Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahaaaaaa timu yangu naijua mkuu so ukiona kimya ni majukumu tu ya kifamilia na kiharakati.........

Poleni ndugu zangu naona jana ulilala mapemaaaaaa
Hahaha huwez amin jana nimesepa dakika ya 20 nlipomuona lingard na fellain wameanza nilijua kutoka ni mbinde namuaga jamaa yangu akajua utan ila kawaida mkuu kuna muda makocha wanavuta weed hasa mourinho
 
Dha jana ilikuwa aibu sana...ila nahisi jirani katuchoma sana...vijamaa vimetamba sana uwanjani kwetu...
 
Kesho nipo ac milan mm na gatuso huwa hatufungw mara mbili
Vizuri sana ninachokukubali wewe ukipigwa hukurupuki na mipovu unatafakari kwanza ukirudi unarudi vizuri.....so maumivu ya jana na utakayoyapata kesho baada ya gunners kumpiga knockout gatusso yatakufanya uwe bora zaidi
 
Hahaha huwez amin jana nimesepa dakika ya 20 nlipomuona lingard na fellain wameanza nilijua kutoka ni mbinde namuaga jamaa yangu akajua utan ila kawaida mkuu kuna muda makocha wanavuta weed hasa mourinho
Usijali mrudi katika game za jmosi sasa ili wakimataifa tuendelee kuipeperusha bendera ya nchi,
 
Vizuri sana ninachokukubali wewe ukipigwa hukurupuki na mipovu unatafakari kwanza ukirudi unarudi vizuri.....so maumivu ya jana na utakayoyapata kesho baada ya gunners kumpiga knockout gatusso yatakufanya uwe bora zaidi
Kesho hatufungwi ac milan chama kongwe
 
Mkuu radika naomba wewe Na mashabiki wenzio Mupige Tathmini halafu Muniletee Bajeti Yenu ya Msiba ili Niufadhili huu msiba humu ndani.

UNAIKUMBUKA HILE COMMENT YANGU NILIYOKWAMBIA FURAHA YAKO WILL NOT LAST LONGER?
Huu msiba umeambatana na aibu mkuu
 
Naona mahesabu yake yamekamilika sasa....huyu Mou matako kweeeli!!
Alipoaza big fella nilimuona huyu jamaa genius nikawa najua hapa sub itakuwa ya Mata kwa Lingard. Wakati huo mkeka wangu unapumuwa alivyomtoa Big fella nikagundua hakuna mtu tahira duniani kama Mourinho na ungese wake wamenichania mkeka.
 
.....hodi hodi naingiaaaa nazirejesha salaam, mlango waliopitia (Seville) na Mancity atapita huo huo.........! Najua mmenunaaaaa.........!
 
Alipoaza big fella nilimuona huyu jamaa genius nikawa najua hapa sub itakuwa ya Mata kwa Lingard. Wakati huo mkeka wangu unapumuwa alivyomtoa Big fella nikagundua hakuna mtu tahira duniani kama Mourinho na ungese wake wamenichania mkeka.
Cha ajabu sub ingefanya kazi mngesema Maurinho ni master of tactics!
 
De Gea kachoka aisee!
Kila game ni yy tu anatoa 100%
Nadhani ataondoka mwisho wa msimu,pale hapati kombe lolote la maana labda Yuropa na FA
Aende majoo wa Liver 'atapata' vikombe! Kheeee kheeeee kheeeeeeeee. Kila mbabe na mbabe wake, huku liver is stuffed by United kule Manu ile stuffed by seville at their own back yard.
 
In short Mourinho siyo Kocha. Ila Man U Fans hawajui hilo!!

Jamaa hupenya kupitia Ready Made Players tu
 
Aibu, aibu yako...hata wewe!!
Timu tano, mbili tu ndio zitaingia quarters excluding manure. Hivi mourinho mnampendea nini hapo OT, hana tofauti na mzee Wenger.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…