We mtu Martial sijui alikufanyajeNimependa hii ya kum-drop Sanchez na Pogba. Lakini hii ya Martial kuwa mbadala wa Sanchez ni ujinga mkubwa.
Mata hapewi tu nafasi kama SilvaUna m compare vp mata na David silva aiseee..... silva yuko mbali zaid ya mata...
Siyo kweli. Nadhani ni Mwl tu hana mapenzi nae sana ila jamaa angepewa chance na timu ingejengwa kumzunguka yeye angewasha moto sanaTatizo lako unakosea.... mata wa Sasa n tofaut na zaman wewe unamwongelea wa zaman... but mata wa Sasa sio mkali.... ndo maana yupo bench
Man u hawezi mfunga Tottenham tena ,now man kachokahapa una bet(kamari) au unatabiri(u shehe yahaya) au unaripoti(kama gazeti baada ya tukio kutokea)????
Wakuu
Swali:
Nitajieni wachezaji 10 wa Manchester United waliobeba Kombe la Dunia
fact mkuu waliongalia mech ya liverpool kipind cha kwanza jins mata alivyounganisha timu hawawez kumjadili alikuwa kwenye nafas yake sahihi mfumo wa 4 4 1 1 1 mfumo ukikuwa mpya wala hakuhangaika na aliwakosa goli mbili kipind cha pili mourinho kampeleka kwa valencia wakawa bek mbili wawili sasa mata ni wakuzuia? hata sanchez siamin kama ni flop ni kocha tu yule anahitaj wachezaj makin ambao mourinho anawapiga bench paleSiyo kweli. Nadhani ni Mwl tu hana mapenzi nae sana ila jamaa angepewa chance na timu ingejengwa kumzunguka yeye angewasha moto sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Ramsey?? Mou katuchoka aseeTetesi
Beki wa Manchester United Luke Shaw, 22, anahisi kwamba meneja Jose Mourinho anamnyanyasa na kwamba raia huyo wa Uingereza huenda akawasilisha malalamishi yake kwa naibu afisa mkuu mtendaji katika klabu hiyo Ed Woodward. (Mirror)
Mourinho anapanga kumsajili kiungo wa kati wa Arsenal na Wales Aaron Ramsey, 27, katika klabu ya Manchester United. (Star)
United tayari imemuulizia beki wa Arsenal Hector Bellerin, lakini Juventus wanapigiwa upatu kumsajili mchezaji huyo wa Uhispania mwenye umri wa miaka 23. (Mirror)
Hahahahahahaahahahhhaa ramsey hawezi kwenda timu ndogo kama manure[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Ramsey?? Mou katuchoka asee
Where is fellain?Manchester United manager Jose Mourinho is ready to launch a clear-out at the club, with a number of the more senior players set to leave, Don Balon claims.
Mourinho has grown frustrated with his squad after seeing United fall behind rivals Manchester City in the Premier League and exit the Champions League at the hands of Sevilla.
The Portuguese manager reportedly wants to part ways with Ander Herrera, Juan Mata, Luke Shaw, Chris Smalling, Phil Jones, Daley Blind and Matteo Darmian, with Gareth Bale and Willian among his potential targets.
Ww nawe kumbe chizi hujui hata mpira cjui unafanya nn ukuMimi hoja yangu n kutom compare silva na mata
ramsey hapat namba hata kwa scottHahahahahahaahahahhhaa ramsey hawezi kwenda timu ndogo kama manure
Jikague yako saiz ukute una tobo ukoWewe mkuu ni jinsia gani?