Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Kwakuwa wewe humkubali ndo aje Klopp?
What is so special with Klopp?
Nitajie mafanikio na uzoefu wa Klopp ambao unamzidi Morinho?
Kwa nini Klopp asifanye kweli hapohapo liverpool kwanza?
Liverpool wenye Klopp wako wapi mwaka wa tatu huu?!! Au Liverpool ina wachezaji wabovu.
Klopp hapo Liverpool kachukua makombe mangapi mpaka sasa?
Klopp msimu wa tatu hata calabao cup Hanna sijui ubora wa kocha mnapima vipi wenzetu ndo kwnza anapambania top 4
Mafanikio ya Conte kwa foundation iliyojengwa na Juda yaliwapumbaza sasa ndio wanamjua Conte vizuriMwaka jana mourinho alitukanwa sana na mashabiki wa chelsea, kuna siku nikawa nimekaa napitia pitia comments za mashabiki wa chelsea kwenye forums zao (sio jf) huwezi amini zaidi ya 60 they wish jose angekua bado kocha wao hadi sasa.
Mashabiki wa Liverpool na arsenal zenu ni kuwaombea mabaya man u tu badala ya kudeal na ukata wa makombe kwenu
Mbwa nyie
Kuna watu huwa siwaelewi kabisa.Man utd sasa hivi mechi 29 wana points 62 wameshinda mechi 19.
Msimu uliopita man utd kamaliza na points 69 na alishinda mechi 18.
Kwahio bado mechi tisa Man utd kashazidi idadi ya mechi alizoshinda msimu mzima uliopita na yuko nafasi ya pili, bado kuna watu wanasema Mou hafai afadhali ya Klopp, huyo Klopp timu yake iko nafasi ya ngapi na points ngapi?
Mabingwa wa moyoni hao huwa wanasumbua sana (chenga twawala )Mafanikio ya kocha ni kuchukua makombe siyo kupiga vyenga uwanjani
Huyo looserpool wenu ameshawahi chukua hata kombe la paka
Ndugu ulijifutika wapi? longtime kitambo hujatimba anga hizi vipi kwema lakini? welcome back.Mwaka jana mourinho alitukanwa sana na mashabiki wa chelsea, kuna siku nikawa nimekaa napitia pitia comments za mashabiki wa chelsea kwenye forums zao (sio jf) huwezi amini zaidi ya 60 they wish jose angekua bado kocha wao hadi sasa.
Nipo mkuu, huwa napita pita sana maeneo haya, sema majukumu yamebana balaa ila tuko pamoja sanaNdugu ulijifutika wapi? longtime kitambo hujatimba anga hizi vipi kwema lakini? welcome back.
Pamoja sana ndugu yanguNipo mkuu, huwa napita pita sana maeneo haya, sema majukumu yamebana balaa ila tuko pamoja sana
Pogba's achievements at 24 years of age are dembele's wet dream.Mousa Dembéle of Tottenham is Everything Paul Pogba wishes he was
Kilichowakuta Spurs kinafanana kile kilicho wakuta Bayern Munich final ya UCL 1999 vs Man united ..dakika zinakaribia kuisha wakiongoza goli moja bila .mioyo yao akaanza kushangilia wachazaji wakawa wanaonyesha umwamba wa kugongesha Mwamba Ferguson akawasoma vakafanya sub mbili matata ..kona ikapigwa vwakasawazishiwa.Akili yao akawaamisha wanaeongezwa dakika 30 maana dakika 90 zimalizika sare.. Bila kujua vijana wa Ferguson wao hawakuta hizo 30 ila walitaka ngoma iishie dakika 90 ..kilichowakuta Munchen ni history ambayo mpaka Leo huzungumzwa ..hata final na Chelsea vs Bayern ..Walililax Drogba akafanya yake..Eti mournho sio kocha aje pochetino toka aichukue spurs Hanna kombe sifa kubwa anapiga Pasi na kushambilia
Acheni jamani mwaka Jana katolewa na gent Europa kila mwaka anasulubiwa uefa spurs inahitaj kocha mzoef kama mou kocha mdogo timu inawachezaji waliokomaa kushinda mataji