Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu una uhakika ole gunnar solskjaer mwaka 2002 alikuwa Mzee yaani MTU aliezaliwa mwaka 1973 kwa mwaka 2002 alikuwa na umri wa miaka 29 umamuita ni Mzee , Basi kama ni hivyo na Sanchez ni Mzee ...



Hahahah
 
Mkuu una uhakika ole gunnar solskjaer mwaka 2002 alikuwa Mzee yaani MTU aliezaliwa mwaka 1973 kwa mwaka 2002 alikuwa na umri wa miaka 29 umamuita ni Mzee , Basi kama ni hivyo na Sanchez ni Mzee ...



Hahahah
I doubt hata kama ulimwona Solskjaer,alisajiliwa 1996-1997 so 2002 tayari alikuwa ameshacheza misimu 6 na most of his career alikuwa anaingia sub na miaka ya mwisho muda mwingi alikuwa majeruhi ndio maana aliamua kustaafu
 
I doubt hata kama ulimwona Solskjaer,alisajiliwa 1996-1997 so 2002 tayari alikuwa ameshacheza misimu 6 na most of his career alikuwa anaingia sub na miaka ya mwisho muda mwingi alikuwa majeruhi ndio maana aliamua kustaafu



Kumuona au kutokumuona akicheza kunapunguza na kuongeza nini kwenye mada husika

Sasa naelewa nabishana na MTU wa aina gani , unaruka ruka tu ... Umesema ole gunnar solskjaer mwaka 2002 wakati Forlan anasajiliwa alikuwa ni mzee. Nikakwambia mwaka 2002 ole gunnar solskjaer alikuwa na miaka 29 Je, kwa uelewa wako umri huo anastahili kuitwa mzee ... Hujanijibu unakuja na hoja zako za mambo ya ole gunnar solskjaer kuwa super sub.

solskjaer alistafu soka kama so kutundika daluga mwaka 2007 akiwa na miaka 34 , umaposema alistaafu kwa sababu ya injury (Nakubaliana na wewe ) ila kwa huo umri huoni kwamba ndio ilikiwa muda sahihi wa yeye kustaafu ??.?
 

Siko hapa kubishana na mtu ,Kama wewe unabishana na mimi uko sawa .Nimekuuliza kupaki bus kwako ni nini sijaona jibu mpaka sasa
 
Mashabiki wa Man U hamna shukurani kabisa. Timu imetoka kwa David Moyes ikiwa hoi, ikaja kwa VanGaal akajitahidi bila mafanikio, JOMO ameiwezesha timu kuchukua kombe muhimu la Ulaya na kuiwezesha pia kuingia UEFA na Mungu si Athumani Man U inaweza ikabeba kikombe cha Championship. Kwenye ligi iko nafasi nzuri ya pili. Hata Mungu akiichukua Man U hataweza kutimiza mahitahi mnayotaka. Overnight timu haiwezi kurudi kama enzi za Ferguson. Kumbuka huyo huyo JOMO ndie aliyeisuka Chelsea na kuwa timu mojawapo kubwa kwenye EPL tangu alipojiunga kwa mara ya kwanza 2004. Hii Chelsea anayotamba nayo Conte ndie aliyeiunda 2014 aliporudi akitokea Real Madrid. Msipompa muda aisuke timu atawaachia na kuchukua chenji yake na who knows atakayekuja atafanya nini?
 
Nimekuelewa sana. Asante!

Wakati mwingine Mourinho anaonewa sana. Mtu kabaki na kipa anapaisha au kumpelekea mikononi, hapo Mou analaumiwa vipi?

Mtu anapoteza mpira akiwa kwy move ya kushambulia alafu hakabi...Mou anahusikaje hapo tofauti na kumpiga bench??

Mie bado naamini Mou ataipatia tu style nzuri na humu ndani itabakia vicheko tu na kuchagua timu gani ngumu tucheze nayo hata friend match.
 
Daudi hawezi kuwaelewa, kuna mwana mwaka jana bahati mbaya simkumbuki ID yake alifikia hatua ya kuomba tusichukue europa ili tusicheze uefa ye apate cha kuongea, toka tulipochukua lile kombe sijawahi muona tena humu jukwaani.

Nitamlaumu mourinho kwa style tunayocheza baadhi ya mechi lakini sitamlaumu yeye kuona akina smalling bado wapo kwenye timu yetu. Kama nilivoongea kwenye post moja hapo juu tunawachezaji ambao hata west brome hawapati namba alafu unataka tukimbizane na timu kama man city au Madrid ambayo baadhi ya wachezaji wao kikosi cha pili wanaweza wakaja straight kwenye first eleven yetu.

Tupo nafasi ya pili, bado tupo uefa, bado tupo FA cup, toka kafika katupatia makombe mawili tayari moja likiwa kombe ambalo hata Ferguson alishindwa kutupa, alafu anaonekana hafai, raia sijui wanataka nini?
 
Najitoa rasmi kwenye mjadala kuhusu mourinho .. Nimeeeleza saaaaaaaana kwa kina kuhusu unsuitability ya Mourinho pale Manchester united ....


Naona watu Wengine mnajikita kwenye vikombe alivyotupa Mourinho kama sababu ya ubora na asitimuliwe.. Come oooooooon
Wenger hajawahi kuwapa arsenal vikombe ,hivi mnaikumbuka unbeaten run ya arsenal kubeba ubingwa bila kufungwa ???


Carlo anchelot alipigwa chini Bayern Munich alikuwa hajawapa vikombe??


Huyo Jose Mourinho alipigwa chini Chelsea na Madrid alikuwa hajawapa vikombe ??..


Hivi Claudio Raniel kocha wa zamani wa Leicester city alivyofukuzwa alikuwa hajawapa ubingwa leiciter city ????

Unamtambua Manuel Pellegrin kocha wa zamani wa man city , hakuwahi kuwapa vikombe the cityzens???


Hivi unadhani Ferguson kabla ya kustaafu hakuwahi kupitia kashikashi za kufukuzwa baada ya vipindi flan vigumu???


Futa hayo Mawazo kuwa kocha kuchukua vikombe ni kikwazo cha kocha kutofukuzwa. Kocha hudumu kikosini kwa sababu ya "Good existing Performance" Basiiiiiii hizo record hazina maana timu inapokuwa haichezi vizuri na haina muelekeo wa kuchukua vikombe.

Mimi hata sikuelewi unaposema utamlaumu Mourinho ila hutamlaumu kwa kumuona Smalling akiwa kikosini
.
Sasa ndugu yangu kama kocha anamuweka benchi Marcus Rojo na kumuanzisha Smalling huoni kama hizi ni shutuma za kutupiwa Mourinho???? Kama wewe na Mimi tunaona kasoro za Smalling na kocha bado anazidi kumuamini Nani wa kulaumiwa ???


Ni kweli tupo UEFA, FA na EPL tuko Nafasi ya pili , ila tambua ligi bado inaendelea na kwa kiwango hiki Mimi binafsi siamini kama tutamaliza Nafasi ya pili EPL. First Leg ya UEFA vs Sevila imeshatuonesha uelekeo wa team yetu. Siioni Timu ikifika Fainali UEFA. Sidhani kama tuna ubavu wa kuwa na msuli wa kuwazuia Madrid,Mancity au Bayern. Kubali au kataa. Kikombe pekee tulicho na uwezo wa kukichukua msimu huu ni FA.





Nawakumbusha tena na tena na tena na tena .... Mourinho hana uwezo wa kimbinu kuivusha team yetu kufika pale tunapotaka ifike.


Muda utaamua kwa sababu mpira ni mchezo wa Wazi
 
Hakuna kitu kinanikera na kunichefua kama kuona Liverpool ambayo ina wachezaji wa kawaida kabisa inatandaza soka safi kuliko sisi wenye wachezaji wanaoeleweka kabisa.

Ni kiungo gani pale liver wa kumfananisha na Matic, Herrera, na pogba?




Mkuu Kuhusu kusubiri team ya Mourinho itandaze soka ni sawa na kuisubiri Bambadier Ubungo
 
Utashangaa pale Jose atakapopanga kikosi chenye walinzi sita na kulinda goli.
Binafsi nikiona young na smalling wako kikosini huwa naishi kwa presha sana dah kesho Josee aweke visiki tu.
 
Hakuna kitu kinanikera na kunichefua kama kuona Liverpool ambayo ina wachezaji wa kawaida kabisa inatandaza soka safi kuliko sisi wenye wachezaji wanaoeleweka kabisa.

Ni kiungo gani pale liver wa kumfananisha na Matic, Herrera, na pogba?

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Matic, Herrera na Pogba!!!

Mkuu Ni Can, Ox na Millner πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Sema tu Hawatumii Muda Mwingi Kwa Kulinda, Bali hutumia Muda Mwingi Kwa Kushambulia, na Muda Mchache Ndiyo Wanalinda.
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…