Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aha!kumbe moja limekataliwa eeh!mi nilidhani mmepigwa freemason kwa moja!

Ndio hivyo tunakubali kipigo ila sio kwa goli sita, vile vile tulikuwa hatujakamilika kabisa....
 
Kufungwa lazima na sio kila siku UNITED watashinda tu so City leo wame deserve ushindi mkuu

N.B lakini nimeudhika kwa goli tano ni nyingi sana

Mkuu unazipunguza au uliondoka kabla game alijaisha.., nasikitika kukwambia kwamba ilikuwa ni Sita
 
Man Utd 1 - 6 Man City


By Phil McNulty




humiliated United at Old Trafford
Manchester City inflicted Manchester United's worst home defeat since 1955 as they thrashed the champions in ruthless fashion to go five points clear at the top of the Premier League.

City's visit to Old Trafford was portrayed as a measure of their progress against the 19-time champions - and they could not have delivered a more emphatic statement as Sir Alex Ferguson's side were left humiliated and their supporters in a state of shock.

It was the first time United had conceded six goals at home since 1930, and in a second half that turned into a scene of carnage at the so-called "Theatre Of Dreams" the eventual margin of victory could have been even more convincing.


 

huwa history inachezaga eti..
 


Wakuu nasalimia tu ku nani?

khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Naona
Mungiki Brother leo yupo kama kawa baada ya kuhama timu .... ..
 
Hivi leo baloteli hakuwakunyeza? De gea alifikiri maandazi khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ndio hivyo tunakubali kipigo ila sio kwa goli sita, vile vile tulikuwa hatujakamilika kabisa....


Hehehehe najua yule mcheza wenu Cristiano Ronaldo leo hakupangwa sijui ni majeruhi? 🙂🙂
 


Nachikia Wine Romney hakucheza
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Manda, Belo, Mfarisayo pamoja na mod wenu wa bandia et al howzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz that!
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…