Hao wachezaji Wa katikati Wa hizo timu mbili ulowataja ni kweli walipaswa wasilingane ila kwa sababu hao Wa man u wapo chini ya mou hatutawalinganisha na viungo hata Wa west hamfabihno hata team ya taifa hakufikiliwa kuitwa umlinganishe na Fred aliyekuwepo benchi la Brazil acha utoto kwenye football, hauwezi linganisha Fred,matic ,pogba,kisha Henderson, fabihno, keita kuwa mkweli. Kwa Salah ni tofauti Hakuna ubishi anaujua England Mzima upande wa kulia ni yeye kushoto hazard
Hatutaki vi maneno vyake,afungue vipaji vya wachezaji alonaoMourinho: 'You are capable of making people that finish second look like they were relegated, and people who win nothing, finish below us, and you make them look like serial winners.' #mufc #lfc #thfc
Fabinho yupi huyo?? huyu aliyeachwa timu ya taifa akaenda Fred au ni yupi??
Hiki kikosi angekuwa nacho hata babu Wenger angebeba EPL bila wasiwasi still naamini morinho akijipanga na kuwapa morali wachezaji na akikubali kucheza attacking football atafanikiwa sana but akisimama na msimamo wake naiona ka board ishaamua what nextOur squad this season looks like thisView attachment 831501
imekaa vyema. dirisha dogo tutavuta kifaa kimojaJirani zetu hii kitu imekaje?
" Bodi ya Manchester United imemwambia kocha Jose Mourinho kuacha kulalamika kuhusu fedha za usajili badala yake anatakiwa kufanya kazi ya kufundisha".
OK time will tellJitahidi kidogo usibase kwenye ushabiki Bradha, najua unafahamu jinsi huyo huyo Coach alivyomng'ang'ania Paulinho kwenye position ya Attacking Midfielder ilihali wapo Attacking Midfielders wazuri kushinda huyo Paulinho