Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa Haya Ni Maajabu!!!! Hivi Baada Ya Kumaliza Mechi Kwenye Mahojiano Yake Mourinho anahisi Hii ndiyo excuse Yake? Kwani Anapotafuta utetezi lazima amtaje Liverpool? Au Liverpool kahusikaje hapa? Mbona Tulipotolewa #FA na [HASHTAG]#Carabao[/HASHTAG] Klopp Hakuitaja Manchester Kama Sehemu ya Utetezi Wake??
Huyu Kocha Haachi Visa na Kuwazunga Mashabiki Wake!!!
Hata Ferguson hakuwahi kuwa na visingizio kama Hivi...
😀😀😀

Maneno ya Kocha Wenu Haya: “Liverpool has the Champions League but they don’t have the FA Cup"
 
Pamoja na hayo, niliona kama wachezaji walikuwa wazito sana...sikutegemea kama wangekuwa slow kihivyo, ni kama walikuwa hawajui wanachofanya which means si kosa la kocha ila ni wachezaji wenyewe hakuna ambaye alikuwa anafeel umhimu wa game zaidi ya Valencia na Young wengine walikuwepo kuwepo tu!! Hakukuwa na morali yeyote, Sanchez is a looser, wengine hawana experience nzuri ya CL hivyo machungu ya kutolewa ndo kwanza wanaanza kuyaona
 

Wanapokezana huko
Leo zam ya Conte


Kesho cjui Kama Wenger
Atatuokoa wagunnes
ila tuache kujifariji...kati ya konte na mor nani atatoka kwa aibu? maana tukiangalia ugumu wa timu walizokuwa wanakutana nazo!

mmh, morinho bwana!
 
ila tuache kujifariji...kati ya konte na mor nani atatoka kwa aibu? maana tukiangalia ugumu wa timu walizokuwa wanakutana nazo!

mmh, morinho bwana!
Mou ndo wakubeba aibu
Zote
 
 
Sub n Kwa ajili yenu na
Wachezaj n wa man u ndyo skatai

Ila na Jana bhas angefanya sub
Ya mapema na ya maana kama
Ile ya castle palace

Dk ya 80 anafanya sub kama alikua
Anafkuzwa yan anangiza martial,na mata
Dk 10 mpira kuisha na anategemea gol
3 Kwa mda huo

Kupoteza ile game n makosa
Ya kocha wenu sometimes
N kama anavuta cha arusha
 
Yule gadiola tungempata aisee daah
 
Kwauandishi uu sijui utakuwa kabila gani mkuu
 
Watani mbadilike sasa.
Style yenu it’s too conservative especially mkiwa mnacheza uwanja wa nyumbani. Kwa style hii mtawafunga Liverpool tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…