Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,489
Inategemea na mfumo, kwenye 4-3-3 anakuwa wing forward aka mshambuliaji wa pembeni kwenye 4-2-3-1 ni attacking midfield left aka kiungo mshambuliaji wa kushoto.Unautani wewe..martial ni nani sasa??
Hajacheza 9 kipindi cha lvg alikuwa anacheza kiungo mshambuliaji wa kushoto, 9 ya lvg ilikuwa ni rooney na rashford mwishoni, pamoja na dogo wilsonAnaweza kucheza nafasi yoyote mbele (foward)..kipindi cha van gaal kwani alicheza no ngapi..si no 9??
Hilo sijakataa anacheza sehemu yoyote pele mbele ila kiasili si striker kama rashfordAnaweza kucheza nafasi yoyote mbele (foward)..kipindi cha van gaal kwani alicheza no ngapi..si no 9??
Nipo mkuuCute b yupo?
Huyu ↓↓ ana miaka Mingapi??
Current squad sio mbaya na depth ipo
Tatizo naona ni kocha
Kwa kikosi hikihiki cha sasa cha ManU ukimpa kocha mzuri na creative kitafanya mengi mazuri tu
Spurs hadi kuipata ile chemistry ya timu kocha wao ana muda gani? Jaman tuwe tunaangalia mbali kocha ana miaka miwili pochetino mwaka wa tano huu mnamlinganisha na mourinho aliyetukuta kipa ndio mchezaj bora wa timu miaka mitatu mfululizo?Msimu uliopita nililisema hili.
Tuna timu nzuri sana,ila tunakutana na Tot tunapigiwa mpira kama watoto.
Mou muoga sana.
Spurs hadi kuipata ile chemistry ya timu kocha wao ana muda gani? Jaman tuwe tunaangalia mbali kocha ana miaka miwili pochetino mwaka wa tano huu mnamlinganisha na mourinho aliyetukuta kipa ndio mchezaj bora wa timu miaka mitatu mfululizo?
Mou anaendelea kujenga timu,tukipata tena kipa wa miaka 36 tunatwaa kombe.
Mkuu kwa timu pep aliyoikuta unakumbuka ilivyokuwa inatupa tabu ndo ije hii mpya ujue wengi tunajilinganisha na jirani lakin tunasahau foundation yao ilikuwa bado nzito ukija hata chelsea aliyoachiwa conte na mourinho uliona msingi wake alipojaribu kuanza kuweka misingi yake chelsea ikaanza kuyumba hilo jambo kwetu walifanya van gal na moyes kuua misingi yetu sasa hivi tunaanza upya kutafuta muunganiko wa tiku tuwe wavumilivu.Kwahiyo mkuu unaona tumpe miaka mingapi waziri wetu wa ulinzi? Kama kumi hivi sio?
Maana tuendako naona kiza tu
Ed woorward alivyokuwa mjanja hajampa tena hela za kipuuzi za kusajili..msimu huu hamalizi pale OTJana tu kacheza na bayen mechi ya kirafiki cyo ya kupoteza chochote.bora wangecheza mpira wa kuvutia cyo kupark bus .
Yaaan yule jamaa mpk hasira yan
Mkuu kwa timu pep aliyoikuta unakumbuka ilivyokuwa inatupa tabu ndo ije hii mpya ujue wengi tunajilinganisha na jirani lakin tunasahau foundation yao ilikuwa bado nzito ukija hata chelsea aliyoachiwa conte na mourinho uliona msingi wake alipojaribu kuanza kuweka misingi yake chelsea ikaanza kuyumba hilo jambo kwetu walifanya van gal na moyes kuua misingi yetu sasa hivi tunaanza upya kutafuta muunganiko wa tiku tuwe wavumilivu.
Kwa hiyo furaha yako ni kuona timu inafeliEd woorward alivyokuwa mjanja hajampa tena hela za kipuuzi za kusajili..msimu huu hamalizi pale OT
Wakujenga timu alikuwa van gal maana alianza project na watoto jiulize kwa nini alitolewa? Kwa nini mourinho ana soka bovu hafukuzwi? Kuna kitu wataalam wameona tumuunge mkono kochaMkuu kama ni kujenga timu basi bora tutafute kocha anayefundisha mpira si huyu anayefundisha kujilinda.
Wakujenga timu alikuwa van gal maana alianza project na watoto jiulize kwa nini alitolewa? Kwa nini mourinho ana soka bovu hafukuzwi? Kuna kitu wataalam wameona tumuunge mkono kocha
Timu ipo vizur tu ni marekebisho madogo ujue mnalinganisha timu zenye misingi ya muda mrefu sana sisi misingi yetu ilivurugwa sana timu itakuja vizurNitaendelea kuipenda timu yangu ila naipa matumaini kidogo sana.