wote waliotoka walikuwa na mfumo wa kushambulia sisi tunabadili falsafa hapo bodi ndipo ilipochemka
Umeunia vibaya sana alietamba hapo ni mshabik wa arsenal? Ukinyoosha kidole hakikosha upo timamu walau chelsea na city wanachakuongea sasa nani hapo ana point za akili?Tatizo lako haunaga point za Akili za kuitetea Manchester United pasipo kuitaja Liverpool na Arsenal hahahaha Itetee timu yako kwa hoja za msingi
Sasa kwa nini utake tuendelee kujaza wachezaji tu??Kusajili si kufanikiwa ukiongea hivyo hata madrid walihi kuwa na world players la liga na uefa ulikuwa mzik kubeba mara zote walipigwa na lyon
Mkuu hilo suala ndo linalosumbua ni mfumo wa mourinho tu hapo ni bodi ndo ilipochemka kuua falsafa ya timu