press gani Pogba kasema hana furaha?? hizi habari mnapataga wapi hebu leteni link basiHazard hawezi kujivunjia heshima kiasi hicho.
Kuna uwezekano mkubwa wa Paulo Pogba kuondoka kwa sababu hana furaha na Mourihno.
Rashford hatakiwi hata kugusa jezi ya Manchester, achilia mbali kuivaa, asingekua mwingereza saizi angekua anatokea sub mk dons au millwalKushoto hakuna kitu ambacho huyu sanchez kakifanya,,ni bora awekwe martial acompete na rashford
Hahaha..ndo kwanza kapewa jezi no 10,iliyokuwa inavaliwa na watabe kama akina wayne rooneyRashford hatakiwi hata kugusa jezi ya Manchester, achilia mbali kuivaa, asingekua mwingereza saizi angekua anatokea sub mk dons au millwal
In love with united
Presha ya Pogba kuondoka apo man u ni kubwa sana. Na ukizingatia dirisha la usajili la Hispania bado halijafungwa hivyo kuna uezekano wa yeye kuondoka.
Mkataba unavunjwa kwa jinsi ulivyosainiwa.
That kid is over rated. Yaani alianza vizuri, lakini naona sifa zinamjaa na siku hizi amekua so selfish ili tuu a prove kuwa he got talent.Rashford hatakiwi hata kugusa jezi ya Manchester, achilia mbali kuivaa, asingekua mwingereza saizi angekua anatokea sub mk dons au millwal
In love with united
Sasa mkuu unabishana na hizo statistic hapo juu?Punguzeni utani nyie watu!
Fellain hatakiwi awepo sehemu yyt ambayo Keita anakuwepo
Unalinganisha vipi chezaji aliyeanza Bundesliga mechi zote 36 dhidi ya Fellain aliayenza mechi 2?
Punguzeni utani wa kufananisha mtu na kamtu!!
Kweli inamwagwa jezi Fellain anafikiriwa hata kuichukua wkt yupo Keita?
Kichekesho sana hiki
Mwisho wa msimu huu. Basi sawaPogba ataondoka bure mwisho wa msimu huu.
Kama Club wakitaka asiondoke hata Pogba na Raiola wake wakivunja timu nzima ya Chesi haondoki. Refer kwa De Gea.Kwani mkataba una shida? Ci unavunjwa tu...ukivunjwa apo ci anaondoka bure? Au!!
Unavunja mkataba alafu uondoke bure??Kwani mkataba una shida? Ci unavunjwa tu...ukivunjwa apo ci anaondoka bure? Au!!
Mkuu situation inaonyesha tu ..kwa jinsi anavyocheza sio kwa kiwango chake cha kombe la dunia.press gani Pogba kasema hana furaha?? hizi habari mnapataga wapi hebu leteni link basi
Pogba hana kiwango cha kuogopesha.Pogba haendi popote.
Vipi,unamuogopa sio?
inawezekana miss, kwani kuna kinachoshindikana?
"Unless otherwise agreed"
inawezekana miss, kwani kuna kinachoshindikana?
Cr7 aliondokaje man u?
Pogba ameperform mechi ngapi kombe la dunia??? ukiacha fainaliMkuu situation inaonyesha tu ..kwa jinsi anavyocheza sio kwa kiwango chake cha kombe la dunia.