Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Martial ni mvivu sana kocha wa ufaransa kashindwa hata kumuamini kama mzur tatizo ni kocha kwa nini asichukuliwe? Kachukuliwa mtokea bench giroud yeye wap kwa nn?
brandtz ni mzuri mara 1000 kuliko sane! labda kama unataka kubishana tu hapaAlikuwa anapangwa karibia kila game ukiondoa mbili tatu alizowekwa benchi. Pia naamini kocha Wa ufaransa anaamini uwezo Wa pogba ila anajua ubovu Wa Mourinho ndio unafanya mchezaji aonekane mbovu pia. Kuhusu giroud hyo siyo justification sometimes makocha wanachemka pia. Vipi kwani giroud ni mzuri kuliko benzima? Fellaini anaweza timiza vema majukumu ya namba 6 kuliko Raidja naingolan? Brandt ni mzuri zaidi kuliko Leroy sane?
Mfumo wakeKwanini uvivu wa Martial utokee chini ya Mourinho?
Ili 2020 aondoke bure baada ya hicho kipengeleMan u wana option ya kuongeza mwaka mmoja ktk mkataba Wa martial. Mou anaona vyovyote poa tu wakati Woodward anaona ni muhimu sana hicho kipengele kikafanyiwa kazi
Ha ha ha ingia ndani zaidi Mzee au mzuri Wa sura Mara 100?brandtz ni mzuri mara 1000 kuliko sane! labda kama unataka kubishana tu hapa
Go East, Go West. Mourinho ni kocha wa hovyo saaaaaana.Mkuu sasa kama martial ni mzur anajua mourinho ni mbovu kwa nini amuache amchukue dembele alietoka majeruh?
hawa jamaa zetu humu ndani wenyewe ni kila kitu Mou hafai Mou hafai hafai, ivi mnaona miili ya wale madogo? physically madogo hawawezi kucheza ligi kuu! watakua wanaanguka anguka tu kila wakiguswa na opponent ndio maana mou kakiri wazi kwamba wana skills but they need to develop physically! mnataka hao makocha wenu embu nambie timu gani kati ya arsenal, chelsea, liverpool imeenda pre season na hao mnaowaita madogo na wakapata nafasi?Mourinho hapendwi tu hata sir alex hakumpa nafasi pogba muda ulikuwa bado hao wakina chong na gomez muda bado watapata nafasi tu
Huyo scott mctominay katokea wap?
Kipa kapandishwa na mourinho
Chong mourinho
Gomes mourinho
Sijajua mantik yako
Martial kaharibiwa zaidi na mou. Ila hata mwaka Jana ilifikia kipindi shaw alisema angependa kufanya kazi chini ya pochetino. Na bado naamini mou hampendi shaw na hata sasa mojawapo ya signings anazotarajia kuspend sana ni left backMartial ni mbovu..huo ni ukweli dogo ameishiwa confidence..dogo haonekani kupigania namba..dogo anataka kuondoka..
Luke shaw ni mfano mzuri..amekuwa na majeraha sana na morho amempigisha benchi na kumtolea maneno ya hovyo sana lakini mwisho wa siku jamaa ana moyo wa kupambana na kujituma everytime akipata muda..
Luke shaw angekuwa na tabia ya martial angekuwa ameshaondoka utd.
Nashangaa sana mchezaji kiwango kinashuka lawama anapewa kocha hii ajabuMartial ni mbovu..huo ni ukweli dogo ameishiwa confidence..dogo haonekani kupigania namba..dogo anataka kuondoka..
Luke shaw ni mfano mzuri..amekuwa na majeraha sana na morho amempigisha benchi na kumtolea maneno ya hovyo sana lakini mwisho wa siku jamaa ana moyo wa kupambana na kujituma everytime akipata muda..
Luke shaw angekuwa na tabia ya martial angekuwa ameshaondoka utd.
angechezeshwa herrera mctominay akae bench mngelalamika bado! mbona herrera yupo comfortable kabisa na kuna game maalumu anacheza?Sasa ni sahihi kumuamini scot na fellaini kuliko Herrera? Ndio maana nasema jamaa anaharibu vipaji vya wachezaji. Suala la mctominay si baya ila si ktk kufikia hatua ya kumuweka benchi Herrera. Hapo ndo naamini ni kocha anayejua kutengeneza mivurugano ktk klabu tu
martial anapaswa aondoke! tunahitaji mtu mwenye njaa na makombe aje apiganie sio lelemama kama martial!Mkuu mourinho hajapingwa na ed kumuuza martial sema bei haijafikiwa tu wanayotaka na vilabu vinavyomtaka ni vya england mtu kagoma kusain mkataba ed anazuiaje aisuzwe? Ili aje kuondoka bure
unaangalia league ya ujerumani? au nawewe ni kocha? brandtz ni bora kuliko sane!Ha ha ha ingia ndani zaidi Mzee au mzuri Wa sura Mara 100?
Ukiacha smalling kuna bek gani mwingine mzuri mipira ya kona ktk kutusaidia kufunga magoli? Jaman smalling ni bek mzur anasaidia sana kushambulia mipira iliyokufa kama sikosei ana goli nne lig iliyoisha pia sio mtu wa kuumwa sasa rojo na jones wanaumwa sana muwe mnaangalia na mchango wake
Kipindi cha van gal alisimama yeye na blind tulifanya poa tu
Kipind cha sir alex akiumw vidic basi utamkuta smalling na ferdinand akiumwa rio anasimama yeye na vidic john evans yupo bench hapo
Mkuu acha propaganda za magazetMartial kaharibiwa zaidi na mou. Ila hata mwaka Jana ilifikia kipindi shaw alisema angependa kufanya kazi chini ya pochetino. Na bado naamini mou hampendi shaw na hata sasa mojawapo ya signings anazotarajia kuspend sana ni left back
Kuna timu ilitoka kwa aibu kama Germany? Nao walikuwa na madoido? Na katika timu zote zilizocheza nusu na fainali yenyewe sijaona iliyokuwa inacheza defensive gamenyie jamaa mna shida sana lawama zote anapewa Mou mnalishana chuki tu humu kumchukia kocha wenu bure! hao kina poch, klopp wako wapi na attacking yao? tatizo mnaona kama martial ni muhimu saaanaaaa yes anakipaji lakini kwa sasa anatakiwa mpambanaji timu inahitaji makombe sio mbwembwe! mnasahau juzi tu hapa world cup spain alitokaje? brazil katokaje? barca uefa katokaje? ivi attacking play isiyo na matunda mnaitaka yanini? mnaboa sasa
Acha kumlinganisha Sir Fergie na Upuuzi. Tena nakuonya.Mourinho hapendwi tu hata sir alex hakumpa nafasi pogba muda ulikuwa bado hao wakina chong na gomez muda bado watapata nafasi tu
Huyo scott mctominay katokea wap?
Kipa kapandishwa na mourinho
Chong mourinho
Gomes mourinho
Sijajua mantik yako
Sasa mchezaji mzur united ni yupi? Tatizo letu ni lipi hasa?Sidhani kama beki anapimwa kwa jinsi anavyofunga, msimu uliopita kama sio juhudi za De Gea tungefungwa magoli mengi sana.
Msimu uliopita De Gea alikua na wastani wa saves 3.8 per game, hii inaonesha jinsi gani hatukua na ukuta imara.