Kwani wachezaji ni hao watano tu? au wangeweza kuwa 10?Mkuu katimiziwa mahitaji yake ya uwanjani? Kaomba wachezani wa 5 toka mwezi wa 4 wamefika?
wewe ndio hujaelewa, nenda youtube kasikilize alichosema na wala sio kama unavyotuaminisha. hapa ndio najua aina mashabiki wa man u ni watu wa kusikia sikia tu hakuna facts mnachojua ni kulalama poor guys!Yaani hata sentensi yangu inaonekana hujaisoma yote. Na usitake kuniambia amemaanisha poor ya masikini (fukara) maana utakuwa unachekesha. Au kwa kuondoa mzozo toa tafsiri yako kwa sentensi hiyo.
Hasira zisikutie upofu.
Hiyo interview nilisha isikiliza. Maneno aliyo yasema ni hayo kwenye picha. Kama kuna mengine aliyo ongea kuhusiana na hili yalete. Ila kwa kuwa wewe ni mtu wa facts naamini utaleta facts kwa either kutafsiri ilivyo sahihi au kuleta mengine kwa kuwa Mimi nimetoa yasiyo sahihi.wewe ndio hujaelewa, nenda youtube kasikilize alichosema na wala sio kama unavyotuaminisha. hapa ndio najua aina mashabiki wa man u ni watu wa kusikia sikia tu hakuna facts mnachojua ni kulalama poor guys!
Hahahaahaa. Ila ni jambo la kawaida kwenye mpira. Tunatofautiana mitazamo Japo hakuondoi uhalisia.Naona Media War bado inaendelea Between Fans Wa Mou vs Haters Wa Mou
Yani nacheka Manake Kuna Jamaa huko Akiibuka Kwenye Uzi wetu Lazima Akinukishe.. Manake atakulazimisha Ukubali Kuwa Lovren ni Bora Kuliko Umtiti.... Henderson ni bora Kuliko Kante... Lallana ni bora Kuliko Messi πππππ
Hiyo interview nilisha isikiliza. Maneno aliyo yasema ni hayo kwenye picha. Kama kuna mengine aliyo ongea kuhusiana na hili yalete. Ila kwa kuwa wewe ni mtu wa facts naamini utaleta facts kwa either kutafsiri ilivyo sahihi au kuleta mengine kwa kuwa Mimi nimetoa yasiyo sahihi. View attachment 823554
Na ndio hiki nilicho kuwa namwambia Daud1990. Kuwa Mou hajaongea kauli ya kumkandia Sanchez pale kama yeye alivyo ileta hapa. Ila nikaona umeni quote kusema kuwa nacho kisema sio kilicho maanishwa kwenye hiyo interview. Ila kumbe tulikuwa tuna sema kauli mojaID yako inatoa tafsiri sahihi ya akili yako. sioni kosa la Mou kwenye hiyo statement labda uwe hujui kiingereza. Tuache maneno ya kuokoteza okoteza
We jamaa hivi unaelewa KiTrump kweli?????Hiyo interview nilisha isikiliza. Maneno aliyo yasema ni hayo kwenye picha. Kama kuna mengine aliyo ongea kuhusiana na hili yalete. Ila kwa kuwa wewe ni mtu wa facts naamini utaleta facts kwa either kutafsiri ilivyo sahihi au kuleta mengine kwa kuwa Mimi nimetoa yasiyo sahihi. View attachment 823554
Ndio maana nikakwambia na kukuchagulia Cambridge dictionary ili upate Real definition of Poor in Correlation to particular shared context.Yaani hata sentensi yangu inaonekana hujaisoma yote. Na usitake kuniambia amemaanisha poor ya masikini (fukara) maana utakuwa unachekesha. Au kwa kuondoa mzozo toa tafsiri yako kwa sentensi hiyo.
Hasira zisikutie upofu.
You've Nailed everything Boss.Kwani wachezaji ni hao watano tu? au wangeweza kuwa 10?
Excuses zimeanza mapema kabla msimu haujaanza, ili akiboronga aje aseme "nilitaka wachezaji watano Man utd wamenipa wawili"
Kama kocha lazima atambue kuwa kuna mchezaji kukubali na kukataa, sasa kama amekataa manake ndo Mou kwisha hana la kufanya?
How much did we spend on players during his time? are we spending the money wisely?
Looserfool Kaa kimya.Naona Media War bado inaendelea Between Fans Wa Mou vs Haters Wa Mou
Yani nacheka Manake Kuna Jamaa huko Akiibuka Kwenye Uzi wetu Lazima Akinukishe.. Manake atakulazimisha Ukubali Kuwa Lovren ni Bora Kuliko Umtiti.... Henderson ni bora Kuliko Kante... Lallana ni bora Kuliko Messi πππππ
Mdau hebu tufupishe mjadala. Pengine Mimi sielewi KiTrump hebu niambie wewe unaye kielewa vizuri kuwa Mou alikuwa ana maanisha nini hapo tumalize?.We jamaa hivi unaelewa KiTrump kweli?????
Hilo jibu la phase ya pili tafuta hiyo clip usikilize swali aliloulizwa na kwanini alijibu hivyo.
He meant what I shared. Period.Mdau hebu tufupishe mjadala. Pengine Mimi sielewi KiTrump hebu niambie wewe unaye kielewa vizuri kuwa Mou alikuwa ana maanisha nini hapo tumalize?.
Ulicho share hapo auu? Kwamba kisa Mou kasema Poor Sanchez ndio kathibitisha kuwa yeye ni mbabaishaji auu asipewe hela ya usajili? Auu kuna kingine.He meant what I shared. Period.
Ngoja wafia team wajeMimi sikubali kama rashford na martial wameisha kiasi hicho...ndio maana bodi ya timu haiwezi kumuelewa Mou anavyosema anamtaka perisic na willian wakat pale ana vijana wanaoweza kufanya kazi vzr wakitokea pembeni. Kama bodi haitaki kusajili wachezaji anaowataka aondoke. Hata Fergie kuna wachezaji alikuwa anawakosa. Kuanza kuwasema wachezaji wadogo tena kwny pre season si kitu kizuri
Joyful Bourgeoisie in Plantation.Ulicho share hapo auu? Kwamba kisa Mou kasema Poor Sanchez ndio kathibitisha kuwa yeye ni mbabaishaji auu asipewe hela ya usajili? Auu kuna kingine.View attachment 823646
Mimi sikubali kama rashford na martial wameisha kiasi hicho...ndio maana bodi ya timu haiwezi kumuelewa Mou anavyosema anamtaka perisic na willian wakat pale ana vijana wanaoweza kufanya kazi vzr wakitokea pembeni. Kama bodi haitaki kusajili wachezaji anaowataka aondoke. Hata Fergie kuna wachezaji alikuwa anawakosa. Kuanza kuwasema wachezaji wadogo tena kwny pre season si kitu kizuri