Falaini kajitahidi lakini kakosa msaidizi pale kati hakuna mtu kama mata wakupiga long pass coz hawa sevila wana relax tu kwa middfilders wao so sanchez na lukaku wamezoa long pass ili wakimbize sasa fallaini sio mido ya longpass yy ni wa short pass ndio maana leo tunaona wamepoa natumai akiingia mtu wa longpass tunamaliza kazi