Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,562
- 21,516
Wale waliompitishia David Moyes ndege na Banner ya Moyes Out walikuwa ni mashabiki Wa simba au???Lini liverpool wanazomea wachezaji wao? Ni lini kabla ya ED woodward kuja Man U ilikuwa inazomea wachezaji wake? Barcelona ushaona wanamzomea messi au wachezaji wao?
ILA MAdrid mambo ya kawaida kina Ronaldo na Balle wanazomewa na washabiki wao kabisa, Chelsea kule kawaida makocha wachache kabisa hawajazomewa.
Kama kuzomea tungemzomea Cantona ama Ferdinand, mmoja teja na mwengine kamtandika mshabiki kung Fu kick, lakini wote mashabiki wa united walikuwa pamoja nao na walivyorudi tuliona walifanya nini, Hii ndio Man United ninayoijua mimi, hii ya kuzomea ndio naiona hivi karibuni, Na ED anajua kwanini.
Hivi nyie mbona mnalazimisha vitu vilivyo hadharani au mnadhani sisi ni vichaa. Mpira ni tukio la hadharani. Jana Vs Bayern Team haijapiga shout hata moja langoni unakuja na porojo zako za Plastic fan.
Hivi wewe mtanzania ukute hata membership card ya team huna unakuwa na Guts za kumuita English Fan kindakindaki Wa united kuwa sio real fan.
Yani wewe mlugulu uiepende Manchester saaaaaaana kuliko Mtoto Wa kiingereza kama Gary Neville au Gigs eti unashupaza domo kuwa hao ni wachumia tumbo.
Kingine mbona mnatumia nguvu kubwa kumtafutia mou ushawishi??? Acheni matokeo yatulize ghasia za mashabiki na sio kuita watu majina ya kipuuzi.
Hakuna shabiki anaependa team ya hovyo ,hakuna. Huyo furguson Mwenye almanusura atimuliwe kabla ya kuuwasha moto kuanzia miaka ya 90, Kinyume na hapo alikuwa anaenda na maji.