Mkuu unajua maana ya full backs? Nitajie full backs wawili wa manchester united. Tuanzie hapo kwanzaMechi dhidi ya Brighton full backs waliocheza ni wale wale waliosajiliwa na Mourinho ambao ni Bailly na Lindelof. Na hao mabeki sio kwamba ni wabaya, ndo maana alikimbilia kuwasajili. Tatizo ni kwamba anashindwa kuwatumia.
Je tuna uhakika gani kwamba angemsajili defender mwingine timu ingekaa sawa?
Haya basi tuseme defense yetu kimeo, vipi kuhusu attacking? Hata kama hawafungi magoli, je ni chances ngapi wanatengeneza? Stats zipo wazi maana hata kupiga shot on target inakua mtihani.
Hapo unakuja kuona kwamba kocha ni chanzo cha tatizo. Kuanzia game plan, style na mahusiano na wachezaji wake.
Mimi ni kati ya watu ambao hatutupi lawama kwa board members kwa sababu hii timu siyo ya kulilia kusajili wachezaji wengi kila msimu halafu wachezaji akiletewa wanaonekana hawafai kwa sababu hawezi kuwatumia.
Tatizo ni KOCHA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimerudi baada ya kutathmini mchezo wa juzi kwe kweli tulikuwa hovyo sana kama walevi wagongo msiwe na shaka bodi ikizingatia na uwanjan kocha atafanya poaMkuu RADIKA popote pale ulipo nakusalimia sana
Kwa Moyes ni kweli uongozi uliingia chaka kwa kumpa mkataba mrefu wa miaka 6 bila kumpima kwa mkataba wa muda mfupi. Matokeo yakawa mabaya sana na akafukuzwa kabla hata ya kumaliza mwaka.Ndugu tatizo la MU ni la zamani tangu atoke Ferguson, Moyes, Van Gal na sasa Mo hawapewi wanachokitaka kama makocha, Just fukuza, lakini msipowasikiliza makocha you are and you will be the next Arsenal
Mourinho bado yupo yupo..Lakini ndio kocha wa klabu yako mpka sasa na hakuna dalili zozote zile na kuondoka kwake.
Hivyo wewe endelea kuumia tu[emoji13] [emoji13] [emoji13] .
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa mchawi huyu bora lukaku alijimegaView attachment 843022
Kibonge kama kawaida yake anawavuruga mpaka muombe poooo,ndio maana kibabu Fergi hakupenda kufanya kazi na uyu mnyonya damu.
Not big deal mkuu, nimechanganya na centre back (beki wa kati). Ndo ilikua maana yangu na ahsante kwa kunishtua.Mkuu unajua maana ya full backs? Nitajie full backs wawili wa manchester united. Tuanzie hapo kwanza
Mtalaamu wa biashara anataka hadi vya uwanjaniTimu tajiri mnaanza kubana matumizi kama Wenga, Mtakuwa tu kama Arsenal hivi karibuni. Ligi ya Uingereza ni kununua wachezaji bora kwenda mbele, usipofanya hivyo mtabaki kutimua makocha mpaka mchoke. MO hana shida atawasubiria tu mvunje mkataba anasubiriwa na timu nyingi
Sioni kama center back ina tatizo sana kuliko full back. Mechi ya brighton kulikuwa na gape kubwa upande wa kulia kwa young (right back) na hicho ndicho kilisababisha kuonekana bailly kavuruga maana jamaa alikuwa anacover mpaka upande wa kulia anaacha gape katikati. Ukiangalia chanzo cha magoli yote matatu ni makosa yaliyofanyika upande wa kulia kwa young.Not big deal mkuu, nimechanganya na center back (beki wa kati). Ndo ilikua maana yangu na ahsante kwa kunishtua.
Baada ya hapo unasemaje maoni yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu kumbe tupo sahihi upande wa young ulikuwa na tatizo kubwa sana lakin bado bailly na lindelof walichanganyana sana hapakuonekana nani ana maliza 5Sioni kama center back ina tatizo sana kuliko full back. Mechi ya brighton kulikuwa na gape kubwa upande wa kulia kwa young (right back) na hicho ndicho kilisababisha kuonekana bailly kavuruga maana jamaa alikuwa anacover mpaka upande wa kulia anaacha gape katikati. Ukiangalia chanzo cha magoli yote matatu ni makosa yaliyofanyika upande wa kulia kwa young.
Sawa mkuu, sasa hizo beki za pembeni kuna beki yeyote ambae kocha alikua na plan za kumsajili? Maana kulia kuna Valencia ambae kocha anapenda sana kumtumia, na ndo captain. Addition aliyofanya kocha ni kumsajili Dallot (19 yrs). Imetokea wote hawapo ikabidi acheze Young ambaye mara zote kocha anamchezesha kushoto.Sioni kama center back ina tatizo sana kuliko full back. Mechi ya brighton kulikuwa na gape kubwa upande wa kulia kwa young (right back) na hicho ndicho kilisababisha kuonekana bailly kavuruga maana jamaa alikuwa anacover mpaka upande wa kulia anaacha gape katikati. Ukiangalia chanzo cha magoli yote matatu ni makosa yaliyofanyika upande wa kulia kwa young.
Dah kiukweli Pogba nae ni tatizo.. He's overrated. Ukiangalia kwenye world cup alikua hafanyi dribbling hovyo hovyo, ila akiwa klabuni analazimisha mbwembwe nyingi halafu ananyang'anywa mpira au anatoa pasi haifiki kwa target.Mimi mpaka leo ukiniuliza tatizo kwa timu yetu lipo wapi ntakwambia midfield hasa pogba ni shida hawapeleki mipira mbele kwa wakati hawana speed hawako sharp, right wing nayo ni tatizo hakuna mtu kule huwezi kumtegemea mata/lingard. Lingard anacheza vizuri kama forward namba 10 na siyo winga wa kulia. Midfield hawapo sharp na winga wa kulia hatuna.
Sisi bado tupo,tutamwona huyo Mourinho wako..tuombe tu uhaiMourinho bado yupo yupo..
Kocha Jose Mourinho bado anaungwa mkono ndani ya Manchester United licha ya kichapo cha 3-2 dhidi ya Brighton.
Matokeo na kiwango cha timu kimeibua maneno mengi dhidi ya kocha huyo wa Kireno.
Mourinho anapewa nafasi kubwa ya kuwa kocha wa kwanza kufukuzwa msimu huu ndani ya EPL , ambapo kocha wa zamani wa Real Madrid Zinedine Zidane anapewa nafasi ya kuchukua mikoba yake.
Chanzo kutoka United kimesema," Kwanini tumzungumzie Zidane huku hakuna kazi ya kumpa ? "
Huku Ed Woodward bado anaamini Mourinho ana uwezo na uzoefu wa kuweza kubadilisha matokeo ya Man United kuwa chanya.
Kujenga timu sio jambo dogo na si kwamba mourinho ni kocha mzuri hapana safari ni ndefu hata aje nani kuna ku RISE AND FALL cha msingi uvumilivu bodi kuvutana na kocha jambo baya sana hata kama alipoint wachezaj above 29 nani kaumia mashabik,bodi au kocha?
Kukosa fullback ndio kunasababisha hadi dk ya 70 dhidi ya BHA tuwe na shot 'moja' on target??Fullback ndio shida yenu, kocha kaomba usajili akakataliwa, haya ndio matokeo
Kocha hana shida
Style haina shida
Kipa hana shida
Viungo poa
Washambuliaji nao poa
Body ya usajili wamsikilize kocha
Mo akisikilizwa anajua kuunda timu ya ubingwa na ndio maana akiwa Che alipewa rungu zote
Pumba Tupu,Mkuu ni kweli Mou amesajili wachezaji hao ulio wataja. Unapo sema anasajili wachezaji halafu anaishia kuwaweka benchi naona hauko sahihi. Katika wachezaji wote alio wasajili hapo ni Linderlof ndio alisubiri benchi na Lee grant maana inajulikana amekuja kama kipa namba tatu. Msimu wa kwanza alimsajili Baily,Mikh,Pogba na IBRA. IBRA alikuja kwa short term plan. Mikh ligi ndio imemshinda (sio kitu cha ajabu) . Msimu wa pili kaongeza Linderlof,Matic, Lukaku January akaja Sanchez kwa swap. Ila tuangalie timu aliyo ikuta ilikuwa ina hitaji additions au Reformation? Kwa upande wangu naona sehemu kubwa ya wachezaji walio kuwepo hawastahili kucheza man utd. Kwa hiyo ilibidi timu isukwe upya.
Nikizungumzia kwa upande wa bodi: kwa nini mtazamo wangu ni kwamba bodi haijampa sapoti?
Wakati Mou anapewa timu kuna vitu walikubaliana. La kwanza ilikuwa ni kuirudisha timu UEFA. Hilo amelifanya. Tangu Fergie astaafu kwa Mara ya kwanza timu imeweza kushiriki michuano ya uefa Mara mbili mfululizo.
La pili ilikuwa ni kuhakikisha timu kuanzia msimu wa pili inakuwa mshindani kwenye Ligi na hilo naweza kusema hajafanikiwa ila kwa sababu man cty alikuwa na msimu mzuri zaidi.
Point yangu ni nini?
Kama bodi wangekuwa wanataka kocha wa kutengeneza timu na mpira wa pasi basi hawakuwa na haja ya kumfukuza LVG. Kwa Van Gaal tulikuwa tuna posses hadi 80% lakini on target mbili. Kwa kumfukuza LVG ina maana bodi iliona timu inahitaji makombe na sio kujenga timu ya watoto au mpira wa pasi. Kama unataka makombe basi mtu sahihi ni Mou na ndio maana akapewa timu. Sasa ili Mou afanye hiyo kazi inabidi na yeye atimiziwe mahitaji yake.
Sasa tuseme kwamba Mou alikosea kusajili hao wachezaji na amegindua kuwa alikosea na bodi inagoma kutoa hela sababu alikosea kusajili hii itakuwa hasara kwa Man utd au Mourinho? Kama bodi inaona Mou hafai kwa sababu anachezea hela kwa nini wasimtoe mapema ili timu apewe MTU ambaye wana imani naye(kumbuka Mou kasini mkataba mpya January tu hapo)?
Pia tuangalie targets alizo kuwa anazitaka Mou ni kweli nafasi zao zina mapungufu au ndio alitaka kujaza watu? (LB,RW,CB)
Sent using Jamii Forums mobile app