Mkuu vipi jana ulisahau kulitia maji.Unajifariji kupitia weakness za jirani......hahahaha timu yako kwasasa kimeo mkuu licha ya wachezaji ghali mlionao so jiandaeni kisaikolojia ..........
Wako wapi sahivi hao ihenacho ,Nolito , na Navas?Lakin mkuu mbona msimu ule alikuwa na nolito,ihenacho,aguero,navas,strerling,kdb na silva mbona alikuwa anachezea tu za kutosha had kugombea top 4 kuna muda mpira huambatana na bahat tu kwa mfano madrid iliyobeba makombe msimu uliopita mdio hii inayopigania top 3
Pia hata wachezaj wetu hawapo makin haijalish unaenda na mfumo upi timu ngumu hushinda mazingira yoyote tu.
Hadi wewe united ulimfunga?Lakin mkuu mbona msimu ule alikuwa na nolito,ihenacho,aguero,navas,strerling,kdb na silva mbona alikuwa anachezea tu za kutosha had kugombea top 4 kuna muda mpira huambatana na bahat tu kwa mfano madrid iliyobeba makombe msimu uliopita mdio hii inayopigania top 3
Pia hata wachezaj wetu hawapo makin haijalish unaenda na mfumo upi timu ngumu hushinda mazingira yoyote tu.
Na hii ni moja kati ya tofauti kubwa iliyopo saizi kati ya Manchester city na United. City mchezaji aki flop anaondolewa lakini United mchezaji akiflop ana badilishiwa namba (young, Valencia) huku wengine wakiendelea kung'ang'aniwa na kutuaminisha ipo siku watakuja kuwa vzr, jones, smalling, blind, darmian, Lingard just to mention a few.Wako wapi sahivi hao ihenacho ,Nolito , na Navas?
Mwambieni jamaa yenu aondoe hiyo mizigo hapo otherwise kila siku mtaishia kulalamikaNa hii ni moja kati ya tofauti kubwa iliyopo saizi kati ya Manchester city na United. City mchezaji aki flop anaondolewa lakini United mchezaji akiflop ana badilishiwa namba (young, Valencia) huku wengine wakiendelea kung'ang'aniwa na kutuaminisha ipo siku watakuja kuwa vzr, jones, smalling, blind, darmian, Lingard just to mention a few.
Worried out mkuu nimesharudi kwetuRudi nyumbani pia umeadimika sana mkuu kule wewe ni wamuhimu ndugu malafyale anaipenda timu na hataki mawazo tofauti na anachokiamini ila ije masika kije kiangazi yuko na timu mkubwa mosdef kama kawaida hekima zake zinasomeka,hii ni taarifa fupi ya nyumbani.Twendeni tukapanogeshe.
young&Valencia,Jones smalling, lingardNa hii ni moja kati ya tofauti kubwa iliyopo saizi kati ya Manchester city na United. City mchezaji aki flop anaondolewa lakini United mchezaji akiflop ana badilishiwa namba (young, Valencia) huku wengine wakiendelea kung'ang'aniwa na kutuaminisha ipo siku watakuja kuwa vzr, jones, smalling, blind, darmian, Lingard just to mention a few.
Umeongea point kubwa sana mkuu,timu sijui ina tatzo gan.michezaj inaonekana kabsa haipo vzur lakin haiuzwi kwa wakati kama wanavyofanya wenzetuNa hii ni moja kati ya tofauti kubwa iliyopo saizi kati ya Manchester city na United. City mchezaji aki flop anaondolewa lakini United mchezaji akiflop ana badilishiwa namba (young, Valencia) huku wengine wakiendelea kung'ang'aniwa na kutuaminisha ipo siku watakuja kuwa vzr, jones, smalling, blind, darmian, Lingard just to mention a few.
Kipindi Hicho man city anapigania top four Manchester united alikuwa anapigania Nafasi ipi?Lakin mkuu mbona msimu ule alikuwa na nolito,ihenacho,aguero,navas,strerling,kdb na silva mbona alikuwa anachezea tu za kutosha had kugombea top 4 kuna muda mpira huambatana na bahat tu kwa mfano madrid iliyobeba makombe msimu uliopita mdio hii inayopigania top 3
Pia hata wachezaj wetu hawapo makin haijalish unaenda na mfumo upi timu ngumu hushinda mazingira yoyote tu.
Sterling aliflop Leo ?????Na hii ni moja kati ya tofauti kubwa iliyopo saizi kati ya Manchester city na United. City mchezaji aki flop anaondolewa lakini United mchezaji akiflop ana badilishiwa namba (young, Valencia) huku wengine wakiendelea kung'ang'aniwa na kutuaminisha ipo siku watakuja kuwa vzr, jones, smalling, blind, darmian, Lingard just to mention a few.
Hyo siyo sababu kubwa sana kwa sababu wote wamefanya addition za kutosha tena kwa kiasi kikubwa walizipata targeted signings zao. Ila angalia City ilivyobadilika ndugu wakati sisi tunacheza mpira mbovu sana. Haijalishi Mou aondoke au asiondoke kikubwa ni timu ibadilike kiuchezaji,tusiendelee kucheza karibia kila game kwa kuviziaviziaLakin mkuu mbona msimu ule alikuwa na nolito,ihenacho,aguero,navas,strerling,kdb na silva mbona alikuwa anachezea tu za kutosha had kugombea top 4 kuna muda mpira huambatana na bahat tu kwa mfano madrid iliyobeba makombe msimu uliopita mdio hii inayopigania top 3
Pia hata wachezaj wetu hawapo makin haijalish unaenda na mfumo upi timu ngumu hushinda mazingira yoyote tu.
Kweli kabisa mkuuHyo siyo sababu kubwa sana kwa sababu wote wamefanya addition za kutosha tena kwa kiasi kikubwa walizipata targeted signings zao. Ila angalia City ilivyobadilika ndugu wakati sisi tunacheza mpira mbovu sana. Haijalishi Mou aondoke au asiondoke kikubwa ni timu ibadilike kiuchezaji,tusiendelee kucheza karibia kila game kwa kuviziavizia
Fabian delph hakuflop kwenye midfield role kama ilivyo kwa Valencia, Valencia na young walinunuliwa kuwa wabadala wa Giggs na Ronaldo kama ma winger, lakini HAKUNA aliye fanikiwa kwenye hiyo nafasi, Valencia alianza kuchezeshwa kama full back baada ya akina Darmian, blind kushindwa ku cover vema hiyo nafasi.Sterling aliflop Leo ?????
Hivi unaelewa Kuwa Fabian Delph ambaye kwa sasa ni beki Wa kushoto Wa man city alikuwa ni kiungo hatari sana ????
Unataka kusema Valencia hana kiwango cha kucheza namba mbili???
Haya nakubaliana na wewe Ashley Young ni mbovu, ni mechi ngapi Mourinho anampiga benchi beki asilia Wa kushoto ( Luke shaw)
Nakubaliana na wewe Smalling ni mbovu ila ni mechi ngapi Marcos Rojo anapigwa benchi akiwa mzima kabisa???
Mpaka hapo tatizo ni Mwalimu sio wachezaji.
leo ngoja nikuulize, wewe huwa ni mwadizi wa hbr? i.e carrier yako ni uandishi?Klabu ya soka ya Manchester United wamerudi nchini Uingereza wakionekana hawana furaha sana baada ya kutoka sare na Sevilla katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Ramón Sánchez Pizjuán, usiku wa jana (Jumatano) kwenye kombe la klabu bingwa barani Ulaya maarufu kama Uefa.
Fact.Hyo siyo sababu kubwa sana kwa sababu wote wamefanya addition za kutosha tena kwa kiasi kikubwa walizipata targeted signings zao. Ila angalia City ilivyobadilika ndugu wakati sisi tunacheza mpira mbovu sana. Haijalishi Mou aondoke au asiondoke kikubwa ni timu ibadilike kiuchezaji,tusiendelee kucheza karibia kila game kwa kuviziavizia
None of Romelu Lukaku's 12 Premier League goals this season have come against teams currently in the top eight.
In games vs top eight sides, he's played 900 minutes and attempted 17 shots without scoring.
Huyu mi naona bei yake inasababisha kuonwa kiurahisi hata matic kachoka vibaya sana kiasi kwamba hata pogba ni rahis kupotea.
Love these obsessions smaller, trophy dodging clubs like Liverpool have with united when we are not even playing.None of Romelu Lukaku's 12 Premier League goals this season have come against teams currently in the top eight.
In games vs top eight sides, he's played 900 minutes and attempted 17 shots without scoring.