Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ila aina ya mpira wa man ni aibu.Liver sio wa kutuchezea vile ni aibu hata kama tumeshinda
 
Simpendi mourinho lakini kwenye big games kama hizi...nampa 75% ya ushindi...anafanya homework yake nyema kabisa...anaisoma timu pinzani mpaka boxer wanazovaa na anazikaba..kama huamini muulize salah.
Huyo ndo master tactician.


Maneno ya shabiki wa Liverpool.
 
Naonga mkonyo hoja.

Sema jamaaa apunguze kupaki basi....
 

Sina mda wakuichukia Arsenal, Chelsea, Man City na Liverpool.
 
Hizo stats zimekupa point ngapi kwenye table?
 
upo sahihi unachokizungumza na kama uliuangalia mpira kwa umakini kwenye kipindi cha pili utagundua liverpool hawakupiga hata shoot on target licha ya kuwa walimiliki mpira kwa 75%.
mechi ya sevilla tunapaswa tuimalize mapema kwa sababu matokeo yoyote ukiondoa kufungwa sevilla wanafuzu robo final.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…