johnmweusi
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 201
- 268
Na hilo ndio nalo lijua Mimi. Maana products za mwisho ni kina Gibson,cleverly,Welbeck na wengine. Kwa hiyo hii ya kusema man utd ina falsafa ya kuwapa nafasi makinda kutoka kwenye academy yetu ni uongo au kukariri tu.Mimi si Mshabiki Wa Man U Lakini Mpaka Mchezaji Wa Mwisho Kabisa aliyetoka Academy ambaye Ni Giggs anastaafu Kucheza Soka Basi SAF Katika Timu Hakuwa na Mchezaji Aliyepandisha Kutoka Academy akawa anacheza Kikosi Cha Kwanza Kwa Uhakika
Unacho kisema ni sawa japo hata hilo ukiangalia utakuja kuona makinda walio sajiliwa na Fergie na wakapata wakiwa wadogo nafasi kwa muda wote alio kaa pale hawazidi wa 5. Japo Mimi namkumbuka Rooney na Ronaldo kidogo na Anderson japo hakufikia level za juu. Ila sajili nyingi zilikuwa ni watu ambao wako maturedMakinda si lazima watoke academy yetu,suala ni umri wa watu wanaoletwa pale na wastani wa umri wa kikosi cha kwanza ni factor kubwa pia katika kushinda taji au mechi.
Martial si amesharejea mazoezini??
Ndio na huko Munich yupo maana niliona picha Facebook page ya MU wakielekea hukoMartial si amesharejea mazoezini??
sitamsahau huyo maguire alichomoa bao dakika ya 90+ msimu uliopita na mechi kuisha kwa sare daaaaaahSky sources: Manchester United cool interest in Leicester defender Harry Maguire and make Barcelona's Yerry Mina their top target. #SSN Sky Sports News on Twitter
ukweli mtupu huu na ed ndio mitaa yake iyo ya marketing ya kujidaiAdidas hana ubavu wa kuvunja mkataba kwa situation ya sasa ya Man U na akiondoka unakuja mkataba mkubwa zaidi ya huo.
Unafuatilia mauzo ya jezi? Watu kama Depay, Bastian etc hawawezi popote duniani kuingia top 5 ya wauza jezi bora duniani isipokuwa manchester. Yule neymar mkali pale barcelona alikuwa akisubiria kwa depay mauzo ya jezi.
Demu wa lindelof alikuwa na kablog kake uchwara sasa hivi mamilioni ya watu wanaingia kila siku,
Mambo haya unayapata man utd tu hata madrid na barca hawana nguvu ya kui challenge man u linapokuja suala la biashara, hapa ondoa hofu.
mjadala umeishia hapa....Mou is a big coach1. msimu wa kwanza wa mourinho Herrera ameonesha kiwango kikubwa kupata kutokea toka aanze kucheza mpira.
2. Lukaku hajawahi cheza kwa mafanikio kama ya msimu uliopita
3. Ukitoa majeruhi Bailly anacheza vizuri sana na kiwango chake kinakua
4. DE Gea amechukua tuzo ya golden gloves (sina uhakika kama aliwahi)
5. Ibrahimovic hakuwahi kuchukua ubingwa wa ulaya kaupatia Man u hata kama ni Europa.
6. Valencia anakuwa regarded kama moja ya beki namba mbili bora duniani kwa sasa.
7. Rashford amefunga goli 7 msimu uliopita za ligi, ndio goli nyingi zaidi kufunga kwenye msimu toka aanze kucheza soka (nipe proof kwamba ameflop)
8. Martial katupia goli 10 hajafikisha zile 12 za msimu wa kwanza alipokuja ila there is no way mchezaji wa pembeni mwenye goli 10 akawa flop kama sijakosea leroy sane kamzidi goli 1 tu martial, na ukumbuke martial hajacheza mechi zote alikuwa akipokezana na rashford na sanchez
Wachezaji waliosajiliwa na mourinho kama Pogba, Bailly, ibrahimovic, Mkhitariyan, matic, lukaku etc wote wameperform vizuri sana with exception of lindelof ambae naamini ni star wetu wa baadae
kuna kitu najiuliza hapa
Hahaha!!..hii man united mmeishoka kweli kweliHuyu pogba mi naona aondoke tuu,
we ndio hujielewi kabisaaaa halafu huu ni aina ya ushabiki wa simba na yanga naomba tuache na united yetu..........Jose anapenda wachezaji wenye umri mkubwa,sijawahi kusikia kamyanyua kinda kama LVG au Sir Alex.
Matokeo vipi?
Matokeo vipi?