Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,913 Reaction score 10,263 Feb 25, 2018 #85,981 Come on UNITED
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,290 Feb 25, 2018 #85,982 Lukaku akikutana na timu ndogo ni moto.
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,528 Reaction score 7,923 Feb 25, 2018 #85,983 DonDonald said: Kama matatizo yake ni hayo, si yanatatulika lakini Vipi kuhusu mchango wake kwenye timu? au hana Click to expand... Ni wakati sasa wa Martial kukaa bench permanently..huyu dogo kaingia anakimbiza ipasavyo.
DonDonald said: Kama matatizo yake ni hayo, si yanatatulika lakini Vipi kuhusu mchango wake kwenye timu? au hana Click to expand... Ni wakati sasa wa Martial kukaa bench permanently..huyu dogo kaingia anakimbiza ipasavyo.
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,786 Reaction score 35,747 Feb 25, 2018 #85,984 Muda wa kupaki basi umewadia... Usishanga baily akaingia... 2-1
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,528 Reaction score 7,923 Feb 25, 2018 #85,985 Baily for Sanchez
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Feb 25, 2018 #85,986 Ngapi ngapi
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Feb 25, 2018 #85,987 ARV said: Baily for Sanchez Click to expand... Mzee kaamua kupaki mapemaaaa dah
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Feb 25, 2018 #85,988 Huyu Mou bado ana mapenzi na Chalsea unamtoa Sanchez anaye jituma anaacha magoigoi uwanjani hii timu ni shida
Huyu Mou bado ana mapenzi na Chalsea unamtoa Sanchez anaye jituma anaacha magoigoi uwanjani hii timu ni shida
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,528 Reaction score 7,923 Feb 25, 2018 #85,989 sumbai said: Ngapi ngapi Click to expand... Tumeshawapiga 2-1 dakika ya 83 sasa.
Rajab_Omar JF-Expert Member Joined May 15, 2016 Posts 16,481 Reaction score 27,185 Feb 25, 2018 #85,990 ARV said: Baily for Sanchez Click to expand... Hichi kitu sitokisahau
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,528 Reaction score 7,923 Feb 25, 2018 #85,991 King Ngwaba said: Hichi kitu sitokisahau Click to expand... Mkuu siku mbaya kwako yani 2nd place umekaa masaa 21 tu This is Manchester United bhanaaa
King Ngwaba said: Hichi kitu sitokisahau Click to expand... Mkuu siku mbaya kwako yani 2nd place umekaa masaa 21 tu This is Manchester United bhanaaa
DonDonald JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,542 Reaction score 2,741 Feb 25, 2018 #85,992 ARV said: Ni wakati sasa wa Martial kukaa bench permanently..huyu dogo kaingia anakimbiza ipasavyo. Click to expand... Maoni yako ninaheshimu, uliona assist ile lakini?
ARV said: Ni wakati sasa wa Martial kukaa bench permanently..huyu dogo kaingia anakimbiza ipasavyo. Click to expand... Maoni yako ninaheshimu, uliona assist ile lakini?
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,199 Reaction score 28,080 Feb 25, 2018 #85,993 Mou bwana.. 😀😀😀
DonDonald JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,542 Reaction score 2,741 Feb 25, 2018 #85,994 radika said: Lukaku akikutana na timu ndogo ni moto. Click to expand... Mkuu "labda" sijakuelewa, unamaanisha Chelsea ni timu ndogo? lol
radika said: Lukaku akikutana na timu ndogo ni moto. Click to expand... Mkuu "labda" sijakuelewa, unamaanisha Chelsea ni timu ndogo? lol
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,528 Reaction score 7,923 Feb 25, 2018 #85,995 Naona Pogba karudisha makali yake
toriyama JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 1,552 Reaction score 3,202 Feb 25, 2018 #85,996 Manchester united 2. Chelsea 1
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Feb 25, 2018 #85,997 King Ngwaba said: Hichi kitu sitokisahau Click to expand... Huyu kocha ana matatizo kocha wa kubahatisha tu alikuwa anabebwa na wachezaji
King Ngwaba said: Hichi kitu sitokisahau Click to expand... Huyu kocha ana matatizo kocha wa kubahatisha tu alikuwa anabebwa na wachezaji
toriyama JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 1,552 Reaction score 3,202 Feb 25, 2018 #85,998 Manchester united 2. Chelsea 1
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,528 Reaction score 7,923 Feb 25, 2018 #85,999 4min extra added on 2-1
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Feb 25, 2018 #86,000 ARV said: Naona Pogba karudisha makali yake Click to expand... Yap ya kutembea kama amebanwa na aja kubwa
ARV said: Naona Pogba karudisha makali yake Click to expand... Yap ya kutembea kama amebanwa na aja kubwa