Pochettino, Conte,Zidane or Moyes?
Fred anacheza vizuri sawa na Pogba sema tu uchezaji wa timu unamfanya pengine umwone hivyo. Timu inacheza slow na haiwezi kumiliki kwenda mbele. Kocha inabidi abadilike, jamaa ni rigid sana sijui kwa nini. Ulimwengu mzima unamlalamikia lakini bado tu hachangeNasubiri tathmini yako ya mchezo mkuu, Vp kuna mwanga wowote Mbele?
Naona kama Freddy Anaendeleza utamaduni wa Wabrazil kuchemka United..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kasema hayo kweli ndo Yale Yale nnayosemaga hapa kwamba amejaaliwa kuongea vimaneno ila tushavichoka aendelee kuwaambia wanaomchekea na kumfurahia. Afanye timu icheze kisasa aache ukale Wa fikra na mbinu.Aliyoyaeleza Mourinho Baada Ya Mchezo: "We started the game with a lot of players who will not be in our squad on August 27 vs Spurs. This is not my squad, not even half, not even 30% of my squad. So don't look to this."
😀😀😀😀
Yeah kweli mkuu, Mourihno Ana dalili zote za Ugonjwa aliokua nao Wenger wa kutobadilika kulingana na nyakati..Fred anacheza vizuri sawa na Pogba sema tu uchezaji wa timu unamfanya pengine umwone hivyo. Timu inacheza slow na haiwezi kumiliki kwenda mbele. Kocha inabidi abadilike, jamaa ni rigid sana sijui kwa nini. Ulimwengu mzima unamlalamikia lakini bado tu hachange
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo wake umeishia hapo ndugu jamaa siyo rigidFred anacheza vizuri sawa na Pogba sema tu uchezaji wa timu unamfanya pengine umwone hivyo. Timu inacheza slow na haiwezi kumiliki kwenda mbele. Kocha inabidi abadilike, jamaa ni rigid sana sijui kwa nini. Ulimwengu mzima unamlalamikia lakini bado tu hachange
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu inacheza bila defensive midfielder (Matic),Matic was our best signing last season he bring balance to the teamNasubiri tathmini yako ya mchezo mkuu, Vp kuna mwanga wowote Mbele?
Naona kama Freddy Anaendeleza utamaduni wa Wabrazil kuchemka United..
Sent using Jamii Forums mobile app