Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sterlingg tena...kabaki na goli kapaisha.
 
Zimegonga mwamba mara 2 tayari kipindi cha kwanza.... hizi beki zetu leo
 
Sterlingg tena...kabaki na goli kapaisha.
Huyu kocha ata mwakani ndio hivi hivi team ina cheza kama level ya ndondo cup ata pasi 5 atupigi
Hakuna kabisa utamu wa derby kabisa
 
Herela
Pogba
Matic
Wote wanazuia, hakuna hata mmoja anayetengeneza shambulizi, man leo mnalo
 
Huyu Pogba alizani atawaogopesha Man City Kwa rangi za Nywele πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…