Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,563
- 21,516
Unasema ni uongo wakati Muda huo huo umewataja wakina cleverly, are you mentally fit ?Na hilo ndio nalo lijua Mimi. Maana products za mwisho ni kina Gibson,cleverly,Welbeck na wengine. Kwa hiyo hii ya kusema man utd ina falsafa ya kuwapa nafasi makinda kutoka kwenye academy yetu ni uongo au kukariri tu.
Lois Nani alikuja na miaka mingapi ?Unacho kisema ni sawa japo hata hilo ukiangalia utakuja kuona makinda walio sajiliwa na Fergie na wakapata wakiwa wadogo nafasi kwa muda wote alio kaa pale hawazidi wa 5. Japo Mimi namkumbuka Rooney na Ronaldo kidogo na Anderson japo hakufikia level za juu. Ila sajili nyingi zilikuwa ni watu ambao wako matured
Chicharito?Unacho kisema ni sawa japo hata hilo ukiangalia utakuja kuona makinda walio sajiliwa na Fergie na wakapata wakiwa wadogo nafasi kwa muda wote alio kaa pale hawazidi wa 5. Japo Mimi namkumbuka Rooney na Ronaldo kidogo na Anderson japo hakufikia level za juu. Ila sajili nyingi zilikuwa ni watu ambao wako matured
Chicharito, Rafael, Louis Nani, Patrice Evra walikuja wakiwa na miaka mingapiUnacho kisema ni sawa japo hata hilo ukiangalia utakuja kuona makinda walio sajiliwa na Fergie na wakapata wakiwa wadogo nafasi kwa muda wote alio kaa pale hawazidi wa 5. Japo Mimi namkumbuka Rooney na Ronaldo kidogo na Anderson japo hakufikia level za juu. Ila sajili nyingi zilikuwa ni watu ambao wako matured
Usajili utakaofanywa pale ni mmoja tu tena ni beki tuRashford kapewa jezi no 10..tutegemee kutokuwa na usajili mwingine pale mbele,,na ndo itakuwa gia ya mou ya kulialia
Hivi Cleverly kacheza Kikosi cha kwanza mechi ngapi chini ya Fergie?.Kama Fergie aliweza kumuamini unadhani ni kwanini alimrudisha Scholes(kikongwe) na kuwafanya kina Pogba na Morrison kuondoka?Unasema ni uongo wakati Muda huo huo umewataja wakina cleverly, are you mentally fit ?
Luis Nani kaja 2007 at age of 21 ila niambie 2007,2008. Wakati huo upande wa kulia kina Cr7 upande wa kushoto ni Giggs. Nani kaingia kikosi cha kwanza msimu wa 2009 baada ya giggs kuanza kucheza kati na Valencia kusajiliwa.Lois Nani alikuja na miaka mingapi ?
Chicharito kasajiliwa 2010 akiwa na miaka 22. Msimu wa kwanza alikuwa anaingia kama Super sub(mechi nyingi). Msimu wa pili akiwa na 23-24 ndio kaanza kucheza kwa uhakika kabla ya ujio wa RVP.Chicharito?
Jamaa kanalialia hadi keroRashford kapewa jezi no 10..tutegemee kutokuwa na usajili mwingine pale mbele,,na ndo itakuwa gia ya mou ya kulialia
Kwahiyo hoja yako ni nini?Chicharito kasajiliwa 2010 akiwa na miaka 22. Msimu wa kwanza alikuwa anaingia kama Super sub(mechi nyingi). Msimu wa pili akiwa na 23-24 ndio kaanza kucheza kwa uhakika kabla ya ujio wa RVP.
Rafael kaja 2008 akiwa na miaka 18. Muda huo RB alikuwa G. Neville second choice alikuwa Wes Brown. Rafael alikuwa anacheza game chache na kilicho msaidia zaid ni hao wenye namba walikuwa kila siku wana majeruhi. Kuhusu Evra nikupe Homework ukaangalie alisajiliwa akiwa na miaka mingap halafu plus mwaka mmoja ambao chaguo la kwanza alikuwa G. Heinze.Chicharito, Rafael, Louis Nani, Patrice Evra walikuja wakiwa na miaka mingapi
Kaangalie tulipo anzia hii mada ndio utaelewaKwahiyo hoja yako ni nini?
Acha uongo alisajiliwa akiwa na miaka 21Chicharito kasajiliwa 2010 akiwa na miaka 22. Msimu wa kwanza alikuwa anaingia kama Super sub(mechi nyingi). Msimu wa pili akiwa na 23-24 ndio kaanza kucheza kwa uhakika kabla ya ujio wa RVP.
Kabla ya kuniita muongo ungejaribu kujiridhisha japo kidogo ungekuwa umepata jibu kamili. Angalia hapo kazaliwa tarehe mwezi na mwaka gani halafu upige hesabu mpaka July 2010 alikuwa na miaka mingapi. Ukimaliza uje useme kati ya Mimi na wewe nani Muongo.Acha uongo alisajiliwa akiwa na miaka 21
Glory hunters hao, angalia timu yetu old trafford kumetuliaaa, ila away mashabiki kibao na wanashangilia mwanzo mwisho, ifungwe ama ishinde.
Kwa haraka 90% ya mashabiki wa MUFC mitandaoni wameshamchoka Mou.
Lawama zake na soka lake la kizamani.