Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo tunaua tena...
Nyuma=Valencia,Smalling,Baily, Young
Hapa kati=Mata, Fellaini
Pale mbele=Rashforrrrd,Sanchez,Lingard
Mwisho kabisa=Lukakuuuu
 
Good game MUFC, ushindi lazima. Kikosi kimepangwa vizuri, tupate mafanikio mazuri usiku huu.
 
fellain tatizo ni mzito kufanya maamuzi ila acha tuchek gemu [HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
 
Kwa Umri wake ana nafasi kubwa ya Kukua na Kufanya makubwa zaidi.

Carrick akiwa katika age sawa na hiyo alikuwa na kiwango gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…