Kuna plan A plan B na Plan C mpaka Z.Mkuu ukimsikiliza kocha anasema aliomba wachezaji watano na mpaka sasa ni wachezaji wawili tu aliopewa ukimtoa bwana lee alikuja kumreplace joel anayeondoka kwa mkopo
Sasa hapa tunamlaumuje kocha kama bodi inazingua kusajili majembe anayotaka. Mi nafikiri kocha angepewa wachezaji anaowataka na ikitokea akashindwa ndo tumgeukie, ila kwa sasa sion sababu ya kumlaumu kocha
Mkuu, kocha ameomba wachezaji watano specific, ametoa option wakikoswa hao? Tatizo ni kuwa na option. Hio tayari kashaeka excuse mapema. Ligi ikimbumia sababu anayo.Mkuu ukimsikiliza kocha anasema aliomba wachezaji watano na mpaka sasa ni wachezaji wawili tu aliopewa ukimtoa bwana lee alikuja kumreplace joel anayeondoka kwa mkopo
Sasa hapa tunamlaumuje kocha kama bodi inazingua kusajili majembe anayotaka. Mi nafikiri kocha angepewa wachezaji anaowataka na ikitokea akashindwa ndo tumgeukie, ila kwa sasa sion sababu ya kumlaumu kocha
Yani sisi tumesajili sawa na city?Kuna plan A plan B na Plan C mpaka Z.
Bodi haimzingui, hao wachezaji anaowataka wanataka kucheza chini ya Mou. Bodi inamwaga hela nyingi tu. Tatizo ni Mou mfumo wake unawaogopesha wawachezaji wengi.
Mkuu, kocha ameomba wachezaji watano specific, ametoa option wakikoswa hao? Tatizo ni kuwa na option. Hio tayari kashaeka excuse mapema. Ligi ikimbumia sababu anayo.
Lakini ukweli bado ni kosa lake. Kwa sababu bodi inamtimizia anachotaka kwa kinachowezekana. Hela tumemwaga nyingi tu km anavomwaga city. Ila city ana spend wisely Mu inaspend lavishly.
Wachezaji nao wanaogopa kucheza under Mou, wanagopa striker akaja akaambiwa akae beki 2.
Tumeachwa point 19 ligi ilopita kizembe kabisa na aibu. First 11 haina replacement za uhakika. Mchezaji km mctominay alionesha kiwango kizuri tu. Siku nlomuona anacheza, mpk nkajiuliza Mou hamuoni? Akawa hampi enough game time.
Lukaku ni mchezaji mzuri na ana nguvu, lkn so mtu wa kukimbia na mpira, ni mtu wa finishing tu, jamaa kama angekuwa citeh, angetisha. Mana angechezeshwa sana. Uku United anaambiwa arudi nyuma, ata counter haiwezekan tena.
Tumemwaga hela nyingi km anavozimwaga citeh ata kama wametuzid ni kidogo tu.Yani sisi tumesajili sawa na city?
Unajua swala la usajili sio kusema tu kuwa bale utamlinganisha na mtu gani pale man u..swala ni yeye kucheza vizuri chini ya mourinho..Hakuna mahali alipozungumziwa maguire kama ni top player,,, bale na willian wakumfananisha na winga gan pale united? Jones na smalling wamekosa namba timu ya taifa kwa maguire au hukuona?
Hapo sasa ndo nimejua akili zenu du timu aliyoikuta chicharito ilikuwa na misingi yake angalia kuwalikuwa na naniUnajua swala la usajili sio kusema tu kuwa bale utamlinganisha na mtu gani pale man u..swala ni yeye kucheza vizuri chini ya mourinho..
Ferguson alimsajili chicharito kutoka gualajara mexico huko mwaka 2010,ila msimu wa kwanza tu alitupia goli 20 na alikuwa anatokea sub..na mwaka ule tulichukuwa league na kufika fainali ya uefa..fergie alijua kuwa jamaa atakuja kuja kumsaidia na fergie alimwamini..sasa mourinho naona wachezaji wake anaowasajili hakuna hata aliyepeek ukiacha matic kidogo,,wengine wote wamekuwa off and on
Jamani mnapoandika vitu muwe mnakuwa makini tumezidiwa hadi na everton kama zingebak timu za epl tuTumemwaga hela nyingi km anavozimwaga citeh ata kama wametuzid ni kidogo tu.
We unaona sawa kuspend 160m kwa wachezaji wawili wakati citeh anasepnd 200 kwa wachezaji watano?
Binafsi sifurahishwi na Mourinho ila nmeskia habari Zidane kua new coach UNITED I wish iwe sasa.Tumemwaga hela nyingi km anavozimwaga citeh ata kama wametuzid ni kidogo tu.
We unaona sawa kuspend 160m kwa wachezaji wawili wakati citeh anasepnd 200 kwa wachezaji watano?
Wewe ni Genius ni watu wachache tena "Inguinity" ndio wanaweza kukubali unachokizungumza.Kuna plan A plan B na Plan C mpaka Z.
Bodi haimzingui, hao wachezaji anaowataka wanataka kucheza chini ya Mou. Bodi inamwaga hela nyingi tu. Tatizo ni Mou mfumo wake unawaogopesha wawachezaji wengi.
Mkuu, kocha ameomba wachezaji watano specific, ametoa option wakikoswa hao? Tatizo ni kuwa na option. Hio tayari kashaeka excuse mapema. Ligi ikimbumia sababu anayo.
Lakini ukweli bado ni kosa lake. Kwa sababu bodi inamtimizia anachotaka kwa kinachowezekana. Hela tumemwaga nyingi tu km anavomwaga city. Ila city ana spend wisely Mu inaspend lavishly.
Wachezaji nao wanaogopa kucheza under Mou, wanagopa striker akaja akaambiwa akae beki 2.
Tumeachwa point 19 ligi ilopita kizembe kabisa na aibu. First 11 haina replacement za uhakika. Mchezaji km mctominay alionesha kiwango kizuri tu. Siku nlomuona anacheza, mpk nkajiuliza Mou hamuoni? Akawa hampi enough game time.
Lukaku ni mchezaji mzuri na ana nguvu, lkn so mtu wa kukimbia na mpira, ni mtu wa finishing tu, jamaa kama angekuwa citeh, angetisha. Mana angechezeshwa sana. Uku United anaambiwa arudi nyuma, ata counter haiwezekan tena.
Nimesikia mimi pia ni jambo jema kwa club ikitokea kafanya vizur sana pia namkubali mno zidane.Binafsi sifurahishwi na Mourinho ila nmeskia habari Zidane kua new coach UNITED I wish iwe sasa.
Hizo ni rumours tu mkuu. Mou tunae kwa mwaka mwengine.... Ila naamini kama hajafanya mazuri mwaka huu kibarua kitaota nyasi na yeye.Binafsi sifurahishwi na Mourinho ila nmeskia habari Zidane kua new coach UNITED I wish iwe sasa.
Asante mkuu kwa kunielewa. Tunatakiwa tuongee ukweli ulivo na sio kutetea tu.Wewe ni Genius ni watu wachache tena "Inguinity" ndio wanaweza kukubali unachokizungumza.
MTU kama jamaa flani hivi anaemsapot mou sidhani kama anaweza kuelewa unachosema.
Hongera
Hizo ni rumours tu mkuu. Mou tunae kwa mwaka mwengine.... Ila naamini kama hajafanya mazuri mwaka huu kibarua kitaota nyasi na yeye.
I dont think Zidane ni kocha mzuri, Nahisi ni kocha ambae anabebwa na kipaji cha mchezaji, sio kwamba ni msukaji wa kikosi... ila sijui lakini ni mtazamo tu.
Yes, Zidane anaweza kuwamanage wachezaji kisaikolojia, ata awe star vipi. Halafu Zidane anaonekana ni mtu understanding na sio tu kwamba anajiona yeye manager basi kila maamuzi ni yake tu. Lakini nafikiri Zidane ni kocha umpe wachezaji wanaojua nini wafanye uwanjani na sio mifano ya kina lingaardMou anakosa kauli nzuri kwa wachezaji,huyo Zidane wanasema ni bingwa wa kuwapa moyo chezaji katika vyumba vya kubadilishia nguo.
MUFC kwa sasa haina hata nahodha wa kuwapa nguvu wachezaji.
Mou ni bingwa wa kuwakoroga wachezaji.
Neno.Asante mkuu kwa kunielewa. Tunatakiwa tuongee ukweli ulivo na sio kutetea tu.
Sikatai kama Mou ameleta mafanikio MU kuliko LVG na Moyes. Huyu sio yule Mou wa Chelsea enzi zile ndo kwanza anaisuka CFC.
Sikufichi, ilikuwa MU ikikutana na CFC naona tafrani tu, kugongwa bila wasi. Ila saivi, haro debe kila nkikutana na rival, labda Arsenal tu ndo hajawahi kunitisha!
Mourinho ni mtu wa kubwatuka bwatuka tuMou anakosa kauli nzuri kwa wachezaji,huyo Zidane wanasema ni bingwa wa kuwapa moyo chezaji katika vyumba vya kubadilishia nguo.
MUFC kwa sasa haina hata nahodha wa kuwapa nguvu wachezaji.
Mou ni bingwa wa kuwakoroga wachezaji.
Tusijifariji kwa Mechi hii, Msimu ukianza tutapoteana. Madrid hawakuwa serious na hii game, morinho aliamua kukamia kutufariji tu baada ya kipigo kutoka kwa liverpoolAfadhali tumetoa gundu msimu Mpya aisee
Umeshawahi kuwa kocha wa team ganJOSE MOURINHO ana matatizo ya kisaikolojia na yamepanda stage, kwa washabiki wanaojua mpira hawatabishana kuwa Mou ni Muoga kupindukia alf uoga wake kwenuye timu kubwa kama United haufai.. Jinsi alivyojitetea baada ya mechi ya Liver na hata kikosi alichopanga asubuh ile na Madrid yote ni uoga. Kwa timu kama Manchester kupanga kikosi full cha wachezaj walioko alf unafanya sub tatu tu kama fainali vile, kina Sanchez anao kila siku kwann wacheze dk 90 wakati kuna madogo wanaoweza wakacheza tu kupima uwezo wao, huo ni uoga wa matokeo kitu ambacho kita mcost kweny kutengeneza timu.
Tukipigwa nongwa tukishinda nongwa kwa hiyo kocha asitafute balans ya kikosi kisa mech za majaraibio? Hii timu ngumu sanaTusijifariji kwa Mechi hii, Msimu ukianza tutapoteana. Madrid hawakuwa serious na hii game, morinho aliamua kukamia kutufariji tu baada ya kipigo kutoka kwa liverpool
View attachment 824346