Glory Glory Manchester United!!
Tutafika tu !!!
Ila humu leo kumepoa sana hata page hazitembeiii kulikoni hahahahahahaha! !
Wote ni hivyo hivyo lakini sio mbaya kujumuika siku za furaha. Uzi wetu huu leo huwaoni wapinzani ila wachache walio tutakia kheir ndio tunajimwaga nao hapa.Mie mzima kabisa kaka yangu,majukumu tu,leo nimesema potelea mbali!!
Yaaani acha tu nawamiss sana majukumu mengi mara nyingi nipo sehemu hamna network kaka ila siku moja moja napita kuwafariji na kutoa morali [emoji2] [emoji2]Mbona umetutupa sana hapa siku hizi
Sitaki kuamini maneno niliyosikia ni ya kweli
GGMU
Hazard kafichwa na kitoto cha academy [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ivi wewe unaubongo kweli
Man u mna mtu kama hazard?
Mnabeki kama azipilicueta?
Jukwaa hili wengi wasahau timu ilikuwa chini ya kocha wa muda mrefu kubadili style ya mpira sio kazi ndogo naiman sana mourinho tutafika tu yes ni kweli tunacheza mpira mbaya bado tunatafuta quality player.Nyo nyo nyo Mourinho sio kocha haya mpeni timu Conte sasa!
Kuna siku alifichwa na Herera akatema kamasi.Hazard kafichwa na kitoto cha academy [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Suala ni kwamba nlikuambia ntakufunga haijalishi ni mbinu gani hapa tunongelea ubao unasomaje.Ni kawaida ya mashabiki wa Man Utd. Eti Lukaku anavyocheza na timu ndogo. Ingekua timu ndogo ungepaki basi.? Mengine ngekewa tu mchezaji mmoja ndio anaibeba timu na ukubali ukatae huna kocha.
Mechi 15 zilizopita Chelsea Vs Man U umeshinda 2 nimekufunga 8 draw 5.
Mi nimekubali umenifunga
Huyu atakuwa anaomba kuhama timu.
Huyu dogo unamuona?Ni kawaida ya mashabiki wa Man Utd. Eti Lukaku anavyocheza na timu ndogo. Ingekua timu ndogo ungepaki basi.? Mengine ngekewa tu mchezaji mmoja ndio anaibeba timu na ukubali ukatae huna kocha.
Mechi 15 zilizopita Chelsea Vs Man U umeshinda 2 nimekufunga 8 draw 5.
Mi nimekubali umenifunga
Yaaani acha tu nawamiss sana majukumu mengi mara nyingi nipo sehemu hamna network kaka ila siku moja moja napita kuwafariji na kutoa morali [emoji2] [emoji2]