Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Michael-Owen_2670321.jpg

Antonio-Valencia_2670332.jpg
 
Napitia comments za ma haters hapa sina mbavu..kuna watu hapa hata kwa majamvi yao wameshatokomea kitambooooooo, ila Manure imegongwa basi wamerud kwa morali na ma likes kibaoooo..

Lesson Learnt; Shabiki wa ukwee'' hakati tamaa na kukimbia kimbia ovyo ka nyie, na sio mnakujua tu siku za sherehe, araaaaaaaaaaaa!

Sisi ndio Manure, together we are United.
 
Mkuu potezea tu hawa vitimu vyao vilishachemsha sa hizi wameamua kujiegemeza vitimu vya wenzao....Ukikata tamaa na timu yako mbaya sana maana kuna jamaa lilikuja na Jezi ya Chelsinki eti anajiita benchi la ufundi la Noisy Neighbours na Mungu asivyo na masihara jioni yake wakabanjuliwa...lol

We are United and we will forever be United, that very same United.......watakuja na kasi lakini watapotea but United will stand still
 
[h=2]Manchester United
[/h] Old Trafford
Capacity: 75957
Founded: 1878
Club Nickname: The Red Devils
Manager: Alex Ferguson

Premier League/Division One
Winners:
1908, 1911, 1952, 1956, 1957, 1965, 1967, 1993, 1994, 1996, 1997, 1999, 2000, 2001, 2003, 2007, 2008, 2009, 2011
Runners-up: 1947, 1948, 1949, 1951, 1959, 1964, 1968, 1980, 1988, 1992, 1995, 1998, 2006, 2010

Championship
winners:
1936, 1975
Runners-up: 1906, 1925, 1938

FA Cup
winners:
1909, 1948, 1963, 1977, 1983, 1985, 1990, 1994, 1996, 1999, 2004
Runners-up: 1957, 1958, 1976, 1979, 1995, 2005, 2007

League Cup
winners
: 1992, 2006, 2009, 2010
Runners-up: 1983, 1991, 1994, 2003

Community Shield
winners:
1908, 1911, 1952, 1956, 1957, 1965 (shared), 1967 (shared), 1977 (shared), 1983, 1993, 1994, 1996, 1997, 2003, 2007, 2008, 2010
Runners-up: 1948, 1963, 1985, 1998, 1999, 2000, 2001, 2004, 2009

Champions League/European Cup
Winners
: 1968, 1999, 2008
Runners-up: 2009, 2011

European Cup-winners'
Cup winners: 1991

European Super Cup

winners: 1991
Runners-up: 1999, 2008

World Club Cup winners: 2008
Intercontinental Cup winners: 1999
European Cup-winners Cup winners: 1968

WE ARE UNITED...........THE RED SIDE OF THE CITY
 
Ukiona mavi mapya yananuka,yatupe kayachukue ya zamani!
 
Yaan leo KWA BAHATI mbaya: Mansix akagongwa The Toffees, Yanga akapakatwa na Simba na Bluz akapoteza mechi kwa Asenali basi natafuta ban ya lazima JF...natukana Kijana yangu Wacha Boy matusi ya mwilini na musuruali ili Ab Tchaz akigonge ban walau ya kawiki...utakua ujinga sasa huu, watu tunaacha kaz zetu afu mijitu inafungwafungwa...shenz.
 
Nini hasira Kaka.....!!! Tuliza boli....Toffeez washindwe wao tu... Soon wanasawazisha....
 
Napitia comments za ma haters hapa sina mbavu..kuna watu hapa hata kwa majamvi yao wameshatokomea kitambooooooo, ila Manure imegongwa basi wamerud kwa morali na ma likes kibaoooo..

Lesson Learnt; Shabiki wa ukwee'' hakati tamaa na kukimbia kimbia ovyo ka nyie, na sio mnakujua tu siku za sherehe, araaaaaaaaaaaa!

Sisi ndio Manure, together we are United.

Mkuu unadhani wote wanajuwa mpira hao,bali wanafata bendera tu, kwanza United akishinda hutowaona hapa hata kidogo zaidi wakifungwa utawaona wamejaa humu kibao...so ni kuwapotezea tu.....
 
Yaani hawa Man6 wana bahati kweli.... BAINES kagonga mwamba... Dalili ya Mvua hii..... Soon nanyi itawanyeshea....
 
Wacha zako wewe.... posting or not posting still remains to be an individual will and concern......
 
Leo SAF kaanzisha fowad tatu?duh, usongo au nn?...hilo faulo la Baines balaa aiseee.
 
Half time ndio hiyo imefika, tutashinda tu hii game leo...
 
Yaani hawa Man6 wana bahati kweli.... BAINES kagonga mwamba... Dalili ya Mvua hii..... Soon nanyi itawanyeshea....

Mkuu leo maji hayamwagiki so jitahidi kuomba mungu tu utafanikiwa hahaha...
 
Back
Top Bottom