Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Poleni watani,hii ni aibu kubwa sana kutokea ndani ya OLD TRAFORD nina imani mta bounce back, Kila la heri. Ila mpunguze kuongea sana.
 
Kipigo cha jana kimeacha majeraha makubwa kwetu Man U...Tujifunze kuanzia hapa ili yasijirudie wala tusitetereke.
 

Mkuu kile kibano cha jana, tena nyumbani kilikuwa kibaya sana. Sielewi ilikuwaje wachezaji wetu wakachoka kiasi kile!! Yani noisy neighbours walikuwa wakitengeneza shambulizi hadi wavu utikisike??

Pamoja na kutokuwa na kiungo shupavu wa ukabaji lakini bado utaona kwamba jana timu yetu ilikuwa na performance ya chini sana. Hata kiungo cha ushambuliaji hakukuwa na kitu uwanjani hadi rooney na welbeck wakalazimika kurudi kucheza deep na kwahivyo kutokuwepo mashambulizi ya kueleweka. Rio ndo kabisaaa choka mbaya, sijui kwa nini SAF haoni hilo!
 
achana na mashetani wekundu wameshapewa mimba ya miaka sita na watoto.wamezoea kununua mechi kubwa ya jana akjaribu kivyao na matokeo mmyaona live 600 goals kwa 100!!!
 
ddk za nyongeza mlipigwa bao ngapi jana jamani humu? kweli jana ilikuwa siku nzuri kwetu arsenal adui muombee njaa
man 6 hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! imenikumbusha mwaka 1930.
 


Poor Rooney, he must be asking himself how can this happen to us?
 

Na kubaliana na wewe Rio amechoka lakini kwa jana na mara nyingi magoli mengi yanapitia upande wa Evra. Evra amekuwa anapanda sana na wakati mwingine anajisahau kurudi haraka. Kwa mfano jana kuna magili kama 3 hivi yamepitia kwakwe na Welbeck ndio alikuwa anamfukuza Silva kwa nyuma hadi goli linafungwa wakati kazi hiyo ilipaswa kufanywa na Evra au viungo wa katikati.
 
POLENI WATANI....

huwa waswahili wanasema kuti la mazoea humuangussha mgema........ at least you didnt lose to a juvenile club like asenane
 
We nawe haujatolewa out leo?

Yani umekataa kutolewa out na wanaume ili ushangilie ushindi wa man city!!


Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mkuu mashoga wako OT au unatafuta mafioso wakuuzie unga, hao utawapata kwenye cowshed wakiuza unga si ulichikia jana Chelsick JT aliwapa unga mara mbili zaidi hapa naona umepotea njia.



Na hawa ati wanajiita wanaune phew!
Nenda muulize mod wenu atakuelekeza kwa kuwapata mimi na mashonga mbali mbali khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

mmmnnnhhh!
 
[h=1]Aldershot v United[/h]
Ins and outs
Sir Alex has pledged to field a similar side to the one that performed so well at Elland Road last month. Michael Owen and Dimitar Berbatov are set to start while Mame Biram Diouf is also in contention, although Federico Macheda revealed that he's facing a spell on the sidelines over the weekend. Youngsters Paul Pogba, Larnell Cole and Ezekiel Fryers will all hope to be involved after making their debuts at Leeds. Jonny Evans is suspended. Shots boss Dean Holdsworth rested five players at the weekend - top scorer Danny Hylton, Alex Rodman, Darren Jones and Ben Herd - so they are all expected to feature, despite the outstanding result in their absence. On-loan Adam Smith is also an option in attack.
Last meeting
United and the Shots have only met once, with the Reds winning 3-1 in September, 1970. Again, it was a League Cup tie and the impressive list of goalscorers reads George Best, Brian Kidd and Denis Law.
 
POLENI WATANI....

huwa waswahili wanasema kuti la mazoea humuangussha mgema........ at least you didnt lose to a juvenile club like asenane
Inauma sana lakini nashangaa vibonde wetu Arse8 wanapiga kelele sipati picha kama wao ndio wangetufunga ingekuwajie.Wao tulishawafunga 6 then 8 still wanapiga kelele ngoja tusubiri wao watakavyocheza na hao wanaowashangilia
 
Duuhh poleni sana mashetani Belo, Belinda, Eqylipz na wengine........hiki kipigo ni kitakatifu......defence yenu leo ilikuwa mbendembende.......yule Evans hafai kabisa kuwa defender wa ManU..........

Ogah, yani sina la kusema sana!..kifupi, tulichakazwa vibaya mno, inauma!! Thanks man!!
 
Alex Ferguson spoke to the press and has put the defeat against Manchester City down to the injuries of several key first team players. The Scot said, "It was always going to be difficult facing City without Vidic, Cleverly and Howard Webb".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…