OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Upo kama mimi mkuuYani katika dunia hii hamnaga kitu kinanipa raha kama manure kufungwa. Hata nikigonga manzi sisikiagi raha kama ya man kupata tabu. Ni raha ya kipekee sana
Sent using Jamii Forums mobile app
gia watakazo kuja nazo mani yuu leo
1.aseno hana point hata moja
2.ligi bado
3.liverpool gari la mabua
4.sisi tuna epl 20
5.hatuna beki baiily kawa kama nyoso
6.aseno hawana uefa
7.liverpool hawana epl🤣🤣🤣
8.leo tulicheza na timu mbili
9.tulikua ugenini
10.pogba anafanya makusudi
11.mou sio kochasasa sjui muimba muziki
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale waliingia cha kikeLakini Nanyinyi Mumechangia Haya Kwa Kuwaaminisha Kuwa Sanchez Ni Bonge la Mchezaji wakaingia Kichwa kichwa Kumpa £500K Kwa Wiki.
Wewe gia yako ni Ipi?gia watakazo kuja nazo mani yuu leo
1.aseno hana point hata moja
2.ligi bado
3.liverpool gari la mabua
4.sisi tuna epl 20
5.hatuna beki baiily kawa kama nyoso
6.aseno hawana uefa
7.liverpool hawana epl🤣🤣🤣
8.leo tulicheza na timu mbili
9.tulikua ugenini
10.pogba anafanya makusudi
11.mou sio kochasasa sjui muimba muziki
Sent using Jamii Forums mobile app
Point yako ni ipi?Katika Mchezo wao Wa Leo Man City wamepiga 14 Shots On Target
Man United Katika Mchezo wao Wa Leo Wamepiga Only 3 Shots On Target
Sawa tumpe muda ha ha haZa jioni ndugu zangu wa United. Msijali bado Mou anatengeneza timu tumpe mda.
Sent using Jamii Forums mobile app
gia watakazo kuja nazo mani yuu leo
1.aseno hana point hata moja
2.ligi bado
3.liverpool gari la mabua
4.sisi tuna epl 20
5.hatuna beki baiily kawa kama nyoso
6.aseno hawana uefa
7.liverpool hawana epl🤣🤣🤣
8.leo tulicheza na timu mbili
9.tulikua ugenini
10.pogba anafanya makusudi
11.mou sio kochasasa sjui muimba muziki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nipo nimekaribia.