Mpaka sasa De Gea super ndo man of the match first half sio kwa save hizi aseee.
Hivi tumefanya attempt ya maana hata moja au tunakimbia kimbia tu humu uwanjani???
Analaumiwa Valencia.Ander alikuwa anamsaidia sana kukaba upande wa kulia,.Pogba Kaingia kamfata sanchez kushoto. mata yupo nyuma ya lukaku ni sawa.nani anamsaidia valencia?