mkuu kuna haja gani ya kupiga mpira mwingi halafu huna kitu?Kuna timu ndogo tu pale EPL zinapiga mpira mzuri kuliko sisi na hawana World class players.
Hitimisho Mou ndo tatizo pale period
mkuu kuna haja gani ya kupiga mpira mwingi halafu huna kitu?
Kuna Mtu anaitwa Radika subiri majibu yake kwa ulichoandika hutokaa uamini.JM huwa anaexpectation kubwa sana kwa wachezaji anaowasajili ndo maana wakiyumba kidogo maneno mengi sana. Jose anaweza akasajili mchezaji alafu akamuweka bench tu na kuanza kutumia wale wale asiowaamini. Victor yupo, Rojo yupo lakini bado unalialia tu.. JM tatizo sio wachezaji, tatizo ni mfumo wake na maneno ya ajabu. Siamini kama kuna mchezaji hataki kukipiga ndani ya uzi wetu ila attitude za JM ni shida jamani, Fred mtaona atakachofanya.
Saa tisa usiku na dakika tano mkuu.Mkuu tunakipiga saa ngap leo
Pamoja mkuuSaa tisa usiku na dakika tano mkuu.
Radika anajua ubovu wa JM sema anajipa matumainiKuna Mtu anaitwa Radika subiri majibu yake kwa ulichoandika hutokaa uamini.
Poa mkuu.Pamoja mkuu
Hapama kocha sio mbovu mpira umebadilika sana ukiangalia barcelona wanavyohangaika kusajili halafu mnataka kocha amlazimishe lingard acheze kama coutinho au salah ni utani huyo mourinho alimkuta sir alex na madrid old traford katufanyaje?Radika anajua ubovu wa JM sema anajipa matumaini
Mchezaji anacheza kulingana na majukumu aliyopewa na kocha wake.Hapama kocha sio mbovu mpira umebadilika sana ukiangalia barcelona wanavyohangaika kusajili halafu mnataka kocha amlazimishe lingard acheze kama coutinho au salah ni utani huyo mourinho alimkuta sir alex na madrid old traford katufanyaje?
Asipotimiza majukumu yake kwa usahihi inakuwaje?Mchezaji anacheza kulingana na majukumu aliyopewa na kocha wake.
Naamini umekubali nilichokuambia.Mchezaji anacheza kulingana na majukumu aliyopewa na kocha wake.
Swali langu linarudi palepale Mou analalamika usajili je mpaka sasa tokea amekuja united amesajili wachezaji wangapi?? Kati yao wangapi wanaperform sawasawa na walikotoka? Pogba amekuja akiwa WC player micki, na wengine hawa wote wameshindwa kufanya vizuri shida ni nini?.
Kama alinunua wachezaji wazuri lakini wameflop na amekuta kina Martial Rashford wakiwa vizuri wote now wameflop wakija hao wengine tuna uhakika gani kama wataperform vizuri au ndo mauza uza yataendelea.
Kuna timu ndogo tu pale EPL zinapiga mpira mzuri kuliko sisi na hawana World class players.
Hitimisho Mou ndo tatizo pale period.
Unanunua, tatizo la JM ananunua watu ambao wanashindwa kutimiza majukumu yao vizuri. Sasa yeye aachwe tu anunue watu ambao kuwatumia itakua ngumu? Nasemaje hata huyu fred atapata shida sana.Asipotimiza majukumu yake kwa usahihi inakuwaje?
Hamna haja mkuu lakini timu yetu haina mchezo mzuri hata kidogo kupiga tu pasi 10 ni shida hata kama tunashinda mechi tumekua wa pili lakini bado haifurahishi kuangalia mkuu.mkuu kuna haja gani ya kupiga mpira mwingi halafu huna kitu?
Niliiona Mkuu dogo alionyesha ana kitu kingine cha ziada zaidiKidunula 1 njoo huku mkuu uone free kick ya perreira aiseee hatar sana
Unamkumbuka kleberson,bebe,veron,pique ni baadhi tuliwasajili wakashindwa kuwika hata madrid wamesajili watu wengi hawakuwika lakin hamna aliesema kwa kuwa hawakuwika bas hamna kusajiliUnanunua, tatizo la JM ananunua watu ambao wanashindwa kutimiza majukumu yao vizuri. Sasa yeye aachwe tu anunue watu ambao kuwatumia itakua ngumu? Nasemaje hata huyu fred atapata shida sana.