Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahhhahah mkuu umeenda mbali sana, team itafanya vizuri sana tu japo uvumilivu unahitajika.
 
alderweireld to man united is a done deal. [gregory Ioannidis and diego martinez]
 
Aliomba ruhusa wakamnyima,alichofanyiwa sio fair kabisa wangemruhusu tu. Familia ina umuhimu mkubwa,kuna mchezaji wa England aliruhusiwa kwa emergency kama ya martial kipindi cha kombe la dunia.
Mkuu alipewa ruhusa baada ya mechi ya club america sema alichelewa kurudi aliomba wachezaj wake wawahi kurudi
 
Kuna mashabiki wanachosha mkuu
Sidhani hata Pre Season wkama wanaangaliaga mechi

Umemwambia ukweli katika hao 12 ni De Gea pekee ndiye aliyekuwepo dhidi ya Real Madrid na kucheza
Waangalie wapi kila siku makelele tu mfano hata mm ningekuwa kocha perreira siwez kumfanyia mzunguko sehem aliyocheza kocha lazima amwache na kumwona kama anapanda na kushuka kwa kiwango lakin mech zote tatu hilo eneo tunashida sana kacheza vizur sana alimchezesha na scott dogo kawika kampanga na herrera dogo kawika kampanga na fred dogo yupo safi ila ukiangalia shaw bado hayuko poa alihitaj kufanyiwa mabadiliko na madogo kitu ambacho kocha alifanya lakin bado namba tatu tuna shida madogo hawakuwa safi kidogo tuanzebe alijitahid japo sio upande wake

Sasa kwa uwezo wa perreira hakika tayar tun mtu namba 6 ukiangalia pess na uchezaj kama carick kidogo anaibia huko sasa kocha alikuwa anatafuta balansi ya timu sio muda wote wa kufanya sub tu

Wao madrid ilikuwa mech yao ya kwanza rotation muhimu jambo ambalo sisi tulifanya kwa liverpool na club america
 
dah mkuu usiichoke timu kiasi hiki.
 
kuna ka timu kanabezwa sana nako kanaitwa Tottenham
 
Mimi nilisikia rumors za Joachim low kwamba siku Mou akiachia timu man u wanamzingatia. Zizou huwa naamini pale Real Madrid alibebwa na uwezo Mkubwa Wa wachezaji wote walomzunguka. Ila hata ikitokea siku tukawa nae nitafurahi pia manake ni Mwalimu anayejali sana vipaji vya watu na anapenda kuwaacha wachezaji waonyeshe vipaji vyao hata kama ni wadogo,so kwa academy graduates tulionao bado anaweza kuifikisha timu pazuri
 
Mkuu Daud1990 nimekutag ili uje uione hii post pengine unafikra kunyume na za hii post.
Kwa nini kuna kama uhasama kati ya martial na Mwalimu kama alikuwa ktk ubora? Ni sawa kwa Herrera kutoka kuwa captain to be hadi kuwa nyuma ya fellain na mctominay baada ya msimu mmoja? Huwa siamini kwamba IBRA alileta Europa league silverware, kwani alifunga goli ngapi na kusaidia ngapi ktk Yale mashindano? Lukaku mchango wake naamini haukuwa Mkubwa kama alivyostahili kuchangia,hapa huwa naamini ni mfumo mbovu Wa Mwalimu umemfanya aishie hapo kwa last season. Rashford hakupewa nafasi ya kutosha na hata southgate wakati anateua kikosi cha england alisema sitajali hali ya rashford kule man u nitamjumuisha ktk kikosi changu. De gea kupata hiyo golden gloves ni kutokana na ubovu Wa defence kwa misimimu karibia minne au mitatu mfulilizo ukiwepo ulopita. Tena ulopita nadhani ndio tulikuwa na defence mbovu zaidi japo tulifungwa goli chache ukilinganisha na timu nyingi. Nasema tulikuwa na defence mbovu sana kwa sababu tulifungwa goli hizo tena nyingi za kizembe wakati timu nzima ilikuwa ina linda kipa wetu asifumgwe,na hata lukaku mwenyewe alitudhuru kwa kutoka na goli za kutoka mwilini mwake kama mbili au tatu hivi. Naamini soka la sasa haliendani na mpira Wa kujilinda zaidi
 
1. Sijasema Ibra ameleta Europa nimesema amelipatia man u soma vizuri. Mkhitariyan ndio ametupa Europa, Ibra alitupa carabao goli 2 za fainali ana mchango wake nae

2. Niliona timu ya taifa Rashford wala hajaanzia benchi mechi zote kaanza yeye na Harry kane na sterling walikuwa wanasubiria, alivyokuwa akimtumia mou rashford ndio hivyo hivyo alivyomtumia southgate kuna jipya gani alilofanya? Waandishi wa habari unaweza waambia chochote ila matendo ni uwanjani.

3. Mchango wa lukaku sio mkubwa? Magoli 31 na pasi 11 za magoli ni mchango mdogo? Hebu nitajie ni mwaka gani lukaku amekuwa na kiwango kikubwa kushinda msimu uliopita? Mtu amecheza mara ya kwanza Uefa na katupia goli 5 unaona ni mchezo?

4. Kwa hio timu ina defense mbovu kushinda zamani halafu inafungwa goli chache hebu nieleweshe hapa sijakuelewa.
 
una akili sana chief, tatizo unabishana na wale jamaa wa kitaa wao hawanaga statistics wala facts ila manenoooo meeeeengi na kelele tupu! ukiwapiga maswali kama hayo juu wanapotea. ona huyo hata kujieleza hajui, tuna defense mbovu then tumefungwa goli chache? hapo hapo kuna mwingine anasema defense yetu ni bora kuliko ya man city kweli??? kabisa fans wengi wa man u ni fuata upepo wanaongea nonsense!
 
Southgate aliposema "sitajali hali ya rashford kule man u atakuwepo Russia" unaweza itafsiri hii kauli kwa namna gani!? Kuhusu lukaku nimesema naamini alikuwa na uwezo Wa kusaidia kuliko hapo ila mfumo mbovu Wa Mwl ndo kikwazo. Kuhusu defence kama sikosei tofauti ya magoli ya kufungwa kati ya mou na van gaal ni kama 7 tu hivi. Nasema ni defence mbovu kwa sababu hii ya mou iliundwa na timu nzima na wachezaji wengine walinyimwa nafasi ya kuonyesha uwezo wao kwa sababu wote wanatakiwa kuwa mabeki na viungo wakati ile ya van gaal watu walifunguka zaidi
 
Hebu ifanyie tathmini timu ya man u ktk signings zake, mfumo Wa kiuchezaji na mbinu za kiuchezaji kisha ndo nikuzingatie
 
Hapo kwenye magoli ya kufungwa zaidi nimeangalia msimu Wa mwisho Wa lvg na msimu ulopita Wa mou.
 
Sijawahi kufurahia ujio wa Jose Man hata siku moja.Tujiandae na majanga msimu huu.
 
Mkuu unatania au umepania kuandika kwamba rashford hakupewa muda na mourinho wa kutosha?

Kocha wa timu ya taifa aluongwa vile kwa kuwa rashford ufungaji magoli ulishuka tumeangalia mech ngap hapa dogo anazingua? Kuna kitu nimekigundua ktk post yako.
 
Hata zidane alikuwa haivi na isco,bale ukienda chelsea conte willian,costa, pep yaya toure,samir nasri joe hart list ni ndefu sana kila kocha na taratibu zake huwez kulazimisha kocha ampende martial



Tafuta sababu za kwa nini beckham aliuzwa na sir alex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…