Khe khe khe khe khe 🤣🤣🤣🤣mechi ya leo ya aseno imenichekesha sana daaaah
we miss you wenger...huyu jamaa akitaka atoboe aondoe kizazi chote cha wenga maana wachezaji wengi leo walikua wanacheza wakijua wenga bado yupo kwenye benchi
Nani kamtaja Milner wala Wilj?Mkuu unajichosha tu maana Looserfool hawawezi kukuelewa
Jaribu tu kumukumbusha kaka Malafyale kuwa misimu miwili iliyopita wameambulia point tatu tu kutoka kwetu
Nani kamtaja Milner wala Wilj?
Fred anaweza muweka nje Keita?
Mwendo wa konokono Matic anamuweka nje Fabihno?
Kwa nn unawataja wachezaji ambao mm sijawataja?
Mkuu unamuuliza nani mou au?Sasa hicho kitambaa cha unahodha ndio kapewa kabisa au ni kwa muda tu
Maana ninavyomjua pogba sifa za uongozi hana ila ni kama mc tu kwenye shuhuli
Na mashabiki wa man u pia nawaulizaMkuu unamuuliza nani mou au?
Hizini tetesiImeripotiwa kuwa Kocha wa zamani wa klabu y Real Madrid Zinedine Zidane yupo katika hatua za mwisho kufanya mazungumzo na klabu ya Manchester United kuchukua nafasi ya Jose Mourinho ambaye ndiye kocha mkuu wa klabu hiyo kwa sasa.
We jamaa ni noma, kila timu lazima ukaiponde kwenye jukwaa lake huko huko.Sasa hicho kitambaa cha unahodha ndio kapewa kabisa au ni kwa muda tu
Maana ninavyomjua pogba sifa za uongozi hana ila ni kama mc tu kwenye shuhuli
Anacheza wapi kwa sasa.Wazza again
Dc United ndani ya MCL - USAAnacheza wapi kwa sasa.
Dc United ndani ya MCL - USA
[emoji3] kutembeleana muhimu mkuuWe jamaa ni noma, kila timu lazima ukaiponde kwenye jukwaa lake huko huko.
Hahaha, sawa sawa mkuu.[emoji3] kutembeleana muhimu mkuu
Hiyo assist alimpa nani ?GOAL ASSISTS
Fred 0
Keita 1
Nani kamtaja Milner wala Wilj?
Fred anaweza muweka nje Keita?
Mwendo wa konokono Matic anamuweka nje Fabihno?
Kwa nn unawataja wachezaji ambao mm sijawataja?