replacement ya nani pale kikosini mkuu?Manchester United and Lazio have reached an agreement on the fee for Milinkovic Savic at around €95 million with extras. Contract talks are now commencing. Nemanja Matic has played a part in convincing the player to join!
Hapo ni herrera tureplacement ya nani pale kikosini mkuu?
kwa nini awe ander herrera na si marouanne fellaini?Hapo ni herrera tu
Kweli mkuu kwa akili za jamaa sijuikwa nini awe ander herrera na si marouanne fellaini?
kama mourinho ataendelea kushinikiza kumuongezea mkataba fellaini nitamuona ni mwanadamu wa ajabu sana.
tunahitaji wachezaji ambao wana uwezo wa kucheza kwenye hali ya kiwango cha juu kwa msimu mzima hapo ndio tutaweza kupambana na manchester city, na bahati mbaya fellaini hawezi kukupa huduma hiyo
kwenye timu yetu tuna wachezaji wawili tu ambao wana uwezo wakucheza kwa kiwango bora kwa msimu mzima ambao ni david degea na nemanja matic.
wachezaji wote waliobakia ni homa ya vipindi kwa kuanzia mchezaji wetu ghali paul pogba ambaye hajawahi kucheza kwenye kiwango cha juu kwa mechi 10 mfululizo.
Kweli mkuu kwa akili za jamaa sijui
Lengo la mourinho ni kumuuza hawatak aondoke bure angalau wapate kitu sema wamechelewa ila fellain ni aina ya mchezaj ambae msimu huu katugharimu alikuwa majeruh muda mrefu mchango kwa timu sio mkubwa sana huyu fagio lina mhusu kama akibaki tutegegemee maumivu moja sababu ya sisi kushindwa kufanya vizur viungo wetu hawakuwa na kiwango cha kueleweka unategemea umuingize fellain au kuanza hamna tofaut kazidiwa had na scott
- kwa jinsi fellaini anavyozungumza maneno ya ovyo kuhusiana na kuongezewa mkataba na manchester united huwa nashangaa sana mourinho anavyoendelea kumpapatikia utafikiri ana maajabu ya kimpira kama aliyonayo edgar davids.
- msimu huu ulioisha hatukupitwa points 19 na mabingwa wa ligi kuu kibahati mbaya ila timu yetu ina wachezaji wengi wenye majina lakini hawana consistent form ukilinganisha na wachezaji wa manchester city.
- raheem sterling, david silva, de bruyne, sane, bernardo silva, jesus, aguero, walker, gundogan, fernandinho, farbian delph na otamendi wote hao walianza msimu wakiwa on fire na wamemaliza msimu wakiwa on fire tofauti na wachezaji wetu wengi.
- Na ukweli utatuweka huru kuanzia mshindi wa pili hadi wa tano wa ligi kuu viwango vyetu vya soka vinalingana na ushahidi wa hilo jaribu kufuatilia mechi tulizokutana, hivyo basi tunamaliza msimu haliyakuwa hatuna uhakika wa kutosha kama tunawaweza kimpira liverpool, tottenham na hata chelsea ambayo hawakuwa kwenye kiwango cha juu msimu huu licha ya kuwa tumeshika nafasi ya pili.
Gemu itakuwa ngumu sana kama romelo hatokuwepo...Kuna tetesi Lukaku hatakuwepo mechi ya leo
wakuu ni uogs wa mechi au mlikua bze na simba huko?
tulia weye ujue mpira bado haujaishaWayaaa wayaa wayaaa