hizo takwimu hadi 2016 akiwa bado anafundishwa na makocha wanaoaminj kujilinda zaidi sio Kushambuli kafanya hayo bado unapinga ukiadili kiushabik hii mada itakushinda ukijikita ki mpira hiyo sababu yako haina maana sass mwakaTatizo lako unakosea.... mata wa Sasa n tofaut na zaman wewe unamwongelea wa zaman... but mata wa Sasa sio mkali.... ndo maana yupo bench
Ndo maana nasema wewe unakosea mata wa Leo hii sio wa kuanza.... kiwango kimekwishaa.. sasa ume crem tuhizo takwimu hadi 2016 akiwa bado anafundishwa na makocha wanaoaminj kujilinda zaidi sio Kushambuli kafanya hayo bado unapinga ukiadili kiushabik hii mada itakushinda ukijikita ki mpira hiyo sababu yako haina maana sass mwaka
we jamaa bana nimecheka sana sky sport waliotoa hizo takwimu hawakujua hilo? umeomba overall statistics nimekupa umeona silva alivyouanguka vibaya sana unakuja na hoja kama hizoHujiuliz why kocha wote wanampiga bench....? Ukiwa na kiwango bora lazm utakuwa first 11.. otherwise n mbovuuuu
ulipoomba data zote hukujua hilo?Ndo maana nasema wewe unakosea mata wa Leo hii sio wa kuanza.... kiwango kimekwishaa.. sasa ume crem tu
napoteza muda wangu hapa huna hata takwimu sasa umeanza kubishana weka pembeni mapenz jadili mpira hakuna mahali nimekwambia silva mbovu mata anafunzwa na makocha wasio na maono ya soka la ushambulizNdo maana nasema wewe unakosea mata wa Leo hii sio wa kuanza.... kiwango kimekwishaa.. sasa ume crem tu
JM kama ana chuki fulani hivi hasa kwa Shaw, yani anavyokabaga young ni kiajabu ajabu tu
Chukua statistics zote mbona umemega kidogo... yaan hujaleta general
Shaw ni mzuri kwa kupeleka mashambulizi ila siyo kudefend, young anajua kudefend vizuri zaidi. Nakubaliana na mou mechi ya juzi kipindi cha kwanza mashambulizi mengi ya brighton yalikuwa yanapitia upande wa kushoto kwa Shaw, hili lilionekana wazi kabisa na mtu yeyote aliyekuwa makini kufatilia hiyo mechi angeliona hilo mapema. Shaw alipwaya hata brighton waliliona hilo wakawa wanapeleka mipira yote kupitishia kule kwake. Maamuzi aliyofanya Mou ya kumtoa Shaw kwangu niliona ni sahihi kabisa.Young sio mchezaji, lile ni sawa na jiwe uwanjani. Chuki ya Mourinho kwa Luke Shaw ndio inafanya Shaw asipate nafasu na kila siku kusakamwa na Mourinho.
Mechi ya juzi, Shaw na Martial walikua wanacheza vizuri sana upande wa kushoto. Baada ya Shaw kutoka haikueleweka tena ni wapi Martial alikua anacheza.
Mimi hoja yangu n kutom compare silva na matanapoteza muda wangu hapa huna hata takwimu sasa umeanza kubishana weka pembeni mapenz jadili mpira hakuna mahali nimekwambia silva mbovu mata anafunzwa na makocha wasio na maono ya soka la ushambuliz
kwa tafsir yako kwakuwa lingard anaanza mata anakaa bench basi lingard ni bora kwa mata
Shaw ni mzuri kwa kupeleka mashambulizi ila siyo kudefend, young anajua kudefend vizuri zaidi. Nakubaliana na mou mechi ya juzi kipindi cha kwanza mashambulizi mengi ya brighton yalikuwa yanapitia upande wa kushoto kwa Shaw, hili lilionekana wazi kabisa na mtu yeyote aliyekuwa makini kufatilia hiyo mechi angeliona hilo mapema. Shaw alipwaya hata brighton waliliona hilo wakawa wanapeleka mipira yote kupitishia kule kwake. Maamuzi aliyofanya Mou ya kumtoa Shaw kwangu niliona ni sahihi kabisa.
sasa kwa kutofautisha hivyo weka data tuachane na hayo mambo unaweza kutuambia flan ni bora zaidi ya kwa.....Mimi hoja yangu n kutom compare silva na mata
Bora aondoke tuYoung sio mchezaji, lile ni sawa na jiwe uwanjani. Chuki ya Mourinho kwa Luke Shaw ndio inafanya Shaw asipate nafasu na kila siku kusakamwa na Mourinho.
Mechi ya juzi, Shaw na Martial walikua wanacheza vizuri sana upande wa kushoto. Baada ya Shaw kutoka haikueleweka tena ni wapi Martial alikua anacheza.
hapa una bet(kamari) au unatabiri(u shehe yahaya) au unaripoti(kama gazeti baada ya tukio kutokea)????Final: Chalsea vs Tottenham
Aliewahi kucheza man utd au ambae yupo hadi sasa?Wakuu
Swali:
Nitajieni wachezaji 10 wa Manchester United waliobeba Kombe la Dunia
Walio/wanaochezeaAliewahi kucheza man utd au ambae yupo hadi sasa?
Kama waliowahi kucheza basi
1)GERARD PIQUE (SPAIN 2010)
2)LAURENT BLANC (FRANCE 1998)
ndio ninaowakumbuka haraka haraka
Bastan shwanstaiger cjui kma nimepata jinaWalio/wanaochezea
Ongeza Ongeza Bado 9 MkuuBastan shwanstaiger cjui kma nimepata jina
BastianWakuu
Swali:
Nitajieni wachezaji 10 wa Manchester United waliobeba Kombe la Dunia