Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mpaka sasa mou ana makombe 3 na guardiola hana hata moja huo ndio ukweli. Man utd inahitahji makombe zaidi kwa sasa bila kujali tunatambaa, tunafunga na mabega, tunabutua etc. unawaona liverpool? walikuwa timu kali sana uingereza na ulaya ila sasa hivi wanafanya nini? toka 2008 wana kombe sijui moja, miaka 10. si ataack attack, ataaaaack wale?

mou kafanya mambo mengi na maajabu ya soka kuliko kocha yoyote wa sasa, usisahau porto yake ilichukua uefa na kuwafunga wababe wengi na usisahau inter yake zote zilikuwa hazipewi nafasi yoyote.

Bado tunagombania UEFA na bado tupo FA cup hata kama ligi hakuna matumaini bado Mourinho anaweza kafanya uwe msimu wa mafanikio.
 
Leo Lukaku amezitumia nafasi vizuri otherwise timu imecheza ovyo Sana
I hope Pogba na Bailly watakuwa fit kuanza against Sevilla next week
Ila goli la kwanza kafunga vizur sana pia nafikir kuna utofout kama lingard asipopewa namba 10 kwa mfano kuna ile ya mwisho kapewa pande na martial ndani ya 6 kapiga tena cros kuitoa ndani ya 18 wanatukost muda flan

Goli la pili ile counter atack ya sanchez na lukaku ilikuwa superb imenikumbusha enzi za sir nimeipenda sana ila muda ulivyozid kwenda tuliianza kuitawala game.
 
Msimu huu Guardiola Anachukua makombe si chini ya mawili ....

Hayo mengine uliyoongea ni porojo za vijiwe vya kahawa.
 
Mkuu hata kabla haujaenda kwa akina psg,man city na vigogo wengine kwenye matumizi ya pesa,hawa huddersfield tu wametutoa jasho kwenye game ya leo pamoja na uwekezaji wetu. Tatizo la Mou anaamini sana katika ulinzi utadhani alikuwa mwanajeshi.
 
Rashford angekua chini ya Guardiola angekua katolewa kwa mkopo au kauzwa kama Ihenacho.
 
Leo Lukaku amezitumia nafasi vizuri otherwise timu imecheza ovyo Sana
I hope Pogba na Bailly watakuwa fit kuanza against Sevilla next week

Huyu Pogba huwa ana msaada gani kwenye timu ambao mie huwa siuoni hata akichezeshwa namba 10 bado timu inakuwa ngumu kama uchumi wa bongo ya jpm? Mata is the right candidate for number 10 position as far as im concerned.
 
Herrera majeruhi
 
Jirani zangu mtateseka sana tu. Kocha wenu kazoea mpira wa kizamani.
 
jana mata kaanza sabubu lingard anapumzika kwa ajili ya sevilla...
 
jana mata kaanza sabubu lingard anapumzika kwa ajili ya sevilla...
mbona wanacheza namba tofauti? jana mfumo ulikuwa ni 4-3-3 tulicheza bila namba 10 wa kusimama hivyo hakuhitajika lingard.

mata anatumika kama kiungo mshambuliaji wa kulia kwenye 4-2-3-1 na mou wakati lingard anakua kama kiungo mshambuliaji wa kati au namba 10. namba ya lingard alikuwa akicheza mkhitariyan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…