CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,685
- 1,085
Tatizo hapa watu wanaangalia upande mmoja. Tatizo sio kocha wala wachezaji WA man u. Angalieni na hao wengine walivyo naasira. Kama nyuki. Hawataki kabisa kusikia jezi nyekundu.Kuna wakati unahisi timu unayoiangalia sio ni Man Utd
Savage atakuwa kashamwandikia barua mshikaji qake Mark Hughes achukuwe timu badala ya JoMoPundit Savage anasema performance ya leo ya Utd ni aibu (Kweli ninamuunga mkono)
Sio hawamtaki , Hayo ni mambo ya uwezo mzeeNawaza pengine hawa wachezaji hawamtaki huyu kocha.
Timu ni mzigo kabla hata Alexis hajasajiliwa,unamuonea tu.Sio hawamtaki..Sanchez ni mzigo mkubwa amecost timu nzima, winga ya kushoto imekufa kabisa.
Hapana,sio kwa hali hiyo najaribu kuangalia uwezo wa mchezaji mmoja mmoja sio kuzidiwa huko.Sio hawamtaki , Hayo ni mambo ya uwezo mzee
HujaelewakaTangia Kibabu Gagula Ferguson kibwage manyanga Manyoo wamekuwa kama Stoke city. Hawajashinda kombe lolote la maana
...Na magoli yote mawili kafunga kwa kichwa pale alipopaka rangi..nyambafHuyu Pogba alizani atawaogopesha Man City Kwa rangi za Nywele 😀😀😀
Baada ya kushinda tumechi tusito na maana hata wewe umerudi jukwaani!Savage atakuwa kashamwandikia barua mshikaji qake Mark Hughes achukuwe timu badala ya JoMo
Moja la mguu...Na magoli yote mawili kafunga kwa kichwa pale alipopaka rangi..nyambaf
Wala sio mabadiliko just a little bit desire and effort needed.Bado Utd wana nafasi kama wakifanya mabadiliko hii 2nd half,wakikaza kabla ya dakika 60 wakapata goli hakika mnaweza kufanya kitu.