Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hahahaha jamaa umepanic relax, sikujibu kwa matusi mimi siko ivo mzee
 
Hebu weka takwimu zao per last season..


Weka Idadi ya Games walizocheza, Magoli na Assists, acheni utani na uongo uongo
takwimu za club au timu ya taifa.?nachojua world cup inaenda timu ya taifa so leta takwimu zao kwenye timu ya taifa
 
Halafu inajitokeza mi BENCHOT inamuona mou Kocha
 
Hauwezi kumuanzisha Chong au Gomez kwenye mechi za mashindano.
Sasa kama hawez kuwaanzisha hao kwenye game za kimashindano utasemaje anakuza vipaji vya Vijana?


Hivi unakumbuka Game ya Manchester vs Arsenal?? Rashford anaingia kambani twice???


Nenda kwa kalenda yako ucheki rash alikuwa na miaka mingapi. He was Just 17. Hiyo ndio maana ya kukuza kipaji sio kuwapa nafasi kwenye mechi za pre season.
 
Mkuu acha propaganda za magazet


Hiyo ya kutoka kwa shaw mwenyewe
View attachment 821483
Manchester United manager Jose Mourinho has insisted defender Luke Shaw has a future at the club, despite his omission from the first team set-up in recent months and an interview claiming he wants to be reunited with his old boss Mauricio Pochettino.
Shaw has not started a Premier League game for United since April and has been restricted to appearances in the Carabao Cup this season, amid suggestions that he could be part of a swap deal involving Danny Rose.
Shaw’s quotes claiming he wants to work with his former Southampton manager Pochettino were viewed as inflammatory when they appeared in the media on Thursday, but Mourinho seemed unconcerned by the comments.
“Luke Shaw was just honest,” he stated. “The manager that helped him to come to the first, to come to the best moment of his career is a manager that do not forget he likes a lot and that maybe one day he would be reunited again so for me the perfect words that show Luke Shaw character in relation to the people that he happy with. Hyo ilikuwa mwaka jana
 
Waingereza walipambiza sana mkuu dogo acheze au asepe kifupi mourinho huwa hayumbi ktk msimamo wake wenyewe na magazeti yao wameacha saiv kimya wameanza kumshauri ajitume ukikimbia timu kubwa unataka kucheza sunderland ndicho martial anakitafuta anatakiwa kukaza
 
Kidunula 1 njoo huku mkuu uone free kick ya perreira aiseee hatar sana
 
Mourinho kaamua mwaka huu asishinde hili kombe kama miaka iliyopita..Good for you guys. Kachoka kuwadanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…