Usajili unaofanywa na liverpool ndio ambao ulikuwa ukifanywa na hii timu sasa tumechukua nafasi yao
Naona yule ed anamuonea sana mourinho anaigueza hii timu ya kibiashara sio uwanjani tena timu inaongoza kwa thamani lakin inazidiwa na juve ktk usajili.