Papupi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,029
- 3,245
Mwalimu Kashasha unazungumziaje goli la Matic, ee unajua Enock kile alichofanya Mata ni kupiga Chopping commitment pass kwa kitaalamu tunaziita, pasi za mchomo kwenye Traditional level penetration grid.. mara nyingi zinakua na Shipping Cost CIF.. Sasa kilichofata kwa Matic ni kupiga Diagnosis perfect thunderstorm kick, ile hata goli kipa wawe mia golini hawawezi kudaka.. Kwako Enock




