Sawa sawa na amewapa yellow card 2 kama sio 3Mie nimeiona kazi ya fundi herrera kuwakata pumzi city kwa kukaa na mipira mguuni hivyo kusababisha wapanic. Nadhani ndio mchezaji anayeongoza kwa kuchezewa faulo nyingi kwenye derby ya leo.
GGMU.
HereraHivi Man of the match ni nani pogba au sanchez?
Akili ndogo sana hii, yaani kwa mechi hii moja ujinga wote wa Mou ufutike. Jitahidi kufikiri kwa mapana zaidi.Niliongea humu ndani, mashabiki wa Manchester mnalalamika mnooo aisee,
Never doubted mourinho
Nani aende kwenye uzi wa wazeeHivi Wewe Huwezi Kupost Kitu kwenye Uzi Wenu Bila ya Kuihusisha Liverpool?
Huu Ni Uzi Wa Man U, Na Liverpool tuna Uzi wetu! Kama unataka Kuiongelea Liverpool basi Njoo Kwenye Uzi Wetu Wa Liverpool ili members wote wazione post Zako ujumbe uwafike.
Mkuu Liverpool sio iliyokuzuia Mafanikio ya Ubingwa Msimu huu! Kwahiyo huna haja ya Kuilalamikia.
Akili ndogo sana hii, yaani kwa mechi hii moja ujinga wote wa Mou ufutike. Jitahidi kufikiri kwa mapana zaidi.
Nani aende kwenye uzi wa wazee
Mkuu mi nilidhani ndo goli lake la kwanza kufunga sio kwa kushangilia kule aisee.Yesterday When kompany scored he was Running,jubilating, n wiggling his head like an ancient television set lol....funny to watch
Mkuu Ukishawachinja Najiandaa Na Chapati Kuja Kuwanywa Supu 😀😀😀
Man city hamna beki paleeeee.....Beki wetu Smalling kafunga na beki wao pia kafunga.
Mbona unampunguzia?alipigwa 9 huyo mbweha, kwake hakukaliki kazi kuzurula kwa wenzie tuKwani huyu city si alikuvupua nje ndani goli 6 au
Zile beki ghali mno, lakini zimenunuliwa kwa ajili ya kushambulia tuu...Man city hamna beki paleeeee.....