Punguzeni utani nyie watu!View attachment 838095
Keita vs Fellaini
Mwaka jana mwezi kama huu ulisema manchester united ni nguvu ya soda haimalizi top cha ajabu nyie ndo mpo nje yani out!!!!kutembeleana muhimu mkuu
Hahahahahahaha noma snaHiyo assist alimpa nani ?
Au unazungumzia pre-season
They should compliment each other. Not iso.As Sir Alex Ferguson put it: "Attack wins you games, defence wins you titles"
Hahahaha naona umemponda nyundo ya kichwaView attachment 838095
Keita vs Fellaini
Jina kubwa, Ubongo wa Bata.Belo kweli unamuweka kundi moja mnyama Keita na useless Fred ?
Leicester wameongoza ball possesion mechi yote toka dakika ya kwanza hadi ya 90?
Mfananisha Yesu na Kadinali Pengo?
Uliona 4-0 tulivyo mrarua WHU?Tuambie kwanza hiyo assist ya Keita ilikuwa kwenye mazoezi ?
Wewe hujui mpira!Jina kubwa, Ubongo wa Bata.
Niyaogope in terms of what?H2H au most titles won?Wewe hujui mpira!
Huyaogopi kweli MAJOGOO?
Hili mimi naunga mkono Tangia mwanzo embu angalia ya Memphis depay namba saba ni Tatizo
Alexis namba ya jezi yake itampa tabu sana,angekuwa mjanja angeiomba namba kumi.
Msimu huu man u na liverpool Salama yenu ni kutwaa ndoo ya EPL kinyume na hapo mtapata tabu sanaMwaka jana mwezi kama huu ulisema manchester united ni nguvu ya soda haimalizi top cha ajabu nyie ndo mpo nje yani out!!!!
Natambua timu ipo kwenye kipindi cha mpito muda utafika tu pale tutakapopata kikosi cha ushindani usajili huu hatukufanya vizur sokoni nafikir mourinho players wengi alichagua ambao bodi haiwataki above 29 so bado sio salama yake kama asipobeba kombe lolote kufukuzwa kupo hapo sipendi timua ya makocha inaharibu sana timu dawa ni kumuacha tuMsimu huu man u na liverpool Salama yenu ni kutwaa ndoo ya EPL kinyume na hapo mtapata tabu sana
Hivi unajua toka fegason amestaafu man u haijawahi kutwaa EPL radika
Subir ukutane na burnley mwisho wa mdomo west ham tawi lako lileWewe hujui mpira!
Huyaogopi kweli MAJOGOO?
Burnely hajanifunga mwaka jana,katoa sare kwangu nikamchapa kwakeSubir ukutane na burnley mwisho wa mdomo west ham tawi lako lile
Mwaka huu nachukua EPL na CLNiyaogope in terms of what?H2H au most titles won?