Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Lazima achukie tu miezi mitano nyuma huko kaomba players watano hadi sasa kapata wawili tu hata mimj ningetema mbovu anaepata shida uwanjani ni kocha sio ed woordward mpatie watu kama atasema hao sio wangu tuone
Nakuunga mkono mkuu ukiangalia usajili wa timu zetu wa kawaida sana barcelona wanawaza kumtoa dembele na yule bek wa colombia sisi tumebaki kumkandia kocha bila kuangalia kama timu zinawachezaji sawa na jina la timuKutaka au Tusitake Kama Visima vya Mafuta Vya Muarabu Havijakauka Basi Man City na Msimu huu atatuburuza Vibaya Sana.
Kwa Kutegemea Katika Timu 20 ni Liverpool na Man United pekee ndiyo tumvizie tumfunge!!!!!! Waliobakia 17 awapige wrote!!!
Yani nashindwa Kuamini Mwarabu anatoa £60m kumnunua Mahrez ambaye ni Mchezaji Wa Benchi Kwa Man City!!!!
Anatoa zaidi ya £45m Kwa Kumnunua Mchezaji Wa Benchi Bernardo Silva!!!
Yani ni jambo la kukatisha tamaa kupambana na Timu inayotoa £60m kununua Mchezaji Wa Hakiba Wa Kuongeza Depth.
Kwahiyo tusiumize Kichwa Sana Huu nao pia ni Msimu Wa Man City.
Kwa Usajili Wa Kina Bakayoko, Xhakiri, Fred na Wauza mitumba Wa Arsenal nadhani tutaendelea Kuwa Wasindikizaji manake ninauhakika na January Mwarabu pia atasajili wakati sisi tukikazania Kuimarisha Watoto Wa Academy.
Ukweli mchungu, Mou hawezi kutusua mbele Ya Guardiola. Haiwezekani na haitawezekana.Kutaka au Tusitake Kama Visima vya Mafuta Vya Muarabu Havijakauka Basi Man City na Msimu huu atatuburuza Vibaya Sana.
Kwa Kutegemea Katika Timu 20 ni Liverpool na Man United pekee ndiyo tumvizie tumfunge!!!!!! Waliobakia 17 awapige wrote!!!
Yani nashindwa Kuamini Mwarabu anatoa £60m kumnunua Mahrez ambaye ni Mchezaji Wa Benchi Kwa Man City!!!!
Anatoa zaidi ya £45m Kwa Kumnunua Mchezaji Wa Benchi Bernardo Silva!!!
Yani ni jambo la kukatisha tamaa kupambana na Timu inayotoa £60m kununua Mchezaji Wa Hakiba Wa Kuongeza Depth.
Kwahiyo tusiumize Kichwa Sana Huu nao pia ni Msimu Wa Man City.
Kwa Usajili Wa Kina Bakayoko, Xhakiri, Fred na Wauza mitumba Wa Arsenal nadhani tutaendelea Kuwa Wasindikizaji manake ninauhakika na January Mwarabu pia atasajili wakati sisi tukikazania Kuimarisha Watoto Wa Academy.
Hivi Kwa team kama united inaweza kushindwa kununua mchezaji???Pamoja na kurithi kikosi imara zaidi ya United, Pep amesaini wachezaji 20 ndani ya miaka 2 iliyopita, Mourinho amesaini wachezaji 9 tu
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Ukisoma hiyo post utaona kabisa mourinho anaonewa sana sasa unapambaba vipi na city?
Timu aliyoikuta pep akafukuza bado hatukuweza kuifunga achilia mbali hii aliyonunua watu wake.
Sasa unapata jibu kwa nini kocha hawezi kumuuza hata fellain mana anajua bodi inasumbua kubadilisha wachezaji ni bora kuzuia kuliko kupigwa chuma 5
Mourinho naimani nae sana mnaomkosoa mjitathimini kama hatuwezi hata kununua new players kwa nini tumshambulie kocha?
Hivi young anapata namba kwa pep?
Mkuu so it seems the board is looking at another options....so wanaona wasitumie hela kwa mtu alieshindwa o???Hivi Kwa team kama united inaweza kushindwa kununua mchezaji???
You're matured enough use your medulla oblongata to logic what's going down felah.
Yaani unaamini kabisa team yenye ukwasi inashindwa kununua player. Hahahahaha
Nasema tena Sit Down And Think Twice, utapata Majibu.
Pamoja na utajiri mkubwa ilionao kuvizidi vilabu vyote vya soka duniani, United wamekuwa na tatizo kwenye kufanya usajili chini Ed Woodward. David Moyes alisajili mchezaji mmoja wakati alipoachiwa timu - na alilalamika kwamba bodi ya United ilimuangusha kwenye usajili. Van Gaal pia alitoa malalamiko kuhusu bodi na Woodward kwenye usajili na sasa MourinhoMkuu so it seems the board is looking at another options....so wanaona wasitumie hela kwa mtu alieshindwa o???
Definately Yes,Mkuu so it seems the board is looking at another options....so wanaona wasitumie hela kwa mtu alieshindwa o???
Acha uongo , David Moyes alisajili two players Maroane Fellain na Juan Mata Garcia.Pamoja na utajiri mkubwa ilionao kuvizidi vilabu vyote vya soka duniani, United wamekuwa na tatizo kwenye kufanya usajili chini Ed Woodward. David Moyes alisajili mchezaji mmoja wakati alipoachiwa timu - na alilalamika kwamba bodi ya United ilimuangusha kwenye usajili. Van Gaal pia alitoa malalamiko kuhusu bodi na Woodward kwenye usajili na sasa Mourinho
[emoji1][emoji1]Mou aende tu malalamiko mengi sn
Hata Alcantara pia alimgomea babuKuna watu watakuwa wameanza kushabikia unite Majuzi tu. Hata kipindi cha furguson kuna wachezaji akiwataka ila walisepa na kwenda timu zingine.
Wa kwanza ni Alexis Sanchez akatimkia zake Barcelona akitokea Huko italia.
Manuer Neur babu alimtaka saaaaaaana akatimkia Bayern. Na kipindi hicho CEO alikuwa David Gill na sikuwahi kusikia mtu anasema Gill dhaifu. Ilieweka wachezaji walifanya maamuzi yao binafsi.
Mourinho akiondoka unafikir ndo kufanikiwa kwa manchester?Mou aende tu malalamiko mengi sn
Ronadinho alikataa mondric alikataa alan sherer alikataa list ni ndefu ya wachezaji waliokataa kujiunga na sir alex sio mourinho tu anakataliwa nao .Hata Alcantara pia alimgomea babu