Tunalazimishwa kuwa hivyo ila hamna kitu pale. Kwa uchezaji Wa pogba Wa sasa ni heri timu iwe na mctominay msimu mzima katika namba ya pogba na atakuwa na mchango Mkubwa kuliko Huyo jamaa. Labda kama atabadilika,ila kwa sasa miongoni mwa wachezaji wanaofanya timu iwe slow na kufanya vibaya ni pogbaSasa akiuzwa hamuoni mtapata tabu sana. Maana hamna kiungo inayomkata namba Pogba kwa sasa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbav sana weweManyumbu vilaza sana Leo lukakundu hafai shenz na bado tot anakuja!
Sent using Jamii Forums mobile app
SahihiKijana,tumia lugha nzuri,wapo watu wasioipenda MUFC kama King Ngwaba lakini huwezi kuwakuta wakitumia lugha za hovyo!
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kubishana humu jukwaani na kubisha kule vijiweni kwenu na wahuni wenzako!
Humu watu wanatofautiana kwa hoja ewe kijana mjinga!
Sahihi broAngel gomez alisimama beki? Angel gomez aliyeongelewa na jamaa hapo juu ni kinda wa man u. Yule wa liverpool unayetaka kumuongelea wewe anaitwa Joe gomez.
Toa mfano halafu nawe uje na maoni yako ili tuelewaneTatizo mashabiki tunaongea sana...hatuweki akiba ya maneno.! Nimeangalia baadhi ya comment hadi nimeshangaa jinsi watu wanavyoongea pointless baada ya timu kupoteza!
Ugiligili speaking.
Tunalazimishwa kuwa hivyo ila hamna kitu pale. Kwa uchezaji Wa pogba Wa sasa ni heri timu iwe na mctominay msimu mzima katika namba ya pogba na atakuwa na mchango Mkubwa kuliko Huyo jamaa. Labda kama atabadilika,ila kwa sasa miongoni mwa wachezaji wanaofanya timu iwe slow na kufanya vibaya ni pogba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano ni wewe unavyopayukapayuka bila maana..
Waliomwongezea mkataba wliliona hilo na bafo wakamwongezea so who r u to talk shit!?Wewe kwani pointi yako hasa ni nini??...Mourihno atafanikiwa kwa mifumo yake hii akiendelea nayo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Point yake ni kuwa, hata namba tamo msimu huyu hatuipati....Waliomwongezea mkataba wliliona hilo na bafo wakamwongezea so who r u to talk shit!?
Ugiligili
Kivipi eleza zaidiMfano ni wewe unavyopayukapayuka bila maana..
Ugiligili
Ahahaha yule Bailly kaficha sana umri
mimi nilishasema nitakuwa wa mwisho kuamini kama Pogba amesalijiwa Man u. kabla hajasaliwaSasa naelewa kwann Babu alimuacha pogba aondoke bure
Kwa wanaojua mpira wanaelewa kama pogba ni mchezaji mzuri ila mafula kama nyie hamuwezi kuelewamimi nilishasema nitakuwa wa mwisho kuamini kama Pogba amesalijiwa Man u. kabla hajasaliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna sehemu nimeandika tusi hadi unitukane? na wapi nimesema Pogba hajui mpira? jifunze kutotumia matusiKwa wanaojua mpira wanaelewa kama pogba ni mchezaji mzuri ila mafula kama nyie hamuwezi kuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna tusi lolote hapokuna sehemu nimeandika tusi hadi unitukane? na wapi nimesema Pogba hajui mpira? jifunze kutotumia matusi
Sent using Jamii Forums mobile app