Umeongea kweli mkuu..pamoja na mafanikio machache mourinho aliyoyapata,bado ni mmoja kati ya kocha wa ovyo ovyo tu kuwahi kutokea..mpira wake hauvutii,,migogoro na wachezaji mpaka anaboa..not interested anymore kuangalia United yangu..Kocha alimharibu sana kwa kutompa namba na kumuamini kwa kipindi kirefu hadi amekuwa upset wakati wachezaji wengi Wa France wanaocheza namba yake walipewa sana nafasi ktk vilabu vyao. Kwani hata rashford si ni uhaba tu Wa talented players tu pale england ndo ulifanya southgate amwite!? La sivyo kwa mkeka alokuwa anapewa na mou asingekuwepo Russia. Kiufupi Mou kwa kiasi kikubwa hawezi kuendeleza wachezaji wadogo
Alikuwa anapangwa karibia kila game ukiondoa mbili tatu alizowekwa benchi. Pia naamini kocha Wa ufaransa anaamini uwezo Wa pogba ila anajua ubovu Wa Mourinho ndio unafanya mchezaji aonekane mbovu pia. Kuhusu giroud hyo siyo justification sometimes makocha wanachemka pia. Vipi kwani giroud ni mzuri kuliko benzima? Fellaini anaweza timiza vema majukumu ya namba 6 kuliko Raidja naingolan? Brandt ni mzuri zaidi kuliko Leroy sane?Pogba alimaliza vizur ligi?
Mkuu sasa kama martial ni mzur anajua mourinho ni mbovu kwa nini amuache amchukue dembele alietoka majeruh?Alikuwa anapangwa karibia kila game ukiondoa mbili tatu alizowekwa benchi. Pia naamini kocha Wa ufaransa anaamini uwezo Wa pogba ila anajua ubovu Wa Mourinho ndio unafanya mchezaji aonekane mbovu pia. Kuhusu giroud hyo siyo justification sometimes makocha wanachemka pia. Vipi kwani giroud ni mzuri kuliko benzima? Fellaini anaweza timiza vema majukumu ya namba 6 kuliko Raidja naingolan? Brandt ni mzuri zaidi kuliko Leroy sane?
Yeyote atakayejua kucheza attacking football na kutengeneza partnership nzuri ktk defence.Kocha yupi anafit?
Kwa upande wangu timu ipo kwa kocha sahihi sikatai kuna muda anazingua ila wachezaji wanazingua zaidi haiwezekan martial kacheza pre season kama hatak halafu anaingia chong toka sub utasema kazoefu kanaenda kubadili mechYeyote atakayejua kucheza attacking football na kutengeneza partnership nzuri ktk defence.
Mou amemfanya martial aonekane kama wewe unavyoamini. Yaani tungekuwa na kocha mzuri naamini hata Pereira angekuwa mchezaji kamili tena muhimuMkuu sasa kama martial ni mzur anajua mourinho ni mbovu kwa nini amuache amchukue dembele alietoka majeruh?
Hapana mpira unaonekana martial anakipaji cha mpira ila mzembe sana mbona lingard anatoboa?Mou amemfanya martial aonekane kama wewe unavyoamini. Yaani tungekuwa na kocha mzuri naamini hata Pereira angekuwa mchezaji kamili tena muhimu
Kwa kocha sahihi kwa man u hao kina tahit chong na gomes lazima mmoja wao angepewa nafasi ya kutosha na akawa ni raised star,ila kwa sababu wako mikononi mwa mou basi tutegemee ugomvi ktk next contracts za Hawa watoto.Kwa upande wangu timu ipo kwa kocha sahihi sikatai kuna muda anazingua ila wachezaji wanazingua zaidi haiwezekan martial kacheza pre season kama hatak halafu anaingia chong toka sub utasema kazoefu kanaenda kubadili mech
Perreira ilikuwa mapema sana kupata namba mikopo imemkuzaMou amemfanya martial aonekane kama wewe unavyoamini. Yaani tungekuwa na kocha mzuri naamini hata Pereira angekuwa mchezaji kamili tena muhimu
Mourinho hapendwi tu hata sir alex hakumpa nafasi pogba muda ulikuwa bado hao wakina chong na gomez muda bado watapata nafasi tuKwa kocha sahihi kwa man u hao kina tahit chong na gomes lazima mmoja wao angepewa nafasi ya kutosha na akawa ni raised star,ila kwa sababu wako mikononi mwa mou basi tutegemee ugomvi ktk next contracts za Hawa watoto.
Bado naamini ni kocha kutoamini ktk kuwakuza na kuwaamini watotoPerreira ilikuwa mapema sana kupata namba mikopo imemkuza
Hebu niambie chong na gomes mctominay na yule kipa mdogo kocha yupi kawapandisha?Bado naamini ni kocha kutoamini ktk kuwakuza na kuwaamini watoto
Sasa ni sahihi kumuamini scot na fellaini kuliko Herrera? Ndio maana nasema jamaa anaharibu vipaji vya wachezaji. Suala la mctominay si baya ila si ktk kufikia hatua ya kumuweka benchi Herrera. Hapo ndo naamini ni kocha anayejua kutengeneza mivurugano ktk klabu tuMourinho hapendwi tu hata sir alex hakumpa nafasi pogba muda ulikuwa bado hao wakina chong na gomez muda bado watapata nafasi tu
Huyo scott mctominay katokea wap?
Kipa kapandushwa na mourinho
Chong mourinho
Gomes mourinho
Sijajua mantik yako
Ni sahihi kinachoangaliwa ni mahitaj ya mech husika sasa scott kafit ktk mfumo unafanyaje?Sasa ni sahihi kumuamini scot na fellaini kuliko Herrera? Ndio maana nasema jamaa anaharibu vipaji vya wachezaji. Suala la mctominay si baya ila si ktk kufikia hatua ya kumuweka benchi Herrera. Hapo ndo naamini ni kocha anayejua kutengeneza mivurugano ktk klabu tu
Lingard ametoboa wapi??..world cup umeona alivyokuwa ovyo??Hapana mpira unaonekana martial anakipaji cha mpira ila mzembe sana mbona lingard anatoboa?
Acha masihara mkuuLingard ametoboa wapi??..world cup umeona alivyokuwa ovyo??
Ha ha ha mourinho nadhani huwa anapandisha wstoto ili aonekane naye ni mtu anayenyanyua watoto. Ila fuatilia watoto hao wengi wao huwatoa kwa mkopo na kuwauza juu kwa juu. Labda hapo man u itakuwa ngumu kufanya hyo Tabia yake manake pale kuna falsafa ya kukuza na kuamini wachezaji wachanga ambayo ipo ktk set up ya timu. Akifanya hivyo atapata tabu sana kama anavyopata tabu sana kama anavyopingwa sasa kumuuza martial na ED WoodwardHebu niambie chong na gomes mctominay na yule kipa mdogo kocha yupi kawapandisha?
Herrera katoka kua mchezaji wa msimu hadi spain national team aliitwa..msimu wa pili mourinho kaanza nae benchi mechi tano mfululizo..how comes utegemee mchezaji aperform??..afterall analipwa mpunga wake kama kawaSasa ni sahihi kumuamini scot na fellaini kuliko Herrera? Ndio maana nasema jamaa anaharibu vipaji vya wachezaji. Suala la mctominay si baya ila si ktk kufikia hatua ya kumuweka benchi Herrera. Hapo ndo naamini ni kocha anayejua kutengeneza mivurugano ktk klabu tu
Mkuu mourinho hajapingwa na ed kumuuza martial sema bei haijafikiwa tu wanayotaka na vilabu vinavyomtaka ni vya england mtu kagoma kusain mkataba ed anazuiaje aisuzwe? Ili aje kuondoka bureHa ha ha mourinho nadhani huwa anapandisha wstoto ili aonekane naye ni mtu anayenyanyua watoto. Ila fuatilia watoto hao wengi wao huwatoa kwa mkopo na kuwauza juu kwa juu. Labda hapo man u itakuwa ngumu kufanya hyo Tabia yake manake pale kuna falsafa ya kukuza na kuamini wachezaji wachanga ambayo ipo ktk set up ya timu. Akifanya hivyo atapata tabu sana kama anavyopata tabu sana kama anavyopingwa sasa kumuuza martial na ED Woodward
Man u wana option ya kuongeza mwaka mmoja ktk mkataba Wa martial. Mou anaona vyovyote poa tu wakati Woodward anaona ni muhimu sana hicho kipengele kikafanyiwa kaziMkuu mourinho hajapingwa na ed kumuuza martial sema bei haijafikiwa tu wanayotaka na vilabu vinavyomtaka ni vya england mtu kagoma kusain mkataba ed anazuiaje aisuzwe? Ili aje kuondoka bure