johnmweusi
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 201
- 268
Unajua tunacho tofautiana ni kitu kimoja. Mourinho ni binadamu na ana mapungufu kama walivyo binadamu wengine. Ila unacho sahau ni kwamba kila kocha ana hitaji watu wa aina Fulani ili kuweza kufiti kwenye mfumo wake. Usipo mpa watu wanao fiti kwenye huo mfumo basi usitegemee kupata Matokeo mazuri.Kama bodi ya utd ingekuwa inaangalia mpira wa Pasi nyingi (mpira mnao ita ni wa kisasa) LVG asinge fukuzwa. Shida ya Manchester haikuwa kucheza mpira mzuri shida KUBWA ni makombe. Na hii task aliyeonekana(binafsi naamnini anayeweza kufanya mpaka saiz) ni Mourinho.Hahaaha nyie jamaa mnachekesha. Si huyu huyu mou Anampanga Smalling na Benchi anakuwepo Rojo au huwa hamna macho.
Nakujibu tu, Namba ya matic , herera anacheza vyema kabisa. Na mmesahau herera alivyokuwa anapigwa benchi.
Katika Kipindi Cha mourinho amesajili wachezaji tisa. Kwa kocha mwenye uwezo tungekuwa tunaona soka la maana hata kama team inakuwa inafungwa. Timu kila siku back pass. Hivi mfumo wa back pass ni mpaka uwe na wakina Ronaldo na Messi ndio usicheze hivyo.
Mou ni mweupe kimbinu. Anatuharibia team tu hana lolote. Ni bora asipewe hela afukuzwe aje kocha mwenye mbinu za mpira wa kisasa. Sio kumwaga hela kwa kocha wa hovyo. Team inapack basi muda wote mpaka pre-season.
Nasikia Anataka amuuze Rojo huu si ujinga kabisa ,halafu anataka hela asajili beki. This is totally wrong disbursement of Funds. Kutwa kuongea shits kwa wachezaji.
Wachezaji wote ambao walikuwa na promising performance kipindi cha Van Gal chini yake wote wamekuwa butu kutokana na mambinu yake ya kujihami kuliko kusakata soka. Rashford na Martial ni mfano tu.
Kipindi cha kati hapa alianza kumchezesha Pogba kama Holding Midfielder mpaka Giggs na Paul scholes siku hiyo walikuwa BT sports walilalamika sana kuwa mourinho anataka kuua kipaji cha Pogba.
Chini ya Mou team haiwez fika kokote.
Mkuu top players wa aina gani Man United inayowakosa?Kuna muda unaweza kuwa na academy halafu ikatoa wachezaji wachovu mara ya mwisho kutoa academy yenye nguvu ya wakina pogba tu kidogo saiv namuona perreira scott,axel na mensah sasa hao ukiwapanga unapokutana na liverpool, chelsea na city nini unataka bila kuwa na top players?
Madrid kulikuwa na
Ronaldo
Bale
Mondric
Kroos
Ramos
Marcelo
Carvajal
Hapo hata ukiweka vitoto walau vinapumua sasa vipi united?
Ukiangalia chanzo cha hiyo post uliyo quote utagundua aliye mention majina ni tofauti na aliye sema kuwa Man utd ina wachezaji wabovu.Japo sio mshabiki wa Man United Ila jamaa amenishtua alivyowataja akina Sanchez,Lukaku,Mata,Matic,Pogba,De Gea ni wachezaji wa kawaida tu ukilinganisha na wa Man City.
Hawa ni wachezaji wa kiwango cha juu kama wa Man City tu na zaidi wanaweza wakawapita pia.
Hivi Ukiunda combined Timu ya Man City/United mbona wachezaji Wengi watatoka United? Kubalini tu Mourinho hana mbinu za kuipa United Makombe.
Hebu angalia Pogba akicheza Ufaransa na alivyokua Juventus..Leo Mourinho anamuona hana kiwango.
Huyo Jamaa ni mbishi sijapata ona
Mkuu unataka kulinganisha wachezaji waliokuwepo Man utd na Real Madrid? Huo mzani hauja balance.Mkuu top players wa aina gani Man United inayowakosa?
Wakina Sanchez,Pogba,Matic,Herrera,Lukaku,Bailly,Martial,De Gea sio top players?
Hawa wote wana uwezo wa kuchezea Madrid vizuri tu.
Timu nzima haiwezi Kuwa na top players namba zote.
Je Liverpool ina top players gani? Mbona ilifika fainali UEFA?
Mkuu umewahi kujiuliza kwa nini kipa anakuwa mchezaji bora wa timu misimu labda minne mfululizo hao hawakuwepo?wapiga kura wanakuwa na uoendeleo au?Mkuu top players wa aina gani Man United inayowakosa?
Wakina Sanchez,Pogba,Matic,Herrera,Lukaku,Bailly,Martial,De Gea sio top players?
Hawa wote wana uwezo wa kuchezea Madrid vizuri tu.
Timu nzima haiwezi Kuwa na top players namba zote.
Je Liverpool ina top players gani? Mbona ilifika fainali UEFA?
Mkuu labda muulize Aliumia salah ambae ana mchango mkubwa ndani ya liverpool bench alikuwa nani mbadala?Mkuu unataka kulinganisha wachezaji waliokuwepo Man utd na Real Madrid? Huo mzani hauja balance.
Hao liver walivyo fika fainali walifanyajee?
Fact.Mbona Ni Mambo Ya Kawaida Kwenye Majukwaa Kama Haya Kutofautiana Mitazamo.
Hata Jukwaa letu sometimes unaweza Kutukutia Kama Bunge la Ukraine ambalo Nusu ya Wabunge wake ni Maboxer Muda wowote Hutupiana Makonde.
Haiwezekani Washabiki Wote Wawe na Mtazamo mmoja.
Mkuu katimiziwa mahitaji yake ya uwanjani? Kaomba wachezani wa 5 toka mwezi wa 4 wamefika?Sasa mkuu asipolaumiwa kocha kwenye kukosa back up alaumiwe nani?
Nimesha edit post tayri Mkuu.Mkuu labda muulize Aliumia salah ambae ana mchango mkubwa ndani ya liverpool bench alikuwa nani mbadala?
Liverpool wangekuwa na kikosi kipana na top players walah wangefanya jambo alibaki mane bado walikuwa mwiba madrid walishinda game kwa kuwa na wachezaj wengi wazuri na ukibwa wa kikosi chao leo sisi akiumia valencia sub ni darmian huu is utani
Tukiwa tunawaambia huyu kocha ni mbabaishaji muwe mnatuelewa wandugu.Ukiangalia chanzo cha hiyo post uliyo quote utagundua aliye mention majina ni tofauti na aliye sema kuwa Man utd ina wachezaji wabovu.
Mkuu ni kweli Man utd ina baadhi ya wachezaji wazuri ila tatizo pia ina wachezaji wengi zaidi ambao sio wazuri(kwa mtazamo wangu). Ili kujipima kama una timu nzuri au mbovu inabidi pia uangalie na wapinzani wako wapo vipi?
Kwa upande wangu wachezaji wa kikosi cha kwanza waliokuwepo msimu uliopita wenye hadhi ya kuchezea man utd ni Degea,Matic,Herrera,Pogba,Sanchez(kaja January nadhani msimu huu ata improve),Mata na Lukaku.
Rojo&Baily msimu uliopita karibu wote wameumalizia benchi.
Valencia &Young wanajituma kweli lakini kwa age yao walitakiwa wawe backup players.
Martial na Rashford walikosa consistency.
(najua watu watasema wali badilishwa badilishwa namba lakini nacho jua mchezaji mzuri anajithidi kutumia vizuri kila dk anayo pewa ili aweze Ku prove kuwa yeye ni mchezaji mzuri)
Linderlof bado hakuwa amezoea na alipo pewa nafasi wote tuliona makosa aliyo kuwa ana yafanya.
Na tatizo linaloonekana wazi kwenye timu ya Manchester ni udhaifu wa upande wa kulia pamoja na back line(japo hili lilifichwa na Degea). Naamini yakifanyiwa kazi hayo hapo tutakuwa kwenye position nzuri kuanza kumjudge kocha.
Kwa Pogba hata mashabiki wa man utd na malegend wengi wamekuwa wanamsema kuhusu attitude yake. Na mou alilizungumzia hilo ila sikumbuki kama amewahi kusema Pogba ni mbovu au hana kiwango.
Kuna muda najiuliza hivi zile mechi za Manchester huwa na hawa mashabiki wanaomtetea mou huwa wanaziangalia kweli??Wanashindwa kuona hata zile mechi tulizoshinda msimu uliopita zingeongezwa dakika tano katika hizo mechi tungeweza kutoka sare au kufungwa kabisa.
Timu inacheza hovyo sana.
Kwa nilivyo ielewa hiyo kauli ni kwamba alikuwa ana sikitika kuwa mpaka saiz mchezaji pekee wa kikosi cha kwanza kwenye nafasi ya ushambuliaji aliyerudi ni Alexis Sanchez.Tukiwa tunawaambia huyu kocha ni mbabaishaji muwe mnatuelewa wandugu.
Leo anasema sanchez ni poor hahaha h a .... Halafu anakuja mtu anasema apewe hela ya kusajili.View attachment 823464
Wewe utakuwa sio mzima , kwanza nimekusoma una udhaifu wa kusahau. Leo umesahau mambo mazito aliyofanya Rashford katika umri wake mdogo. Umesahau Van Gal alivyomuamini vs Arsenal Akawapiga 2 peke yake. Umesahau debut yake ya europa?? Umesahau leo hii???Kuna muda unaweza kuwa na academy halafu ikatoa wachezaji wachovu mara ya mwisho kutoa academy yenye nguvu ya wakina pogba tu kidogo saiv namuona perreira scott,axel na mensah sasa hao ukiwapanga unapokutana na liverpool, chelsea na city nini unataka bila kuwa na top players?
Madrid kulikuwa na
Ronaldo
Bale
Mondric
Kroos
Ramos
Marcelo
Carvajal
Hapo hata ukiweka vitoto walau vinapumua sasa vipi united?
Mkuu kwahyo wewe ulivyolewa hayo maneno ni kuwa " Mchezaji wa kikosi cha kwanza alierudi ni sanchezi tu"Kwa nilivyo ielewa hiyo kauli ni kwamba alikuwa ana sikitika kuwa mpaka saiz mchezaji pekee wa kikosi cha kwanza kwenye nafasi ya ushambuliaji aliyerudi ni Alexis Sanchez.
Sijui wewe umetoka na tafsiri gani hapo.
Yaani hata sentensi yangu inaonekana hujaisoma yote. Na usitake kuniambia amemaanisha poor ya masikini (fukara) maana utakuwa unachekesha. Au kwa kuondoa mzozo toa tafsiri yako kwa sentensi hiyo.Mkuu kwahyo wewe ulivyolewa hayo maneno ni kuwa " Mchezaji wa kikosi cha kwanza alierudi ni sanchezi tu"
Hahahahahaha Elimu yetu inahitaji mapinduzi mazito ya Kiufundi.
Kwahiyo hujaona neno "poor sanchez".... Hebu Tafuta English dictionary ya Cambridge uangalie maana ya neno Poor halafu uje hapa Kutoa comment yako tena.
[emoji1] [emoji1]
Marekebisho kidogo Toure ashatemwa pale cityAkiumia Matic backup yake ni nani? Lukaku akiumia/akiwa na game mbaya nani anakuja kama mbadala? , Akiumia Baily basi unaingia uwanjani na Jones na Smalling. Ukitaka kujua kama timu yako ni ya kawaida au la jilinganinshe na mpinzani wako, ambaye kwa sasa ni Manchester City.
Kipa tumewazidi. Ila anzia namba mbili hadi 11 uone mwenzio alivyo na options za kutosha.
Mwenzako ana Stones,Laportte,Otamendi,kompany,Walker,Mendy,Delph na wengine kwenye ukuta. Viungo ana Kdb,D.Silva,Fernandinho,Gundogan,Yaya toure hao wote ni matured players.
Hapo hujazungumzia washambuliaji wake. Aguero ana pigwa rotation na ana pata Matokeo. Wakati wewe winga yako ya kulia ni Lingard/Mata mwenzio anamchukua Mahrez kama mchezaji wa kuongeza depth.
Kwanini asikushinde??
Shukrani. Japo Nilikuwa nazungumzia vikosi vya msimu uliopita. [emoji120] [emoji120]Marekebisho kidogo Toure ashatemwa pale city
Maneno aliyo yaongea kwa ujumla wa hiyo sentensi ni haya. Sio unakuta ka line kamoja na wewe unachukua neno moja. Eti poor Sanchez ndio una kasimamia hako hako. Hasira zako kwa Mou zisikutie upofu.Mkuu kwahyo wewe ulivyolewa hayo maneno ni kuwa " Mchezaji wa kikosi cha kwanza alierudi ni sanchezi tu"
Hahahahahaha Elimu yetu inahitaji mapinduzi mazito ya Kiufundi.
Kwahiyo hujaona neno "poor sanchez".... Hebu Tafuta English dictionary ya Cambridge uangalie maana ya neno Poor halafu uje hapa Kutoa comment yako tena.
[emoji1] [emoji1]