RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,801
- 129,644
Aisee...dk hizi tayari hukumu ishatoka?!Mbele kuna mshikeeli Labda wabadilike
Aisee...dk hizi tayari hukumu ishatoka?!Mbele kuna mshikeeli Labda wabadilike
Utazania wamelazimishwa wanavyochezaSpurs wanafanya wanavyotaka
Kafanyaje, huku Tanesco wamefanya yao. PumbafSanchezzz
Amefunga . 1-1Kafanyaje, huku Tanesco wamefanya yao. Pumbaf
1-1Kafanyaje, huku Tanesco wamefanya yao. Pumbaf
Kocha tatizo,tuna team bora kabisa yenye wachezaji ambao huwezi kuhoji viwango vyao.Kinachoniuma team ina Pogba Matic Herrela Sanchez inashindwa kkukaa na mpira
Kinachoniuma team ina Pogba Matic Herrela Sanchez inashindwa kkukaa na mpira
Hii mechi tunaweza kushinda lakini sio kwa kuwazidi Spurs ila kwa bahati kuwa upande wetu
Nyinyi mnaeakilisha waTz halisi.Wacheaji wavivu kisha wanacheza kwa waoga lakini tuvumilie msimu ndio unaishia huu. Fiscally poor kabisa
Kwanini wanashindwa kukaba wanawaachia tu