Fact mkuu walikuwa na comfidenc kubwa sana hasa wakiangalia safu ya ushambuliaji yao ile safu yote ya mbele hawajawah kutufunga goli toka enzi za van gaal ni coutinho na sturidge walikuwa na zaliNaona walikuwa mpaka wanamkumbatia.....tatizo liver waliingia ktk game wakijipa nafac kubwa sana ya ushindi rashid amewaonyesha nidhamu ya soka
Hahaha mwarabu fighterAnatafutwa.
Nenda kafundishe wewe.Team inashinda kibahati mmo mourinho atoke tu
Hajawahi kunikera mpaka leo huyu mtu.
Hizo ni tactics tu mkuu. Muhimu ushindi.Ubao unasoma vizuri ila timu bado haichezi vizuri,yani kama zile mechi za mitaani (chandimu) munakusanyana kwenda kupiga game na mtaa wa jirani ni mwendu kubutua....,..sarah akigusa mpira wachezaji si chini ya watatu wanaenda kumzonga dadadeki maureen si kwa defence ile aseeh loserfool nao walikuwa wanapaka sana rangi wakiwa na mpira wanakuwa slow sana hawaoneshi hata kama wanataka goli.....
Ila Erick ni mnyama aseeeh dah sio ule ushubwada wa alexander anold.....
Hajawahi kunikera mpaka leo huyu mtu.
Alipojifuga jana nilikasirika lakini sikumkasirikia yeye kabisa, nilikasirikia walivoambiwa wacheze.
Anajiamini sana tena, anaweza akakutia kiatu cha kichwa kwenye boksi ikimlazimu.
andres utoto/ubishoo mwingi sana scott kapata chance ameitumia kweli yule zeru zeru ana damu ya paul scholesAndress perreira kapoteza nafasi scott anamtumia salamu tu
Ubao unasoma vizuri ila timu bado haichezi vizuri,yani kama zile mechi za mitaani (chandimu) munakusanyana kwenda kupiga game na mtaa wa jirani ni mwendu kubutua....,..sarah akigusa mpira wachezaji si chini ya watatu wanaenda kumzonga dadadeki maureen si kwa defence ile aseeh loserfool nao walikuwa wanapaka sana rangi wakiwa na mpira wanakuwa slow sana hawaoneshi hata kama wanataka goli.....
Ila Erick ni mnyama aseeeh dah sio ule ushubwada wa alexander anold.....
Bailly anajiamini sana daa mtu wa mwisho halafu anampiga chenga salah aisee huyu jamaa hatar sana mhuni mwenzie rojo anaangalia tu
Ila smalling gemu ya nne hii anaonyesha utofaut
Hahahahaha manure mna maneno dah ika kumbuka msimu uliopita nawe ulikuwa hapahapa mkatumia energence door kuingia ucl mkuu,nasi tunasafiria nyota tunajaribu huku napo kupojeTimu yako imeizidi Burnley point 2, leo mkifungwa tu hiyo nafasi ya 6 mnaiachia.
Tayar nshamkalisha mhindi mkuu
Hakika Muhindi ataenda kusimulia kwao bombay....
Kachukue pesa yako mkuu, cc gunnerz hatuna hiyana tunawapa watu pesa tuAsante mkuu leo mnitolee hela yangu kabak aseno tu nimembetia
Manchester united win
Leicester city win
Newcastle win
Burnley win
Real madrid win
Barcelona win
Bado arsenal tu pliz mkuu tufanye dua.
Ubao unasoma vizuri ila timu bado haichezi vizuri,yani kama zile mechi za mitaani (chandimu) munakusanyana kwenda kupiga game na mtaa wa jirani ni mwendu kubutua....,..sarah akigusa mpira wachezaji si chini ya watatu wanaenda kumzonga dadadeki maureen si kwa defence ile aseeh loserfool nao walikuwa wanapaka sana rangi wakiwa na mpira wanakuwa slow sana hawaoneshi hata kama wanataka goli.....
Ila Erick ni mnyama aseeeh dah sio ule ushubwada wa alexander anold.....
Hongera weekend safi ukishangilia ushindi wa jana na mfuko ukiwa umetunaTayar nshamkalisha mhindi mkuu
Mara ya pili arsenal ananipa 370 kipind kile mnafunga goli la mkono kwa burnley alibak yy pia nkachukua 340 noma sanaKachukue pesa yako mkuu, cc gunnerz hatuna hiyana tunawapa watu pesa tu
Handcap safi
3up
Nzuri.....ila kumbuka una kiporo cha sevillaMara ya pili arsenal ananipa 370 kipind kile mnafunga goli la mkono kwa burnley alibak yy pia nkachukua 340 noma sana
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Hahaha sevilla kaona tulichomfanya liver 2-0Nzuri.....ila kumbuka una kiporo cha sevilla
COYG.........